paul makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. L

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Ubabe Wangu Wote Unatokana Na Kuwa na Yesu. Huwezi Kuwa Mbabe kama Mimi Bila Kuwa na Yesu ndani Yako

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo Ni Maneno yaliyotamkwa kwa Ujasiri na kujiamini na Mwamba Wa Kaskazini Mheshimiwa Paul Makonda Jabali la Siasa Ambaye Hajawahi kupoteza Pambano wala Vita ya Aina yoyote ile aliyopigana. Mwamba Paul Makonda Amesema Ubabe Wake Wote Unatokana na kuwa na Yesu ndani...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Makonda: Oktoba 28, 29 na 30 ni siku ya kumshukuru Mungu kwa kuitunza amani ya Tanzania

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, akizungumza Bungeni leo Oktoba 27, 2026, amesema kuwa kufanyika kwa Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) jijini Arusha ambao ulianza Oktoba 5 hadi 9, 2026, ni ushahidi thabiti wa amani, utulivu, na mshikamano uliopo nchini...
  3. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Chivayo, Peter wa royal tour, Kikwete na Paul Makonda wana siri gani

    Hawa mabwana inaonesha kuna jambo wanashirikiana, je hii si hujuma kwa watanzania na familia ya kiongozi mkuu? Inaonesha wote wamekula keki ya taifa.
  4. RSM Dominik

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda ni noma jamani jamaa yupo siriazi na kazi

    -Akiwa kama mlezi wa mkoa wa mwanza nimeona video moja ya juz ama majuzi akiwa na mkutano na watendaji wa halmashauri ya mwanza wakiongozwa na jamaa mmoja aliyejitambulisha kama ni KAIMU MKURUGENZI wa halmashauri(afisa tehama kitaalamu) , hallo naomba muitafute ile video millard ayo anayo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Maduhu ahoji Makonda kuwa Mlezi Mkoa wa Mwanza 'Cheo cha mlezi wa mkoa kipo kwa mujibu wa sheria ipi na ibara gani ya katiba?

    Wakili William Maduhu amehoji uhalali wa kisheria wa Waziri wa Habari, Paul Makonda, kuzungumzia na kutangaza miradi ya maendeleo ya barabara, meli na shule mkoani Mwanza, akisisitiza kuwa uteuzi wa mawaziri huambatana na majukumu maalumu yanayoainishwa na Rais kupitia nyaraka za uteuzi. Maduhu...
  6. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Muombeeni Samia hali yake ya afya ni mbaya sana

  7. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa Paul Makonda akiwa Rais wa Tanzania anajua njia za kushika madaraka

    Madaraka yana-njia zake na usipojua njia za kushika maradaka hata uwe na akili kiasi gani ni ngumu sana kushika madaraka kama hujui zake Paul Makonda anajua njia za kushika madaraka na mara nyingi watu kama hawa huwaga wanachanga karata zao kwa siri huku wakiwa kwenye power mnakuja kushtuka...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda Alisimamisha Jiji La Mwanza Usiku Huu. Asindikizwa Na Maelfu ya Wananchi Kwenda Kukagua Vyoo Vya Hospitali

    Ndugu zangu Watanzania, Paul Makonda Mwamba Mwenyewe Wa Kaskazini Na Jabali la Siasa Nchini Ameliteka na kulisimamisha Jiji la Mwanza Usiku Huu. Ambapo Mwamba Mwenyewe na Chuma Cha Reli Amesindikizwa na Maelfu kwa Maelfu ya Wananchi wa Mwanza Usiku huu kwenda kukagua Vyoo vya Hospitali...
  9. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda anaweza kuwa Presdential material bora kuliko Samia, au Madelu

    Kwa maoni yangu binafsi, Tetesi zinazoendelea za Makonda kum replace Madelu kwenye uwaziri mkuu sioni shida yoyote.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ni Paul Makonda Tenaa Apakwa Mafuta Na Mungu katika Ulimwengu Wa Kiroho.

    Ndugu zangu Watanzania, Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda ataendelea kupaa , Kung'ara na kukwea juu zaidi na zaidi kila Uchao. Ataendelea kuwa nyota Ya Matumaini, ataendelea kuwa midomoni Mwa Watanzania. Ataendelea kuwa Miongoni Mwa Hazina chache tulizonazo kwa Taifa letu, ataendelea kuwa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Niffer Kwa Kinywa Chake Amiminaaa Sifa na Pongezi Kwa Rais Samia Na Paul Makonda Kwa Mchango Mkubwa Walioutoa Ili Kufanikisha Ushindi Wa Jihan .

