Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewataka wadau na jamii kuelekeza nguvu zao kwenye mijadala ya kujenga badala ya kushambulia personalities za viongozi, akisisitiza kuwa yeye hana ugomvi na mtu yeyote na anafanya kazi zake kwa mujibu wa katiba na mamlaka aliyopewa na Rais.
Makonda ameongeza kuwa anafahamu baadhi ya mijadala au "pambano" za mtandaoni zimekuwa fursa ya kiuchumi kwa baadhi ya wananchi kujipatia kipato na kuendesha maisha yao kupitia kazi za uandaji wa maudhui (content creation), hivyo kufanya kazi hiyo kuwa jambo la heri badala ya kuwa chanzo cha mizozo au chuki.