Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Madaraka yana-njia zake na usipojua njia za kushika maradaka hata uwe na akili kiasi gani ni ngumu sana kushika madaraka kama hujui zake
Paul Makonda anajua njia za kushika madaraka na mara nyingi watu kama hawa huwaga wanachanga karata zao kwa siri huku wakiwa kwenye power mnakuja kushtuka tayari anamadaraka makubwa kama ilivyokuwa kwa magufuli na samia
Kwenye nchi zetu hizi za afrika ukiwa kwenye madaraka iwe ni mbunge, waziri, mkuu wa mkoa na ukaonyesha nia ya Urais waziwazi basi fahamu uwezokano wa kufeli ni mkubwa sana tuliona kwa lowassa, na membe na hatakama usipofeli basi utafanyiwa Harassment kubwa sana
Siasa inahitaji drama kupitia matatizo ya wananchi uwe mtu wa drama sababu ndo kitu watu wanapenda sio afrika ni dunia nzima ndo maana trump alishinda urais kwa sababu alijua jinsi ya kufanya drama kupitia shida za watu
Makonda alivyokua katibu mwenezi wa ccm alitumia hii mbinu kisawasawa ya kutumia drama kwenye matatizo ya watu na ghafla akawa shujaa ni kipaji ambacho watu wengi hawana
Kuna watu wanafit au wanaendana na hii mifumo ya kiafrika ikiwemo Tanzania ndo maana kwao inakua ni rahisi kupata vyeo na kupanda juu ndo maana ukiangalia political class kwa nchi nyingi ni walewale wanaoingia ni wachache sana
Makonda yuko tayari kujishusha chini sana ili tu amfurahishe mkubwa wake wewe utamwona mjinga ila anakua ameshapiga hesabu zake na kwa hii tabia inakua ni rahisi kwa watawala kumwamini sababu watawala hawataki watu wenye kiburi
Makonda alikuwa kiongozi wa vyuo vikuu nafasi ambayo ili uwe lazima uwe Rais wa chuo na makonda hakuwa Rais wa chuo ila aliishika nafasi
Ogopa mtu aliyedisco mara mbili chuo kimoja na bado akarudi kwa mara ya tatu chuo hicho hicho hii sio character ya kawaida mtu mwingine angeshakata tamaa
Ni mtu anayejua kuforce a.k.a kukazaa