Ni Paul Makonda Tenaa Apakwa Mafuta Na Mungu katika Ulimwengu Wa Kiroho.

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda ataendelea kupaa , Kung'ara na kukwea juu zaidi na zaidi kila Uchao. Ataendelea kuwa nyota Ya Matumaini, ataendelea kuwa midomoni Mwa Watanzania.

Ataendelea kuwa Miongoni Mwa Hazina chache tulizonazo kwa Taifa letu, ataendelea kuwa Hazina za baadaye , ataendelea kuwa kama Dhahabu.

Nimeyaona Mambo Makuu juu yake ,Nimeuona mkono na Uso wa Mungu ukiwa Juu yake na kumpa Kibali . Nimeona akifunuliwa na Kuinuliwa Siku za Baadaye.

Kwa hakika Hapa Rais Samia alipatia sana kumuweka na kumjumuisha ndani ya baraza lake na ataendelea kumsaidia sana na kuwa Miongoni Mwa Nguzo imara zenye kushikilia serikali yake na askari na Jemedari Mwaminifu sana kwake wa kutumainiwa .Kwanza Mwamba ni jasiri kwelikweliiiiiii kuzidi hata Simba mnyama , akiunguruma hadi Ardhi inatetemeka Yenyewe.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
In fact,
Waziri Paul Christian Makonda is among very few powerful individuals in this country, the blessed man enjoys different talents he has and ofcourse the gentleman is hard working man in nature.

God bless Paul Christian Makonda 🙏
 
Inaonekana wewe umekata tamaa ya maisha kwa haya unayofanya. Usihofu wala kuwa kichaa kwa haya yanayoendelea.
 
Watu wa haki akina Lissu huwaoni uje utuletee story za mtu asie msafi?peleka huko upuuzi wako
Lissu yeye Asubiri Adhabu Kali itakayomfanya Ailaani Siku yake ya kuzaliwa . Hatucheki na mtu anayehatarisha usalama wa Taifa. Lazima ajue Ule Mdomo wake Alipaswa kuudhibiti Mapema Kabla haujamuingiza matatizoni
 
In fact,
Waziri Paul Christian Makonda is among very few powerful individuals in this country, the blessed man enjoys different talents he has and ofcourse the gentleman is hard working man in nature.

God bless Paul Christian Makonda 🙏
Utashangaa Ma CHADEMA yanatukana Matusi kwa wivu tu na chuki binafsi Maana yale majaa yanajijua yenyewe akili zao
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda ataendelea kupaa , Kung'ara na kukwea juu zaidi na zaidi kila Uchao. Ataendelea kuwa nyota Ya Matumaini, ataendelea kuwa midomoni Mwa Watanzania.

Ataendelea kuwa Miongoni Mwa Hazina chache tulizonazo kwa Taifa letu, ataendelea kuwa Hazina za baadaye , ataendelea kuwa kama Dhahabu.

Nimeyaona Mambo Makuu juu yake ,Nimeuona mkono na Uso wa Mungu ukiwa Juu yake na kumpa Kibali . Nimeona akifunuliwa na Kuinuliwa Siku za Baadaye.

Kwa hakika Hapa Rais Samia alipatia sana kumuweka na kumjumuisha ndani ya baraza lake na ataendelea kumsaidia sana na kuwa Miongoni Mwa Nguzo imara zenye kushikilia serikali yake na askari na Jemedari Mwaminifu sana kwake wa kutumainiwa .Kwanza Mwamba ni jasiri kwelikweliiiiiii kuzidi hata Simba mnyama , akiunguruma hadi Ardhi inatetemeka Yenyewe.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Si bure utakuwa unafinyangwa tako.
 
Back
Top Bottom