Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 7,310
- 13,098
Kikanusho kukuu cha serikali 😁Comments ziwe fupi fupi
ingekuwa Samia Wasingetokea pia?
Nchimbi anatisha hata kikanusho hajaonekana
View attachment 3637581
Kikanusho kukuu cha serikali 😁Comments ziwe fupi fupi
ingekuwa Samia Wasingetokea pia?
Nchimbi anatisha hata kikanusho hajaonekana
View attachment 3637581
Imekuwa takata ya kuchoma moto.... Maana hata kwa samadi haifai....Katika Mtu mie niimekuja mwona wa hovyo kwelikweli basi ni huyu anayejiita MwanaFalsafa
sijui ana Falsafa zipi hasa.
Hatudanganyiki!Comments ziwe fupi fupi
ingekuwa Samia Wasingetokea pia?
Nchimbi anatisha hata kikanusho hajaonekana
View attachment 3637581
Ajiuzulu Ili tuanze kumuamini taratibu. Ila wengi twajua hawezi kuipinga serikali iliyomweka madarakani,na kupewa ulinzi na serikali hiyo hiyo anayoipinga! Never?bro, unafahamu kuwa huyu jamaa anamaanisha? na wala sio mpango mahususi wa kutuhadaa, Nchimbi hakubaliani na yanayoendelea nchini, na naona ana baraka za wazee flani flani wapenda taifa (wale wasio wa hovyo) plus RC
Amekuwa mjinga sanaNi jina tu alijipa utotoni hajui hata maana yake.
unajua hakuna anayeipinga serikali. (maana lazima serikali iwepo tu) Tunachopinga ni matendo maovu ya uonevu, utekaji, uuaji, ... na yote yanayofanana na hayo. Tunakasirika kuona watawala wanaojitwalia madaraka. Kinyume na ibara ya nae ya katiba. Nchimbi hatakiwi kujiuzulu bali asimame imara kwenye nafasi yake kukemea yote yanayoendelea yasiofaa. Akijiuzulu hatokuwa tofauti na Nape. (haitosaidia chochote)Ajiuzulu Ili tuanze kumuamini taratibu. Ila wengi twajua hawezi kuipinga serikali iliyomweka madarakani,na kupewa ulinzi na serikali hiyo hiyo anayoipinga! Never?