Waziri Makonda awashukia wananchi wanaotaka polisi wasipongezwe

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

Hata polisi amejitahidi polisi amejitahidi kuokoa... Ah... Naomba nisikilizeni jamani. Mimi nachukua kile kilichonyooka.

Mimi niko kwenye ukweli. Hatuwezi kuwa jeshi la polisi limefanya kazi ya maana kuokoa maisha ya watu hamtaki kusikia. Ila wangekosea wakafa mngekuwa wa kwanza kuanza kwenye mtandao wa kijamii.

Tabia ya kijinga sana hii. Tabia ya kijinga sana hii. Maisha ya watu yameokolewa, kumshukuru Mungu, watu wa mtendaji wazungumza, ufurahi. Wange... hawa watu wangewaua wasiyojulikana huko ndio wangekuwepo habari.

Mwanzo ni ah, habari hakalikii, watu wasiyojulikana wangewaletea habari ya namna hiyo? No, don't wash it. Mkija kwenye mikutano ya Makonda na wewe, mnakutana na mwamba. Mimi sio mwanasiasa naotafuta cheap popularity. Ah. Sipendi kupendwa pendwa kijinga. Sina shida na sifa za kijinga. Ndio maana akikosea mtumishi wa umma utanyooka naye.

Na wewe mwananchi ukishabikia ujinga, hauna nafasi wewe. Anasema kazi yetu kesi ya mana pale ya Hospitali yetu ya Kisessa. Tunaenda kuangalia hapo. Tukikuta wazembera tunakula nusu saa moja. Lakini kazi nzuri iliyofanya na jeshi la polisi nzuri ya kutukuka mnapenda habari mbaya. Mnaosema hapa mnaokanua wanaopenda habari mbaya wako wapi?

Kumbe kuna wengi hapa. Yaleo yangu mnisikie kwenye huu mtego. Na najua hata wanawake wangependa kusikia habari mbaya tu. Sikilizeni jamani mimi ni ndugu yenu. Tusipende kwenye mkoa huu tuwe na tabia za kutokouappreciate kazi nzuri kifanye. Hii yaowa wawatoto... hawa watu wanajua wanafamilia wamewanika kwenda kutafuta hela kwa ajili ya familia zao.

Watu ambao wameingia waondoe maisha yao, wanachukua wenzao. Jeshi la polisi limebarbana limeokoa. Eti huo ushahidi hauhitajiki. Eh. Sasa. Haya bwana malizieni mheshimiwa...
 
Nchi imetulia kwa jitihada za mapolisi hilo linajulikana ile siku sisi tulioamua kupiga kura na kurudi ñyumbani tulichagua uhai kuliko wale wenzetu waliokuwa wanakata vidole waliopigakura, wanaharibu mali za watu, kuiba na kuharibu miundombinu ya serikali, hakika wao waliwachoza mapolisi wakiwa kwenye kazi yao ya kulinda usalama wetú na mali.

Rai yangu:Ili kuwatia moyo,na kuwaongezea nguvu kiutendaji serikali ifanye jambo kwa mapolisi.
 
Jambazi anaweza kuiba, halafu sehemu ya alichoiba akamgawia maskini, japo kusaidia maskini ni jambo jema, lakini hilo haliondoe ukweli kuwa wewe ni jambazi.

Maharamia wanaojiita polisi, kuokoa uhai wa watu 2, hakuwezi kuwafanya waonekane ni binadamu, wakati siku zote wanashiriki matendo ya kiharamia ya kuua watu, kuteka watu, kutesa watu, na kubambikia watu kesi za uwongo.

Kati ya maadui wabaya kabisa wa Mtanganyika, ni watawala wauaji, CCM ya wauaji na watekaji na majambazi wanaojiita polisi. Hawa ni wakoloni wabaya kuliko mkoloni yeyote aliyewahi kuwepo.

Yaani uue watu zaidi ya elfu 10, uokoe 2, halafu usifiwe! Utasifiwa na wendawazimu au mashetani wenzako.
 
Nchi imetulia kwa jitihada za mapolisi hilo linajulikana ile siku sisi tulioamua kupiga kura na kurudi ñyumbani tulichagua uhai kuliko wale wenzetu waliokuwa wanakata vidole waliopigakura, wanaharibu mali za watu, kuiba na kuharibu miundombinu ya serikali, hakika wao waliwachoza mapolisi wakiwa kwenye kazi yao ya kulinda usalama wetú na mali.

Rai yangu:Ili kuwatia moyo,na kuwaongezea nguvu kiutendaji serikali ifanye jambo kwa mapolisi.
machoko siku nchi ikikombolewa mjiandae kumimbia nchi nguruwe nyinyi
 
Hata polisi amejitahidi polisi amejitahidi kuokoa... Ah... Naomba nisikilizeni jamani. Mimi nachukua kile kilichonyooka.

Mimi niko kwenye ukweli. Hatuwezi kuwa jeshi la polisi limefanya kazi ya maana kuokoa maisha ya watu hamtaki kusikia. Ila wangekosea wakafa mngekuwa wa kwanza kuanza kwenye mtandao wa kijamii.

