mwana

Mwana Kupona binti Msham (born on Pate Island, died c. 1865) was a Swahili poet of the 19th century, author of a poem called Utendi wa Mwana Kupona ("The Book of Mwana Kupona"), which is one of the most well-known works of early Swahili literature.
Relatively little is known about her life. Her grandson Muhammed bin Abdalla reported in the 1930s that Mwana Kupona was born on Pate Island, and that she was the last wife of sheikh Bwana Mataka, ruler of Siu (or Siyu), with whom she had two children. Mataka died in 1856; two years later, Mwana Kupona wrote her famous poem, dedicated to her 14-year-old daughter Mwana Heshima. Mwana Kupona died around 1865 of uterine hemorrhaging.

View More On Wikipedia.org
  1. britanicca

    JamiiForums Tanzania Katafuu imekarishwa na alizeti 2026

    Kwenye alizeti wamepata mtu aisee ! Mpaka karafuu imekarishwa na alizeti tarehe 06/11/2026 analalia shuka saafii siyo lile la kule kwa kunguni Britanicca
  2. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kuwa mwana CHADEMA maana yake ni kujihusisha na vitu au mambo yasiyowezekana!...

    Nimetafakari sana leo hii asubuhi na kulingamua hili,its totally lost of times on trusting what is not possible!... Ni kuwa mwanaharakati,na kuwa busy kwa kushindana na kesi mbali mbali mahakamani alimradi tu,days count old came with no achievements. Record mbalimbali zinatuonyeaha kwa waenga...
  3. Pakome

    JamiiForums Tanzania 20/10/2026 Yoweri Museveni wa Uganda alimpa mjukuu wake Ruhamya Kainerugaba mwana wa Jenerali Muhoozi cheo cha Luteni wa Pili

    20/10/2026 Yoweri Museveni wa Uganda alimpa mjukuu wake Ruhamya Kainerugaba mwana wa Jenerali Muhoozi cheo cha Luteni wa Pili
  4. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho mzungu anachoweza kukifanya na matokeo yake ya kushikika ila sisi ni 2026 mwana JF unaandika uzi wa kuomba mganga wa pesa za kimazingara

    Jamaa kafanyia facial implant, yaani kama muujiza.
  5. USSR

    JamiiForums Tanzania Mwana wa kiongozi wa Kiislamu wa Saudi Arabia aokoka na kumkili Yesu kuwa mwokozi

    MWANA WA KIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU SAUDI ARABIA AMGEUKIA YESU KRISTO BAADA YA NDOTO YA AJABU: “NILIPOTEZA MENO 13 KWA SABABU YA KUMFUATA YESU!” Ahmed Joktan, raia wa Saudi Arabia aliyekuwa Muislamu mwenye msimamo mkubwa wa kidini, anasimulia ushuhuda wake wa kumwamini Yesu Kristo licha ya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Shibe mwanaharamu, njaa mwana malegeza vyote anavyo

    Jalalani, ameshasahau alivyojidhalikisha kwenye uso wa dunia! Mjinga ndiye atamsikiliza
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ahadi za mwana TANU ( CCM): Kati ya hizi ni zipi CCM na viongozi wao wanazitekeleza?

    Ahadi za mwana TANU 1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja 2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote 3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma 4. Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala kutoa rushwa 5. Cheo ni dhamana. Sitakitumia cheo changu wala cha...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania US kuichukua Greenland ina maana sasa hivi US ana jilinda katika kila angle ya dunia inayomzunguka

    Akiwa alasska ana tazama west europe. Akiwa maina land ana mtazama south na central america na east asia. Akiwa green land anatazama east europe.
  9. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mwana Filosofia maarufu alitabiri tunayoyona saaa.

    Wakati mwingine hatuna haja ya maelezo mengi. Historia ilisha tabiri.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Ibrahim ambokile wa EFM, ni mshabiki au mwana habari wa michezo mwenye mapenzi ya dhati na Yanga?

    Kuna huyu jamaa alikua pale abood fm na ss yuko EFM redio, jamaa akiwa ktk kipindi Chake anaikebehi sana simba na kusema kila kitu ni kibaya, kwani changamoto yake ni nini uyu mchambuzi?
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mwana JF nini maana ya financial freedom? Ni vitu gani vitakubana usiifikie na vitu gani vitafanya uifikie?

