Shibe mwanaharamu, njaa mwana malegeza vyote anavyo

Jalalani, ameshasahau alivyojidhalikisha kwenye uso wa dunia!
Mjinga ndiye atamsikiliza
kwahiyo gentleman,
mpaka unatoa uzi hukumsikiliza right?

au ndio chuki na unafiki wa kiwango cha juu zaidi :pedroP:
 
Hivi madogo stress za maisha zitawaisha lini? Wewe na ukoo wako wote mnaweza kulingana hata na mlinzi wa geti la Prof. Kabudi? Ahahahahaha!!
 
Inaonekana nyie kwenu mna shida sana. Unadhani Kabudi ana maisha ya kutisha sisi wengine? We nadhani anaweza waoa familia yenu wote akawapiga pipe. Jinsi unavyomuabudu na kumwogopa... Mtapigwa miti sana na Kabudi.
 
Ahahahahaha!!! Kwamba wewe una maisha kuliko Kabudi!? Ahahahahaha!? Hata babaako au mamaako angeona ulichoandika, angelikutandika bakora! Ahahahahaha!!
 
Mkuu hauko Harare msibani?
R.I.P wote waliotangulia mbele ya haki,
na ni muhimu sana walio hai kusongambele bila kubabaika na porojo au upotoshaji wa wapotoshaji mitandaoni gentleman na itapendeza zaidi :NoGodNo:
 
Jibu swali- umerudi toka Harare msibani?
Kwani hilo tusi?
 
Ahahahahaha!!! Kwamba wewe una maisha kuliko Kabudi!? Ahahahahaha!? Hata babaako au mamaako angeona ulichoandika, angelikutandika bakora! Ahahahahaha!!

Pole sana dogo. Ukijiangalia matatizo uliyo nayo unaamini wote wapo hivyo? Ha ha ha ... Nyie mimi naweza waoa wote familia yako na nikawajengea nyumba kila mmoja. Mi siishi Tz dogolasi.
 
Ahahahahaha! Nipo JF 24/7 halafu nina maisha magumu? Ahahahahaha!!
Mimi naiunga mkono Serikali kwasababu imeweka mazingira mujarab ya mimi kupiga maisha. Wewe unayelialia na Serikali HUWEZI kuwa na maisha ndio maana unailaumu Serikali for "your miserable life" kila siku! Ahahahahaha

Karibu nakunywa Konyagi!
 
Nyie huwa tunawatumia kama ngazi. Mwenzio nazunguka nchi tofauti tofauti kama mwambata. Elewa mtu mwenye masters ya international relations miaka ya 90. Nimezunguka nchi zaidi ya 80 duniani. And right now nipo nje ya Tanzania mfululizo mwaka wa 19 huwa nakuja tu likizo Tz twice a year. So uelewe dogo mi silip2i pesa ya madafu na serikali hii ndo inaniwezesha.

Sasa sijui kama utakuwa umeelewa maana na elimu zenu nyie huwa ndo hivyo njaa inawasumbua.
 
Sawa. Uko vizuri. Na mimi ni nani hadi uhisi unanizidi? Ahahahahaha!
 
kwahiyo gentleman,
mpaka unatoa uzi hukumsikiliza right?

au ndio chuki na unafiki wa kiwango cha juu zaidi :pedroP:
Majalalani muongo sana hakuna mtu anazuiwa kumkosoa hata kumkashifu kiongozi wa Ulaya na Marekani
Yanayoendelea US na France ni mfano mzuri sana.
Gerson akuwezeshe kupata habari za kimataifa sio kutegemea Uhuru na Mzalendo tuu.
 
umemsikiliza lakini Prof.Kabudi gentleman?Au na wewe ni kama vile mtoa hoja tu?

au ndio ile utaipenda ya Hussein Machozi?🤣
 
Hivi madogo stress za maisha zitawaisha lini? Wewe na ukoo wako wote mnaweza kulingana hata na mlinzi wa geti la Prof. Kabudi? Ahahahahaha!!
Ndio maana mnageuzwa geuzwa kama samaki, mmetoka kwenye familia zilizotopea umasikini.

Unapenda sana kuabudu watu!
Mlinzi wa geti la Kabudi si ni hawa FFU (mapoliccm) wanaolipwa 400K!!???

CCM imefanikiwa sana kuwafanya Watz wengi muwe masikini ili muabudishwe mkiamini kuwa bila ya wao, maisha yenu ni bure!!
 
Back
Top Bottom