Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amezungumzia tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuikosoa Serikali, akidai kuwa kuna askofu ambaye umaarufu wake umejengwa katika kuikosoa Serikali.Makonda amesema, “Kuna askofu umaarufu wake wote ni kukosoa tu Serikali,” kauli inayoibua mjadala kuhusu nafasi ya viongozi wa dini katika kukosoa utendaji wa Serikali na kushiriki mijadala ya masuala ya kitaifa.