waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Siku chache baada ya Waziri Kadogosa kutoa maelekezo, Mitambo 41 yarejeshwa katika Mradi wa Iringa Bypass

    Agizo lililotolewa na Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, mwezi Oktoba 2026, mkoani Shinyanga, alipokuwa akizungumza na wananchi wa Msalala, wilayani Kahama, limeanza kutekelezwa baada ya vifaa na mitambo ya ujenzi kuanza kurejeshwa katika maeneo ya miradi husika, hatua inayolenga kuhakikisha...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nikasema Waziri wa habari,Sanaa,utamaduni na michezo ndiye ampaye Platform Sheikh Mwaipopo, nitakuwa nimekosea?

    Kiutendaji ,Waziri wa habari, utamaduni,Sanaa na michezo ndiye anayesimamia na kushauri vyombo vya habari kuripoti habari zenye kuleta tumaini ndani ya nchi ,kukemea vyombo vya habari vinavyoripoti habari zenye kutonesha vidonda vya waliouwawa Oct 29 pia ni majukumu yake kama Waziri husika...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kiutendaji, Waziri Ridhwani Kikwete akiamua kutokomeza watekaji na wasiojulikana, anaweza....ila...

    Hili swalanla wasiojulikana kujiamulia watakavyo linalotuumiza vichwa, ni jambo dogo sana ikiwa Waziri Ridhwani Kikwete akiamulia kulivalia njuga. Awamu ya pili ya mzee Mwinyi marehemu, Aliinuka Mtu mmoja tokea kule Kilimanjaro aliitwa Lyatonga Mrema, alikuwa akitamka Neno, ndani ya masaa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara changa zaidi duniani; hata hivyo, kila mwaka, mamilioni ya vijana wa kike na wa kiume huingia kwenye soko la ajira kutafuta fursa ambazo hazipo, - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Mwigulu Nchemba tuangalie mustakabali wa vijana wetu

    ▪︎ Ataka viongozi wa Afrika wazingatie uwezo mkubwa walionao vijana ▪︎ Ashawishi matumizi ya Kiswahili kwenye mikutano ya jukwaa hilo▪︎ WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka viongozi wa Afrika kwa umoja wao waangalie mustakabali wa vijana wa bara hilo kwa vile wana uwezo mkubwa licha ya...
  6. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Huyu Waziri alikuwaga mtata sana....!

    Waziri wa sasa atakayethubutu kufanya hivi leo, atatekwa na kufunguliwa kesi ya UHAINI!
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ashiriki Mkutano wa Pamoja wa Urusi na Afrika

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, jana Oktoba 28, 2026, ameshiriki katika kutembelea maonesho wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi uliofanyika Moscow Nchini Urusi. Matembezo hayo yaliyoongozwa na Rais wa Urusi Vladimir Pitin yana...
  8. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania HOJA Bomoabomoa ya majengo Nzega na Tabora mjini haiana afya kwa Serikali. Waziri mwenye dhamana jiandae kutumbuliwa

    Tumeona waziri mwenye dhamana masanja kadogosa kaagiza TANROAD kubomoa majengo ambayo yamepita kwenye reserve ya barabara hasa maeneo ya mjini ambapo watu wanajitafutia kipato. Ni kweli watu walikosea kujenga katika maeneo hayo kwa sasa umewapa siku saba wabomoe wenyewe na wasipofanya hivo...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Homera atangaza Ugunduzi wa Gesi Asilia Wa Futi Za Ujazo Bilioni 223

    Waziri wa Nishati, Dkt. Juma Zuberi Homera, ametangaza rasmi ugunduzi mpya wa gesi asilia wenye kiasi cha futi za ujazo bilioni 223 katika Kitalu cha Mnazi Bay, mkoani Mtwara, kufuatia uchimbaji wa kisima cha utafiti cha Kasa-1X ST2. Ugunduzi huo umefanywa na Shirika la Maendeleo ya Petroli...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Wayahudi watamchagua Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu?

