Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Punguza stress dogo. Haya mambo huyawezi na hutayaweza. Pambania maisha yako. Kupambana na Prof. Kabudi hakutalipa karo za watoto wako wala kuwapeleka choo. Sana sana utawarithisha stress kitu pekee unachomiliki! Ahahahahaha!!Ndio maana mnageuzwa geuzwa kama samaki, mmetoka kwenye familia zilizotopea umasikini.
Unapenda sana kuabudu watu!
Mlinzi wa geti la Kabudi si ni hawa FFU (mapoliccm) wanaolipwa 400K!!???
CCM imefanikiwa sana kuwafanya Watz wengi muwe masikini ili muabudishwe mkiamini kuwa bila ya wao, maisha yenu ni bure!!