Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Samia yuko wapi? Anakufa?Sina mazingira Magumu shambani Kwangu
Samia yuko wapi? Anakufa?Sina mazingira Magumu shambani Kwangu
CHADEMA akili zenu mnazijua wenyewe
Yanaweza kuwa ni yale ya Vaseline 100% petroleum jelly 🤣.
Kazi iendelee
Hujitambui kabisa weweWe kumah Yani unamtukana mwanachama mwenzio..eti mpakwa mafuta....we akili zako mavi kabisa...nenda na wewe ukapakwe mana unaongea sana
😄😄Hayo mafuta amepakwa wapi mwilini?
Hayo mafuta aliyopakwa yanaitwaje na lengo lake ni kulainisha kitu gani?