Imekuwaje Mwana FA,Msigwa na Makonda wote Kuingia Mitini kwenye ziara ya Nchimbi uwanja wa Afcon Arusha

Imekuwaje Mwana FA,Msigwa na Makonda wote Kuingia Mitini kwenye ziara ya Nchimbi uwanja wa Afcon Arusha

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
Comments ziwe fupi fupi
ingekuwa Samia Wasingetokea pia?

Nchimbi anatisha hata kikanusho hajaonekana

FB_IMG_1785091274419.jpg
 
Comments ziwe fupi fupi
ingekuwa Samia Wasingetokea pia?

Nchimbi anatisha hata kikanusho hajaonekana

View attachment 3637581

Nimemuona Papaaa CPA. AMOS MAKALA (RC-ARUSHA) Amenuna muda wote wakati wa ziara ya VP Mkoani ARUSHA.

Inaonekana ndani ni pamotonsana, Kuna mengi yanatupita na hatuyajui yanayoendelea.

Ndani Ntititiii, Nje Ntititiii

CHADEMA kama nawaona vile wakija kuchukua nchi, maana watanganyika wengi Sasa hivi hawana Imani tena na CCM, natumaini ya CCM kwa watanganyika ni kama yameanza kupotea maana kizazi cha Nyerere kimeshaanza kupotea

Na Hali iliyopo Sasa hivi ni Kwamba watanganyika hawapo tayari kutawaliwa na WA kutoka Visiwani kwenye nafasi ya Namba 1
 
Back
Top Bottom