Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.
Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.
He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ametangaza kuwa Disemba 09, 2024 wakati Tanzania itakapokuwa inaadhimisha Miaka 63 ya Uhuru, Mkoani Arusha kutafanyika Kongamano kubwa la maombi la kuombea Mkoa wa Arusha dhidi ya changamoto mbalimbali zinazoikumba mkoa huo
Makonda ametoa kauli hiyo...
Wakuu,
Kila nikiangalia mtu wa kuziba pengo la msomi wetu Dkt Ndugulile pale WHO namuona Paul Makonda tu.
Kutokana na "uchapakazi" wake akiwa mkuu wa mkoa pamoja na uwezo wa kuongea mbele za watu nashauri huyu ndo akawakilishe taifa huko WHO kama Mkurugenzi
Pia kwa kuwa tulihakikishiwa kuwa...
Wakuu,
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda ameshiriki zoezi la upigaji kura leo Novemba 27 ,2024 mkoani Arusha ikiwa ni katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo amewataka wananchi kupiga kura na kuondoka eneo la vituo vya uchaguzi kwakuwa kazi ya kulinda kura tayari ipo kwa mawakala wa...
Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atinga mtaani na Kampeni ya Usafi mtaa kwa mtaa, atangaza kuanza kupigwa picha za watu wachafu mkoani humo na kutangazwa hadharani.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya...
Wakuu
Makonda hapoi, huko Arusha ameamka na hii ya kutumia gari la Zimamoto
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda akiendesha gari la jeshi la Zimamoto na Uokoaji huku akihamasisha zoezi la usafi katika Mkoa wa Arusha leo Novemba 26 2024.
Wakuu,
Baada ya kutema cheche siku ya Jumapili, Paul Makonda ameendelea kutoa matamko mbalimbali
Siku ya leo akiwa anaongea na wanahabari, Makonda amesema kuwa kazi ya kuwa kiongozi ni ngumu sana na hata yeye alikuwa anaingiza pesa nyingi akiwa mfanyabiashara kuliko sasa hivi akiwa analipwa...
Kwa ufupi:
Kauli na hoja za Paul Makonda na majibu yake:
HOJA #1: Tundu Lissu ni mchanga kwake (Makonda) kisiasa. Kauli hii ina ukweli wowote?
JIBU: ➡Ni mwongo, mzushi. Tundu Lissu yumo ndani ya siasa (active politics) tangu mwaka 1995 na mwaka huo aligombea ubunge Jimbo la Singida Mashariki...
Hebu soma hapa kauli ya Makonda kuhusu Lissu
Hata kama Watanzania ni Wajinga, lakini ndio wakubali kudanganywa kibwege namna hii?
Makonda amemzidi nini Lissu kisiasa, Huyu jamaa ni Mzima kweli? Hata kama ni Mkuu wa Mkoa lakini Anapaswa kuwa na Heshima kwa wakubwa waliomzidi Kila kitu.
Nadhani...
Jinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230.
Ili aweze kurudisha uzalendo ndani ya nchi yetu. Ukimsikiliza speech yake ya leo ya arusha utajua kuwa ni kiongozi bora.
Leo...
Wakuu,
Inaonekana leo Makonda ameamua kusema yote ya rohoni
Akiwa anaongea rasmi na wanahabari, Makonda amesema kuwa clip inayomuonesha akiwa anaingia na bunduki Clouds ilitumika vibaya kupotosha na kwamba Clouds wamemtumia sana yeye kuliko yeye alivyowatumia.
"Hakuna kituo chochote...
Wakuu,
Makonda akiwa katika mkutano wa kuelezea miezi 6 ya makonda ameaulizwa swali kuhusu ban yake ya Marekani kwamba hilo linaasharia kabisa Makonda kuhusika na masuala ya utekaji na uvunjifu mwingine wa haki za binadamu.
Makonda akijibu swali hili amesema kelele hizi zilianza alipoanzisha...
Hivi ni wewe ULIKUWA Kagera wakati wa tetemeko la ardhi wakati ule...naomba nikumbushwe, sikumbuki kama tayari ULIKUWA siasani.
Ukaenda Kagera dege la precision likaanguka pale kwenye maji, palikuwa na uchelewaji mkubwa wa kuokoa majeruhi na Vifo (ndipo walipozaliwa nyota wapya kina Majaliwa)...
RIPOTI YA MIEZI 6 YA MHE. PAUL MAKONDA (MKUU WA MKOA WA ARUSHA)
Mhe. Paul MAKONDAAtazungumza na Waandishi wa Habari Jumapili Novemba 17, 2024 Ukumbi wa Simba Hall AICC - ARUSHA Kuanzia Saa 9 Kamili Mchana.
TUKIO HILI KUBWA LITAKUA LIVE KUPITIA @WASAFITV NA YOUTUBE WASAFIMEDIA ...
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha; tunakuomba uingilie mgogoro ulioko kati ya Jiji la Arusha na shule ya msingi Arusha (Arusha School) iliyoko mkabala na Tanesco Arusha!
Sisi wazazi tunalipa ada Ili watoto wapate huduma mbalimbali za kimasomo, chai asubuhi, chakula cha mchana na chakula cha...
Wakuu habari zenu,
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ame-share picha hizi akiombewa mbele ya Madhabahu na Pastor Tony Kapola katika ibada maalum. Pastor Kapola alimwombea Makonda hekima na ulinzi katika utendaji wake.
Pia, Soma:
+ Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ametangaza rasmi kuwa timu ya Coastal Union ya Tanga, maarufu kama "Wagosi wa Kaya," sasa itaanza kutumia Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kama uwanja wake wa nyumbani. Hatua hii inalenga kukuza mchezo wa soka mkoani Arusha, huku pia ikileta manufaa makubwa...
Povu rukhsa!
Nikiri tu kuwa mimi ni muumini wa mtu yeyote anayetumia akili yake vizuri.
Makonda anajitofautisha sana na viongozi wengine hapa nchini. Yeye ni mchapa kazi na mbunifu sana.
kwa sasa mkoa ambao una mkuu wa mkoa makini ni Arusha tu.
Tunawaomba viongozi wengine wafanye kazi kwa...
Wafanyabiashara na matajiri wa Arusha wamekuwa na ari na ubunifu mkubwa ila mara nyingi wamekosa sapoti ya Serikali. Landrover Festivals zilizofanyika hivi majuzi ni moja ya bunifu nyingi za watu wa Arusha na Moshi ambazo kwa muda mrefu zimekosa kuungwa mkono kwasababu za kisiasa.
Wanasiasa...
Leo tunatambua huko Arusha kuna jambo kubwa ambalo limeandaliwa na Serikali ya Mkoa huo chini ya Mkuu wa Mkoa Paul Makonda ambalo ni LandRoverFestival2024 .
Sasa hapa jitazamie mwenyewe namna msafara mkubwa ulivyofunga barabara za kuelekea viwanja vya Kisongo magereza.
Soma Pia:
Polisi...
Makonda anaalika watu wenye Range, Doscovery nk kwenda Arusha kwenye tamasha la land rover festival 2024, huku akieleza kuwa watakaokwenda wakiwa njiani wakipata changamoto yoyote wamwambie Huyo Askari wa Barabarani ampigie Makonda, yaani kesi zote auziwe yeye Makonda, waseme Makond ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.