Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.
Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.
He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
Wanachonifurahisha Paul Makonda na Mrisho Gambo ni kwamba Wao hawafanyi siasa za kinafiki
Kila Kitu kinawekwa mbele ya pazia halafu July Wajumbe wataamua kwenye Kura za maoni
Tofauti na Mbowe na Tundu Lisu wanaopelekana Kanisani kusuluhishwa kisirisiri
Ahsanteni sana
Baraza la Madiwani mkoani Arusha kwa pamoja limeridhia na kumuomba Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda kugombea ubunge kwa jimbo la Arusha Mjini.
Je uamuzi huu wa madiwani wa jimbo hilo ni kwambaa wamekosa imani na Mbunge wa sasa anayemaliza muda wake, Mrisho Mashaka Gambo?
Soma zaidi: Pre GE2025...
Ndugu zangu Watanzania,
Mwamba wa kaskazini na kijana jasiri kuwahi kutokea kusini Mwa jangwa la Sahara Mheshimiwa Paul Makonda ameunguruma na kuitikisa Dunia mpaka viunga vya Washington DC Marekani.
Ametoa kauli ambazo zimeitetemesha mpaka Ikulu ya Whitehouse Ya Marekani.
Soma hapa ujumbe...
Wakuu,
Kunaanza kuchangamka sasa, Makonda asema wale wote waliofanikiwa kwa fedha za ushoga moto wa Mungu utawashukia.
Makonda asema inatia uchungu unamlea mtoto kwa tabu halafu anaenda kuwa shoga, jambo ambalo anamkubali sana Trump kuwa mstari wa mbele kushughulikia suala hili.
Asema...
Ndugu Zangu Watanzania,
Nimemsikia Mbunge wa Arusha Mjini Mheshimiwa Mrisho Gambo akisema na kulalamika kuwa ni aibu Kwa Arusha kukosekana kwa Stendi kubwa na ya kisasa Mkoani Arusha.
Lakini ikumbukwe na kuwakumbusheni na kumkumbusha Mheshimiwa Mrisho Gambo kuwa Kabla ya kuwa Mbunge Amekuwa DC...
Wanabodi
Hii ni opinion article
Mikoa haifanani, na uwezo wa ma RC haulingani!.
Kuna mikoa migumu na mikoa milaini milaini. Mikoa migumu ni ile mikoa yenye majiji, DSM, Dodoma, Arusha, Mwanza, Mbeya, etc, na mikao milaini milaini milaini ni mikoa ambayo haina issues kabisa kama Kilimanjaro...
Wakuu,
Tunaposema kwamba CCM wameanza kampeni kabla ya muda elekezi hii ndio maana yake.
=========================================================
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, leo Januari 24, 2025, amepokea pikipiki 20 zilizotolewa na Leopard Foundation kwa Jeshi la Polisi...
“Kaka yangu Jafo [Waziri Selemani Jafo] unafahamu 2020 niligombea kule Kigamboni, sina uhakika sana kama nitaenda kwenye jimbo Kigamboni, ni kama vile nimenogewa na hii kazi aliyonipa Dkt. Samia hapa Arusha."
Pia soma
Pre GE2025 - Makonda ajaribu tena bahati yake Kigamboni
Pre GE2025 -...
Wajumbe wa mkutano mkuu NEC
===
Hatimaye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amemaliza Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri kuu Leo kwa Mafanikio Makubwa kazi iliyobaki ni Mkutano Mkuu kesho tarehe 18.01.2025.
Rais Samia...
Hili waweza kulibishia kwakua ni Mbishi tu.
Kwenye Siasa, Mvuto ni muhimu sana na huu Mvuto mara nyingi ni wa kuzaliwa.
TUNDU LISSU ana Mvuto sana Kwa Gen-Z maana ndio kizazi chenye Elimu inayowatoa Ujinga, na KURA za mijini ambapo wasomi na wale wanaamini CCM imekaa sana madarakani inabidi...
Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kudai mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo haudhurii vikao, mbunge huyo amesema suala hilo linahitaji elimu kwa sababu yeye ni mbunge na ana vikao vya Bunge.
"Mimi sio ofisa tarafa, siyo mtendaji wa mtaa wala kata, mimi ni mbunge wa...
Kuna watu hawapendi maneno mengi.
Mchi inalalamika kukosekana maji. Cha ajabu Mh Rais anawachekea chekea wakina awesoambao uwezo umeishia pale alipo.
Huyu jamaa kama ilivyo hata tabia za wake zake naye ndio alive ni msanii saniii sana anaweka usanii kwenye maisha ya watu.
Akimuondoa mhalifu...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiwa kiongozi Mkubwa na wa cheo kikubwa kama kuwa Mkuu wa Mkoa yaani Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa na kiongozi mwenye Ndoto ya kuja kuwa kiongozi Mkubwa siku za usoni .
Siyo Vyema sana kuelemewa na hisia mpaka kufikia hatua ya kulia na kutoa au...
Ndugu zangu Watanzania,
Leo Tanzania na Dunia nzima imeshuhudia maandamano na matembezi makubwa sana ya amani kuwahi kushuhudiwa kanda ya kaskazini yakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Arusha Mwamba Mwenyewe Paul christian Makonda kijana Jasiri kuwahi kutokea katika ukanda wa kusini Mwa jangwa la...
Wakuu
Nabii Mkuu Dkt. GeorDavie, ametoa neno kwa wakazi wa Mkoa wa Arusha na kwakipekee kwa Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Paul Christian Makonda akimuahidi kula mema ya nchi.
Wakuu,
Wakati mataifa mengine yakijikita katika tafiti mbalimbali na kuwekeza katika miradi ya kimaendeleo, Makonda siku ya leo amekusanya maelfu ya wananchi na kuanza kukemea roho chafu "zinazokwamisha" maendeleo
"Ndio mkoa pekee ukienda kusoma unafaulu, yale mapepo mgandamizo, mateso...
Hizi drama anazofanya Makonda kweli nchi nzima tumekuwa wehu kama yeye kiasi hiki?
Yaani unafunga safari unaacha shugjuri zako za msingi kabosa za kukuza kipato chako unageukia betting! Maombi ni betting which means failure of thinking beyond ndo unageukia maombi kama mbadala wa udhaifu wako...
Wakuu,
Makonda asema Tangu alipopata uenezi, mshahara wote ameweka mahabahuni kwa Mungu, na hata alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa Arusha hajawahi kula hata sh kumi, mshahara wote unaenda madhabahuni!
Makonda ameyasema hayo leo wakati akiongea na wananchi katika matembezi ya kuliombea taifa leo...
Nipende kusema kuwa Tanzania imebarikiwa kuwa na vipaji vya watu wa kipekee wenye kuasisi mambo mengi ambayo baadaye huchukuliwa na watu wengine duniani na kuwa sehemu ya ufanisi wa matarajio ya wanadamu.
Ukiweka pembeni unafiki basi hutaacha kuona namna gani mteule wa Mhe.Rais ndugu Makonda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.