Paul Makonda ni noma jamani jamaa yupo siriazi na kazi

RSM Dominik

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2026
Posts
207
Reaction score
561
-Akiwa kama mlezi wa mkoa wa mwanza nimeona video moja ya juz ama majuzi akiwa na mkutano na watendaji wa halmashauri ya mwanza wakiongozwa na jamaa mmoja aliyejitambulisha kama ni KAIMU MKURUGENZI wa halmashauri(afisa tehama kitaalamu) , hallo naomba muitafute ile video millard ayo anayo,

-Utacheka,utavunja mbavu hata Makonda mwenyewe kasikitika wee kaanza kucheka, kaimu mkurugenzi hana data za halmashauri yake jamani, kaimu mkurugenzi anapishana maelezo na mhasibu(mchumi) wa halmashauri,

-Kaimu anaulizwa ni miradi gani inayomilikiwa kwa pato la ndani la halm? Anajibu wamejenga shule ya english medium😂

Anaulizwa kama kuna pesa imebaki katika ile hela ya asilimia kumi ya vikundi annasema ipo wakati mchumi anasema hakuna hata mia mbovu😂 anaulizwa ile pesa inayotoka serikali kuu kusaidia halmashauri kwa shughuli mbalimbali imebaki shingapi kwa sasa?

Anajibu bil6 wakati mchumi anajibu bil2😂😂😂

Hebu itafuteni halafu msikie makonda kasemaje kwa mkanganyiko ule.
 
Attachments

  • FB_IMG_17904248078641019.jpg
    FB_IMG_17904248078641019.jpg
    47.9 KB · Views: 7
Wewe huoni kama futuhi au kana sio futuhi huoni kama makonda anamuhujumu RAIS? Kupitia uzalilishaji wa mteule wake maana waziri na mkurugenzi wote wameteuliwa na mt mmoja
 
-Akiwa kama mlezi wa mkoa wa mwanza nimeona video moja ya juz ama majuzi akiwa na mkutano na watendaji wa halmashauri ya mwanza wakiongozwa na jamaa mmoja aliyejitambulisha kama ni KAIMU MKURUGENZI wa halmashauri(afisa tehama kitaalamu) , hallo naomba muitafute ile video millard ayo anayo,

-Utacheka,utavunja mbavu hata Makonda mwenyewe kasikitika wee kaanza kucheka, kaimu mkurugenzi hana data za halmashauri yake jamani, kaimu mkurugenzi anapishana maelezo na mhasibu(mchumi) wa halmashauri,

-Kaimu anaulizwa ni miradi gani inayomilikiwa kwa pato la ndani la halm? Anajibu wamejenga shule ya english medium😂

Anaulizwa kama kuna pesa imebaki katika ile hela ya asilimia kumi ya vikundi annasema ipo wakati mchumi anasema hakuna hata mia mbovu😂 anaulizwa ile pesa inayotoka serikali kuu kusaidia halmashauri kwa shughuli mbalimbali imebaki shingapi kwa sasa?

Anajibu bil6 wakati mchumi anajibu bil2😂😂😂

Hebu itafuteni halafu msikie makonda kasemaje kwa mkanganyiko ule.

..umewahi kumsikia Wanu Ameir akijibu maswali bungeni?
 
Tatizo ni huyo Makonda.
Alipoanza kuwalaumu viongizi wa dini kwa sera za wizi walizozipitisha-sera kama kula kwa urefu wa kamba, nikajua hata thinking capacity hapo hakuna.
 
Back
Top Bottom