Nikasema Waziri wa habari,Sanaa,utamaduni na michezo ndiye ampaye Platform Sheikh Mwaipopo, nitakuwa nimekosea?

Footstep

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2026
Posts
383
Reaction score
594
Kiutendaji ,Waziri wa habari, utamaduni,Sanaa na michezo ndiye anayesimamia na kushauri vyombo vya habari kuripoti habari zenye kuleta tumaini ndani ya nchi ,kukemea vyombo vya habari vinavyoripoti habari zenye kutonesha vidonda vya waliouwawa Oct 29 pia ni majukumu yake kama Waziri husika.

Swali: Nikasema Waziri wa habari utamaduni Sanaa na michezo ndiye anayempa Shehe Mwaipopo coverage ya anayofanya nitakuwa nimekosea?

Karibuni
 
Hujakosea kwa sababu wote hao wawili ni wapumbavu wasio na akili hata moja. Bashite ni zero brain, na huyo Mwaipopo tapeli na mwizi aliyetapeli huko Kenya na ambaye anatafutwa kwa makosa ya wizi. Yaani wote wawili wana tabia zinazofanana.
 
Kwahiyo tuache haya yaendelee bila kuchukua hatua yoyote?

Swali la pili sasa hilo, mjadala wako ulianza kwa kuuliza "utakua umekosea" so hatukupredict kwamba utauliza la pili ili tujibu pamoja! Context...
 
Hujakosea kwa sababu wote hao wawili ni wapumbavu wasio na akili hata moja. Bashite ni zero brain, na huyo Mwaipopo tapeli na mwizi aliyetapeli huko Kenya na ambaye anatafutwa kwa makosa ya wizi. Yaani wote wawili wana tabia zinazofanana.
Yanayoendelea nchini petu waeza Dhabi ni uko ndotoni, kumbe ndio uhalisia wenyewe
 
Halafu anapoomba aombewe ili azidi kumpa coverage Mwaipopo kuivuruga nchi.
 
Kiutendaji ,Waziri wa habari, utamaduni,Sanaa na michezo ndiye anayesimamia na kushauri vyombo vya habari kuripoti habari zenye kuleta tumaini ndani ya nchi ,kukemea vyombo vya habari vinavyoripoti habari zenye kutonesha vidonda vya waliouwawa Oct 29 pia ni majukumu yake kama Waziri husika.

Swali: Nikasema Waziri wa habari utamaduni Sanaa na michezo ndiye anayempa Shehe Mwaipopo coverage ya anayofanya nitakuwa nimekosea?

Karibuni
Sahihi! Hili shetani mwaipopo kuna siku hasira za watu watamchemsha na kumla supu kwa hasira zilizopitiliza
 
Maneno anayotamka ni mabaya,

Anafanya Tanzania ionekane kama Haina serikali imara kama Kule Sudani au Somalia
 
Back
Top Bottom