Makonda: Kufikia Desemba 2026, Kila Kitu Kitakuwa Kimekamilika kwa Maandalizi ya AFCON 2027

Makonda: Kufikia Desemba 2026, Kila Kitu Kitakuwa Kimekamilika kwa Maandalizi ya AFCON 2027

Makonda alibeba machawa ya serikali kwa jina jingine yanaitwa
Simba & yanga influencers hadi Morocco kuishangilia Serengeti stars.
Tukapigwa na senegal.
Kabla ya mechi akasema "Rais Dkt Samia ameelekeza timu hii isivunjwe ikae kambini hadi kwaajiri ya kombe la dunia 2030.....😆😆😆
Alipofungwa tu akasema
"Hatahivyo niliota kwenye ndege tutafungwa na senegal "
 
Back
Top Bottom