    Ndugu zangu Watanzania, Nilishasema sana Humu Jukwaani Popote Pale utakapoona Ushindi wa Jambo lolote lile katika Taifa letu nje ya Tanzania na kimataifa ama ndani ya Nchi yetu basi tambua ya Kuwa Kuna Mkono wa Rais Samia Nyuma ya Ushindi Huo. Sasa Niffer Kwa Kinywa Chake Amemiminaaa Sifa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusheni Ya Kuwa Field Marshall Paul Makonda Hajawahi kushindwa vita yoyote ile. Huyu ni Zaidi ya Alexander The Great. Msimjaribu Mtaumia Vibaya

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwaambieni na Kuwakumbusheni Ya Kuwa Mwamba Mwenyewe Field Marshall Paul Makonda Hajawahi kushindwa vita yoyote ile katika vita zote alizowahi kupigana . Mwamba hajawahi kupoteza wala kuweka silaha chini katika Uwanja wa Vita . Mwamba hajawahi kurudi nyuma ...
  13. tpaul

    JamiiForums Tanzania Makonda kufyatua Jezi mpya zenye nembo ya Mama?

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Taarifa za kiintelejensia zilizopo ni kwamba Bwana Paulo Makonda ameazimia kutumia kila rasilimali aliyo nayo kuhakikisha kwamba anafyatua jezi mpya za timu ya taifa kwa gharama yoyote ile. Wadau waliopo karibu na waziri huyo nguli wa michezo zinasema ndugu Makonda...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makonda: Tukisema jezi ni mbaya mnatupeleka Mahakamani? Hatuna haki ya kutoa maoni?

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amekemea vikali vitendo vya baadhi ya viongozi na wadau wa michezo kutumia vitisho vya kisheria dhidi ya wananchi na wanahabari wanaokosoa muundo na ubora wa jezi za timu ya taifa. Makonda amesisitiza kuwa Katiba ya Nchi inampa kila...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kwa Miaka Mitatu mfululizo Sandaland na TFF hawajawahi kufanya Mapitio ya Mkataba

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ameeleza kuwa kulingana na Ibara ya 5(2) na Ibara ya 3(2) ya mkataba kati ya TFF na Sandaland, pande hizo mbili zilitakiwa kufanya mapitio ya kimkataba kila mwaka, lakini kwa miaka mitatu mfululizo hawajawahi kufanya mapitio hayo...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makonda: Jambo la jezi sio ajenda yetu ya kikao cha leo. Sitawanunia wanashambulia kuhusu jezi

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewataka wadau na jamii kuelekeza nguvu zao kwenye mijadala ya kujenga badala ya kushambulia personalities za viongozi, akisisitiza kuwa yeye hana ugomvi na mtu yeyote na anafanya kazi zake kwa mujibu wa katiba na mamlaka aliyopewa...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kufikia Desemba 2026, Kila Kitu Kitakuwa Kimekamilika kwa Maandalizi ya AFCON 2027

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa kufikia Desemba 2026, maandalizi ya Tanzania kwa ajili ya michuano ya AFCON 2027 yatakuwa yamekamilika kwa asilimia 98 hadi 100. Soma Pia: Makonda: Serikali imelipa CAF Tsh. Bilioni 82, Tanzania kuwa mwenyeji wa AFCON 2027
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makonda: Waandishi natamani leo mniulize maswali magumu, sitafuatilia kama una Ithibati

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewataka waandishi wa habari kutumia fursa ya mahojiano naye kuuliza maswali magumu na yenye tija badala ya maswali mepesi, akisisitiza kuwa lengo ni kutoa majibu yatakayomwezesha mwananchi wa kawaida kuelewa kwa kina masuala...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makonda kuongea na Waandishi wa Habari Septemba 24, 2026. Nini unatarajia kusikia?

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda anatarajiwa kufanya mkutano na Waandishi wa Habari kesho, Septemba 24, 2026, Jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo, Septemba 23, 2026 na Wizara hiyo, Makonda atatumia mkutano huo kuzungumzia masuala...
  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rapa Rick Ross: Heshima kubwa kwa Rais Samia kwa kuiweka Tanzania kwenye jukwaa la dunia

    Msanii maarufu wa Marekani, William Leonard Roberts II, anayefahamika kwa jina la Rick Ross, ameendelea kuonyesha kuvutiwa na Tanzania akitamani kufanya ziara hivi karibuni. Katika mazungumzo yake, Rick Ross ameisifu Tanzania na kueleza nia yake ya kuitangaza Tanzania pamoja na fursa zake kwa...
Back
Top Bottom