    Eyce Marcostilone life255 Hata uende wapi, ufanye nini na uamue uishi vp ujue kuwa pesa na urahisi wa maisha ndio inabaki kuwa motisha ya confidence, afya chanya ya akili na amani moyoni. Na ili ufike hali hii inabidi utoe kafara ya mambo lukuki maishani mwako especially tabia ulizoea hadi...
  12. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Joseph Mwasote: Kutekwa, kuteswa na kumpoteza mwana katika uchaguzi wa 2025

    Kwa takriban miaka 20, Joseph Mwasote amekuwa sehemu ya safari ya kisiasa ya CHADEMA, akipanda kutoka uongozi wa Kata ya Tunduma hadi kuwa mwenyekiti wa Mkoa wa Mbeya na baadaye kugombea ubunge wa Mbeya Vijijini mwaka 2020. Lakini uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, kwa maelezo yake, uligeuza maisha...
  13. 4

    JamiiForums Tanzania Mwachieni mwana wa Mungu, Lissu, viginevyo mtakufa midomo wazi - asema Bwana

    Habari wana wa Mungu jf popote mlipo, amani Bwana ikawe juu yenu. Mungu akanionesha yeyote aliye nyuma kuhujumu mwana wa Mungu Lissu sio muda atakufa mdomo wazi. Mwachieni mapema sana, viginevyo mtakufa vibaya sana. Asema Bwana na imekua Niwatakie majukumu mema na zingatia hili. Thanks
  14. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Leo ndio leo! Je, Tundu Lissu ana kesi ya kujibu? Niliwahi shuhudia Miraji akimkwida Kikwete!

    Nina mengi ya kuandika kabla ya saa 3 asubuh ya Leo ili andiko langu liingie kwenye rekodi. Mtoto wa raisi ana nguvu Gani kwa kesi ya Lissu? Je Lissu kuwa huru Kuna madhala Gani kwake? Mbona ridhiwani kikwete hakuwai kuwa mwiba kwa Dr slaa alivyokuwa akimtaja majukwaani live dhidi UTAWALA wa...
  15. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Haki uleta amani pale Palipo na Amani Haki inapatikana Ukiona mwana Siasa anatanguliza Amani baada ya HAKI huyo ni Tapeli

    Palipo na Haki amani hipo watu wanaotaja Amani huku neno HAKI kwenye vinywa vyao hao ni matapeli wanatumia neno amani kwa maslahi yao...
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje Mwana FA,Msigwa na Makonda wote Kuingia Mitini kwenye ziara ya Nchimbi uwanja wa Afcon Arusha

    Comments ziwe fupi fupi ingekuwa Samia Wasingetokea pia? Nchimbi anatisha hata kikanusho hajaonekana
  17. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kisaikolojia Taatlaah mwanaCCM anaihusudu CHADEMA kuliko CCM

    Ndg wanajukwaa wenzangu Kwa kipindi kirefu mmeshuhudia member mwenzetu wa jamiiforums bwana mdogo Tlaatlaah akitoa nyuzi zinazohusu chadema Kila siku kama conveyer belt. Hii yote ni kwasababu anaipenda na kuihusudu chadema mnoo kiasi Cha kushindwa kuficha mahaba yake. Kimsingi huyu bwana...
  18. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Akili inaniambia Mwana FA hajafanya kwa bahati mbaya vile.

    Mimi ni mmoja wa watu ambao nimemfatilia sana Mwana FA toka akiwa msanii hadi pale alipoanza siasa mwanzon ila baadae nikaja nikaacha. Sifikirii kua na sitaki kuamini kua Mwana FA niliekua namjua atakua kabadilika hapana. Ninachokijua kuhusu Mwana FA ni kua ni mtu ambae ametokea Mtaani ni mtu...
  19. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mabeberu Waliwalipa Mashabiki Kumzomea Mwana FA

    Ndugu zangu kwa masikitiko makubwa jana mabeberu wamewalipa watu wote walioingia kwenye hafla ya miaka 30 ya bongo fleva ili wamzomee, kumbagaza na kumbananga mwana FA. Inauma sana. Mimi kama abduli aka Ponjoro wa Kinondoni nimesikitika sana. Na bado.
Back
Top Bottom