Paul Makonda anaweza kuwa Presdential material bora kuliko Samia, au Madelu

Ok
Screenshot_20261012_193930_Instagram.jpg
 
Kwa maoni yangu binafsi,
Tetesi zinazoendelea za Makonda kum replace Madelu kwenye uwaziri mkuu sioni shida yoyote.

Hii nchi inahitaji mtu aliye active kwenye ufuatiliaji wa uwajibikaji hata wa watumishi wa chini jambo ambalo Samia anakwama.

Changamoto ya kuwa na raisi recessive ni kwamba anakuwa kama kivuli tu kuwafunika mafisadi hasa, na katika hili namuona Madelu anaweza kutumika sana.

Wakati Makonda anaweza kutumika akiwa chini yako lakini ukimpa madaraka makubwa ni rahisi kumg'ata hata aliyemfunga kamba.
Mshauri akubali kwanza kutumia jina lake halisi la DAUDI ALBERT BASHITE ndiyo tuisikilize hoja yako.
 
Takataka
Kwa maoni yangu binafsi,
Tetesi zinazoendelea za Makonda kum replace Madelu kwenye uwaziri mkuu sioni shida yoyote.

Hii nchi inahitaji mtu aliye active kwenye ufuatiliaji wa uwajibikaji hata wa watumishi wa chini jambo ambalo Samia anakwama.

Changamoto ya kuwa na raisi recessive ni kwamba anakuwa kama kivuli tu kuwafunika mafisadi hasa, na katika hili namuona Madelu anaweza kutumika sana.

Wakati Makonda anaweza kutumika akiwa chini yako lakini ukimpa madaraka makubwa ni rahisi kumg'ata hata aliyemfunga kamba.
 
Watu wa aina ya Makonda ndio CCM wanatakiwa si unaona yule wa Kagera aliyesema ataua wakosoaji wa bi kidude wamempa cheo Lumumba huko.
Nimeshangaa kwa kweli, yule ilitakiwa pale ile siku anatoa statement ni kumfukuza kazi na kumvua uanachama, maana anakiuka na sera au katiba ya chama chao, cha ajabu wanampandisha Cheo.
 
Back
Top Bottom