Makonda kuongea na Waandishi wa Habari Septemba 24, 2026. Nini unatarajia kusikia?

Makonda kuongea na Waandishi wa Habari Septemba 24, 2026. Nini unatarajia kusikia?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda anatarajiwa kufanya mkutano na Waandishi wa Habari kesho, Septemba 24, 2026, Jijini Dar es salaam.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo, Septemba 23, 2026 na Wizara hiyo, Makonda atatumia mkutano huo kuzungumzia masuala mbalimbali yanayohusu Wizara, ikiwemo matukio makubwa ya Kitaifa na Kimataifa yanayotarajiwa kufanyika Nchini katika mwaka 2026/2027.

Mkutano huo utafanyika katika Hoteli ya Hyatt, Posta, Dar es salaam kuanzia saa 4 asubuhi, huku usajili wa Waandishi wa Habari ukianza saa 2 asubuhi.

Wizara imesema Waandishi wa Habari watakaohudhuria pia watapata nafasi ya kumuuliza Waziri Makonda maswali mbalimbali ambayo atayajibu papo hapo.

1790159336413.png
 
AFADHALI mji uchangamke.

Sandaland kuongea na wana habari keshokutwa, kila mtu ashinde mechi zake.
 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda (Mb), anatarajiwa kufanya mkutano na waandishi wa habari kesho, Tarehe 24 Septemba, 2026, kuanzia saa 4:00 asubuhi katika Hoteli ya Hyatt iliyopo Posta, Jijini Dar es Salaam, huku usajili wa waandishi ukitazamiwa kuanza saa 2:00 asubuhi hotelini hapo.

Mkutano huu umeratibiwa na Wizara ili kutoa fursa kwa Mhe. Waziri kufanya mazungumzo na wanahabari kuhusu masuala mbalimbali yanayoihusu sekta hiyo, ikiwa ni pamoja na kutoa ufafanuzi wa matukio makubwa ya Kitaifa na Kimataifa yanayotarajiwa kufanyika nchini katika mwaka wa fedha wa 2026/2027.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Zaituni Mkwama, wanahabari wote wamealikwa na watapata nafasi ya moja kwa moja ya kuuliza maswali na kupata majibu papo hapo kutoka kwa Mhe. Waziri Makonda.
SaveClip.App_820934054_18629800240057742_3906475194893675329_n.jpg
 
Mambo yanayomnogea kiongozi haya! Sandalendi
 
Shwazniga
Lamine Yamal
na sifa nyingi ziende kwa mjane.

Huyu zuzu asiitie tasnia kwenye mtego wa kufungiwa mana kuna malalamiko na ushahidi wa kuchanganya siasa na michezo kwa miaka miwili iliyopita.
 
Back
Top Bottom