Tabia ya kijinga sana hii. Tabia ya kijinga sana hii. Maisha ya watu yameokolewa, kumshukuru Mungu, watu wa mtendaji wazungumza, ufurahi. Wange... hawa watu wangewaua wasiyojulikana huko ndio wangekuwepo habari.

Mwanzo ni ah, habari hakalikii, watu wasiyojulikana wangewaletea habari ya namna hiyo? No, don't wash it. Mkija kwenye mikutano ya Makonda na wewe, mnakutana na mwamba. Mimi sio mwanasiasa naotafuta cheap popularity. Ah. Sipendi kupendwa pendwa kijinga. Sina shida na sifa za kijinga. Ndio maana akikosea mtumishi wa umma utanyooka naye.

Na wewe mwananchi ukishabikia ujinga, hauna nafasi wewe. Anasema kazi yetu kesi ya mana pale ya Hospitali yetu ya Kisessa. Tunaenda kuangalia hapo. Tukikuta wazembera tunakula nusu saa moja. Lakini kazi nzuri iliyofanya na jeshi la polisi nzuri ya kutukuka mnapenda habari mbaya. Mnaosema hapa mnaokanua wanaopenda habari mbaya wako wapi?

Kumbe kuna wengi hapa. Yaleo yangu mnisikie kwenye huu mtego. Na najua hata wanawake wangependa kusikia habari mbaya tu. Sikilizeni jamani mimi ni ndugu yenu. Tusipende kwenye mkoa huu tuwe na tabia za kutokouappreciate kazi nzuri kifanye. Hii yaowa wawatoto... hawa watu wanajua wanafamilia wamewanika kwenda kutafuta hela kwa ajili ya familia zao.

Watu ambao wameingia waondoe maisha yao, wanachukua wenzao. Jeshi la polisi limebarbana limeokoa. Eti huo ushahidi hauhitajiki. Eh. Sasa. Haya bwana malizieni mheshimiwa...
siku hizi hata chizi amekuwa na confidence
 
Makonda mjinga sana.
Yeye na wanasiasa wenziwe wamewatumia Polisi kama toilet paper kisiasa kudhuru wananchi kwa ajenda zao, hasa Okt 29.
Sasa Polisi wamechafuka mbele ya wananchi.
Yey Makonda anataka wananchi wawashangilie polisi wauaji wa Okt 29?
Kwani wananchi wajinga kama yeye Makonda?

Makonda na wanasiasa wenziwe watakula jeuri yao.
 
Hata polisi amejitahidi polisi amejitahidi kuokoa... Ah... Naomba nisikilizeni jamani. Mimi nachukua kile kilichonyooka.

Mimi niko kwenye ukweli. Hatuwezi kuwa jeshi la polisi limefanya kazi ya maana kuokoa maisha ya watu hamtaki kusikia. Ila wangekosea wakafa mngekuwa wa kwanza kuanza kwenye mtandao wa kijamii.

Tabia ya kijinga sana hii. Tabia ya kijinga sana hii. Maisha ya watu yameokolewa, kumshukuru Mungu, watu wa mtendaji wazungumza, ufurahi. Wange... hawa watu wangewaua wasiyojulikana huko ndio wangekuwepo habari.

Mwanzo ni ah, habari hakalikii, watu wasiyojulikana wangewaletea habari ya namna hiyo? No, don't wash it. Mkija kwenye mikutano ya Makonda na wewe, mnakutana na mwamba. Mimi sio mwanasiasa naotafuta cheap popularity. Ah. Sipendi kupendwa pendwa kijinga. Sina shida na sifa za kijinga. Ndio maana akikosea mtumishi wa umma utanyooka naye.

Na wewe mwananchi ukishabikia ujinga, hauna nafasi wewe. Anasema kazi yetu kesi ya mana pale ya Hospitali yetu ya Kisessa. Tunaenda kuangalia hapo. Tukikuta wazembera tunakula nusu saa moja. Lakini kazi nzuri iliyofanya na jeshi la polisi nzuri ya kutukuka mnapenda habari mbaya. Mnaosema hapa mnaokanua wanaopenda habari mbaya wako wapi?

Kumbe kuna wengi hapa. Yaleo yangu mnisikie kwenye huu mtego. Na najua hata wanawake wangependa kusikia habari mbaya tu. Sikilizeni jamani mimi ni ndugu yenu. Tusipende kwenye mkoa huu tuwe na tabia za kutokouappreciate kazi nzuri kifanye. Hii yaowa wawatoto... hawa watu wanajua wanafamilia wamewanika kwenda kutafuta hela kwa ajili ya familia zao.

Watu ambao wameingia waondoe maisha yao, wanachukua wenzao. Jeshi la polisi limebarbana limeokoa. Eti huo ushahidi hauhitajiki. Eh. Sasa. Haya bwana malizieni mheshimiwa...
Sawa naomba kuuliza kama yeye husema ukweli ulionyooka je akitoa neno la kukemea mauji ya October 29 yaliofanywa na VYOMBO vya usalama ikiwemo na jeshi la police
 
King'asti wa mtu mwizi vibaya mno.
Kajenge msikiti Bwana Shwazniga.
 
Back
Top Bottom