makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. bongo-live

    JamiiForums Tanzania Makonda kuileta man u, mechi ya kuufungua uwanja cha afcon arushaa!

    Tetesi tu kwa sasaa, but shushushu tunaskia mambo yapo jikoniii na makonda anatinga Uingereza wikii hii mazee..
  2. F

    JamiiForums Tanzania Msigwa alituambia wachezaji waliletwa na pesa za Makonda, huyo waziri anatumiaje pesa zake binafsi (yupo jikoni?)

    Msemaji wa serikali Greyson Msigwa (Greshon) alituambia kuwa wachezaji walioletwa na wanaoendelea kuletwa na waziri wa Habari na Utamaduni, wanaletwa kwa pesa za Makonda. Tunataka tujue hizo pesa zinatoka wapi, na pia ni halali mfanyakazi wa serikali kuleta watu wengine kwa project ya serikali...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Mnaposali, waombeeni watu wawili, Rais Samia na mimi

    Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa Watanzania wanapopata nafasi ya kuwaombea viongozi wa nchi, wanapaswa kuwaombea watu wawili pekee, ambao ni Rais Samia Suluhu Hassan na yeye mwenyewe. Makonda ametoa kauli hiyo akisisitiza umuhimu wa viongozi hao kuombewa wanapopata...
  4. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Mwenyekiti wa TAHLISO, ndugu Kiliba, ningefuata nyayo za Makonda

    Siasa za vyuo vikuu Tanzania ni siasa za CCM na CHADEMA full stop. Ukilijua hili utajua ni kwanini CHADEMA walianzisha CHASO na CCM walianzisha mkoa maalum wa Vyuo vikuu. Mwenyekiti wa TAHLISO, (au pengine kama anavyopenda aitwe rais wa TAHLISO, ingawa sina hakika kama sasa katiba imebadilika...
  5. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Chivayo, Peter wa royal tour, Kikwete na Paul Makonda wana siri gani

    Hawa mabwana inaonesha kuna jambo wanashirikiana, je hii si hujuma kwa watanzania na familia ya kiongozi mkuu? Inaonesha wote wamekula keki ya taifa.
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Waziri Makonda umekataa kutupa hela waandishi wa mtandaoni kwani sisi sio Content Creators?

    WAZIRI MAKONDA UMEKATAA KUTUPA HELA WAANDISHI WA MTANDAONI KWANI SISI SIO CONTENT CREATORS? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Juzi tulionana pale kwenye Final ya Pongwe Cup, Upanga, ukiwa kama Mgeni Rasmi. Sikupata nafasi ya kukujulisha hili kutokana na hali iliyokuwepo. Hii ni mara ya pili...
  7. RSM Dominik

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda ni noma jamani jamaa yupo siriazi na kazi

    -Akiwa kama mlezi wa mkoa wa mwanza nimeona video moja ya juz ama majuzi akiwa na mkutano na watendaji wa halmashauri ya mwanza wakiongozwa na jamaa mmoja aliyejitambulisha kama ni KAIMU MKURUGENZI wa halmashauri(afisa tehama kitaalamu) , hallo naomba muitafute ile video millard ayo anayo...
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Makonda ukitabiriwa Mambo mazuri na Mwamposa wa Mafuta, Tony wa Kujaza Gesi mitungini inatosha !!. Kwann utafute Tabiri nzuri Kutoka kwa unaowatesa !!

    Yaan Makonda Unataka Bagonza, Gwajima na wengineo wa aina hiíi wanaotetea Haki, Wakutabirie Mambo mazuri??. Makonda wewe ambaye Historia ya Maisha yako ya Siasa imejaa ukatili na uovu Mkubwa ?. Makonda, wewe endelea kutabiriwa Mazuri na hao wahuni wako. Huku ukijafanya unajali masikin na...
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mfalume Ahabu ( Samia wa Leo) alikua na Manabii wake 450 wa Uongo walomtabiria anayopenda kusikia, Nabii Eliya na Mikaya walimtabiria Mabaya tu!!

    Mfalme Ahabu aliwachukia San Nabii Eliya na Mikaya kwakua walikua wanamtabiria Mabaya siku zote, Chuki ikaenda mbali Kiasi cha Ahabu kutafuta kwa nguvu zake zote Kumuua Eliya Na Mikaya . Mfalme Ahabu , Aliondoa Ibada ya Mungu katika utawala wake, Israel ukaanza kuabudu miungu Baali, miungu...
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Makonda ajifunze kwa Nabii Mikaya aliyemtabiria mabaya Mfalme Ahabu na yakatimia

    Nabii Mikaya mwana wa Imla alisimama kinyume na manabii wengine waliokuwa wakimtia moyo mfalme Ahabu wa Israeli kwenda vitani, akimtabiria kuwa angekabiliwa na kushindwa na kwamba jeshi la Israeli lingekosa kiongozi. Licha ya onyo hilo, mfalme aliamua kwenda vitani, na hatimaye aliuawa kama...
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania Makonda: Rais kafiwa na mume wake kuna mjinga anaandika 'haonekani'. Mnapangia Rais lini atoke nje?