    Hizi ni baadhi tu ya sababu zinazonifanya nimchague Benjamin Netanyahu: 1. Alirejesha mateka wote. 2. Alimwangamiza Nasrallah. 3. Alimwangamiza Yahya Sinwar. 4. Alimwangamiza Ismail Haniyeh. 5. Alimwangamiza Mohammed Deif. 6. Alivunja muundo wa uongozi wa Hamas na Ali waangamizwa maelfu ya...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri alisema mgao uishe; miezi 10 baadaye Kinondo bado inapewa maji kwa zamu

    Mimi ni mkazi wa Kinondo, Mabwepande. Katika eneo langu tumekaribia kutimiza wiki mbili bila maji. Kinachoumiza zaidi ni kwamba bado tunasubiri zamu, halafu hata zamu ikifika baadhi yetu hatupati huduma. DAWASA itueleze: mgao huu una mwisho lini, na maji yatafika lini kwa wale ambao zamu zao...
  12. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni ashiriki mkutano wa mawaziri wa Mazingira wa Afrika nchini Armenia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati) ameshiriki Mkutano wa Mawaziri kutoka Barani Afrika waliokutana kujadili msimamo wa Afrika na vipaumbele vyake ikiwa ni maandalizi ya mkutano wa ngazi ya juu wa Mkutano wa 17 wa Nchi...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo na Aweso wakijipanga kabla ya mkutano wa 4 Biennale ya Luanda

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Maji Jumaa Hamidu Aweso mapema leo jijini Luanda, Angola wakijiandaa na kujipanga kushiriki Mkutano wa 4 la Biennale ya Luanda—Jukwaa la Afrika kuhusu Utamaduni wa Amani...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania waziri mkuu Mwigulu Nchemba arejea nchini akitokea marekani

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amerejea nchini baada ya kuhitimisha ziara ya kikazi nchini Marekani, ambako alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), jijini Des Moines, Jimbo la...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Anaandika Juma Aweso, Waziri wa Maji

    Tunawaomba wananchi kutumia maeneo rasmi ya huduma ya maji kuepusha Taharuki. "Nimefatilia zaidi swala la upatikanaji wa Maji Kijiji cha Iponda baada ya taarifa zilizowekwa mtandaoni kwa kutuma timu ya wataalamu wafike haraka na kunipa taarifa sahihi; lengo kuu ni kujiridhisha na kuwa na...
  16. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Dorothy Gwajima,Umri wa wale watoto ushafika hata wakikataa shule utawafanya nini.

    Kuna mda mwengine hata katiba na sheria za hapa tanzania zinapitiwa juu kwa juu. Nimeona ile video wakijitamba wale watoto wengine mambo ya kubeti,wengine kuingia rasmi na mambo kudanga. Ukiangalia kisheria wale washafikisha umri wa 18. Na umri ule anauwezo wa kuoa,kuolewa,kufanya kazi na...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Nukuu mbalimbali za Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, wakati akitoa mada kuu kuhusu mustakabali wa

    Nukuu mbalimbali za Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, wakati akitoa mada kuu kuhusu mustakabali wa kilimo barani Afrika katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Iowa, jijini Des...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Acha tuwekeze kwa wakulima, na tuwekeze pia katika sayansi. Tuwekeze kwa vijana na wanawake. Tuwekeze katika mifumo thabiti ya - Waziri Mkuu Nchemba

    Acha tuwekeze kwa wakulima, na tuwekeze pia katika sayansi. Tuwekeze kwa vijana na wanawake. Tuwekeze katika mifumo thabiti ya chakula. Na zaidi ya yote, tuwekeze katika uwezo wa kilimo barani Afrika. Kwa kweli, kabla ya njaa haijatushinda, tuchukue hatua, tuwekeze na tuvumbue pamoja. Tujenge...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Usalama wa chakula ni usalama wa taifa

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania inauchukulia usalama wa chakula kuwa sehemu muhimu ya usalama wa taifa na msingi wa kudumisha uthabiti wa uchumi. Amesema upatikanaji wa chakula na lishe ya uhakika una mchango mkubwa katika kuboresha maisha ya wananchi na kuiwezesha Serikali...
  20. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wanawadai EL Nino, Viongozi wa Dini Wadai Walifunga na Kuomba El Nino Isije na TMA wanasema El Nino ilianza mwezi wa 5. Tushike la Nani?

    My Take Tushike lipi? https://www.instagram.com/reel/DevpsREotHp/?psln=ZXdlbzlocTFxODEy Kutoka Kwa TMA wao wanasema El Nino ilishaanza Toka mwezi wa 5. https://www.instagram.com/reel/DexIUhdsYeW/?obrf=MWhuZXZzbGpiY2NodA== My Take 2 Watanzania ndio watu pekee Duniani wanaoombea wapate majanga...
Back
Top Bottom