Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Hawa ni Wayahudi wa kufosi kwa miaka wamekuwa wakiwaua palestine kwa style hii.
Hawa ni Wayahudi wa kufosi kwa miaka wamekuwa wakiwaua palestine kwa style hii.
Jina lenyewe tu ni la kufoji! Arudi kwanza darasani akasafishe cheti. Awamu ijayo ni zamu ya watu wenye akili na IQ kubwa.Machawa wa kibaka wa Kolomije naona leo posho za buku 7 zimewatembelea mnachafua tu jukwaa na upuuzi.
Huyo zero brain labda ni presidential material ya wahuni na vibaka.View attachment 3689405
Kwa maoni yangu binafsi,
Tetesi zinazoendelea za Makonda kum replace Madelu kwenye uwaziri mkuu sioni shida yoyote.
Duh Mungu ibariki Tanzania haki...Kwa maoni yangu binafsi,
Tetesi zinazoendelea za Makonda kum replace Madelu kwenye uwaziri mkuu sioni shida yoyote.
Tatizo lako unalinganisha bure, hewa, zero na ambo ambo!Kwa maoni yangu binafsi,
Tetesi zinazoendelea za Makonda kum replace Madelu kwenye uwaziri mkuu sioni shida yoyote.
CCM ina hazina ya viongozi bora. Na kila Kiongozi atakaa sehemu sahihi wakati sahihi.Kwa maoni yangu binafsi,
Tetesi zinazoendelea za Makonda kum replace Madelu kwenye uwaziri mkuu sioni shida yoyote.