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema baadhi ya wanaharakati wamekuwa wakitoa hoja zisizo na msingi kuhusu Rais Samia Suluhu Hassan kutoonekana hadharani, akisisitiza kuwa watumishi wa serikali ni wawakilishi wa Rais katika kutekeleza majukumu yake. "Hasa nchi...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makonda: Viongozi wa Serikali wakiwa walafi na wala rushwa, mmefeli nyinyi viongozi wa dini, hao ni waumini wenu!

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda amewataka viongozi wa dini kuwajibika katika kuwajenga waumini wenye maadili, akisema viongozi wa serikali wanaojihusisha na rushwa na ulafi wanapotoka katika nyumba za ibada, ni ishara ya kushindwa kwa viongozi wa dini katika malezi ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kuna Askofu umaarufu wake wote ni kuikosoa serikali. Kama kuna wala rushwa ni nyie mmefeli viongozi wa dini

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amezungumzia tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuikosoa Serikali, akidai kuwa kuna askofu ambaye umaarufu wake umejengwa katika kuikosoa Serikali.Makonda amesema, “Kuna askofu umaarufu wake wote ni kukosoa tu Serikali,” kauli...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Serikali haiendeshwi kwa presha ya maneno

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema Serikali haifanyi kazi kwa presha ya maneno ya watu, bali inatekeleza ahadi zake kwa wananchi, ikiwemo kuboresha sekta ya elimu nchini. Makonda ameyasema hayo wakati akizindua Shule ya Msingi Butiriti, iliyopo Wilaya ya...
  15. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa Paul Makonda akiwa Rais wa Tanzania anajua njia za kushika madaraka

    Madaraka yana-njia zake na usipojua njia za kushika maradaka hata uwe na akili kiasi gani ni ngumu sana kushika madaraka kama hujui zake Paul Makonda anajua njia za kushika madaraka na mara nyingi watu kama hawa huwaga wanachanga karata zao kwa siri huku wakiwa kwenye power mnakuja kushtuka...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Makonda awashukia wananchi wanaotaka polisi wasipongezwe

    Hata polisi amejitahidi polisi amejitahidi kuokoa... Ah... Naomba nisikilizeni jamani. Mimi nachukua kile kilichonyooka. Mimi niko kwenye ukweli. Hatuwezi kuwa jeshi la polisi limefanya kazi ya maana kuokoa maisha ya watu hamtaki kusikia. Ila wangekosea wakafa mngekuwa wa kwanza kuanza kwenye...
  17. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kafiti na Nzilanyingi wagoma kupokea simu za Makonda

    Hiyo sio habari Tena kwa wanaCCM mkoa wa Mwanza. Washangazwa na mtu kutoka alipotoka na Kuja kukagua miradi kwenye uwanja wao wa nyumbani. Waomba kamati ya maadili imkalishe kikao mara moja la sivyo CCM kumeguka vipande. Nzilanyingi na Kafiti wagoma kupokea simu ya Makonda
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Huyu Ndiye Makonda Ninaye Mjua na Niliye Mzungumza Humu!. Hapapasi, Hamung'unyi, Hakopeshi, ni Ananyoosha Tuu Kama Rula!. Kama ni YEYE, na Iwe! .l

    Wanabodi Hii ni PNA ya Makonda Siku hizi ukimsifia kiongozi yeyote, huchelewi kuitwa chawa, hivyo kama mtu utaitwa chawa kwa kuusema ukweli, then let it be it!. Kuna viongozi wengi nimekuwa nikiwazungumzia, mmoja wao ni Paulo Kristiano Makonda, wanga na wasio mpenda wanamuita DAB, hawa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Nchi ya maigizo : Makonda ni waziri wa wizara gani?!

    https://youtu.be/FYBXRFe4JS4?is=ET9l6nWGdw2FMiVn
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ziara za Makonda, Kuna kitu hakipo sawa kwa Top Officials wa GVT !! Kuna Mtu anauacha Urais au Mwigulu anapigwa Chini !

    Ngoja tuone wataendelea kuficha Hadi lini!!
Back
Top Bottom