michezo

  1. K

    JamiiForums Tanzania HIVI Bado Kuna watanzania wanafutilia taarifa za habari kupitia TV, au kusoma magazeti zaidi ya vipindi vya michezo

    Kuna wakati nilikuwa napenda sana kuangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku kupitia ITV. Sasa HIVI Nina miaka mitano au sita hivi sifuatili taarifa hizo kupitia TV. Mimi ni kuangalia mpira na tamthilia kidogo . Habari zangu nyingi nazipata mtandaoni. Tena napata habari ghafi kabisa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nikasema Waziri wa habari,Sanaa,utamaduni na michezo ndiye ampaye Platform Sheikh Mwaipopo, nitakuwa nimekosea?

    Kiutendaji ,Waziri wa habari, utamaduni,Sanaa na michezo ndiye anayesimamia na kushauri vyombo vya habari kuripoti habari zenye kuleta tumaini ndani ya nchi ,kukemea vyombo vya habari vinavyoripoti habari zenye kutonesha vidonda vya waliouwawa Oct 29 pia ni majukumu yake kama Waziri husika...
  3. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Michezo

    Droo imetoka leo CAF CHAMPION LEAGUE tarehe 28 Oct 2026 Cairo! 🔥 Na Simba na Yanga hawajaangukiana. Hii hapa ratiba kamili ya makundi ya CAF Champions League 2026/27: KUNDI A: Esperance (Tunisia), Petro Atletico (Angola), FC Nouadhibou (Mauritania), Wiliete SC (Angola) KUNDI B - YA YANGA...
  4. lugoda12

    JamiiForums Tanzania MICHEZO

    Tayari mambo yamekwisha iva huko SHIRIKISHO, kaeni mkao wa kula! ⚽️
  5. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Michezo

    Tayari mambo yamekwisha iva huko, kaeni mkao wa kula! ⚽️
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa | Ligi Kuu NBC |KMC Complex | 12:30 Jioni | 27 Oktoba, 2026. Yanga warejesha makali yao

    Kivumbi cha ligi kuu kinaendelea leo kikiwakutanisha Mabingwa watetezi Yanga SC dhidi ya Mashujaa kutokea Kigoma. Yanga ataingia kuyataka matokeo ya alama 3 baada ya kutoka sare dhidi ya TRA mchezo uliopita ============= Yanga wamerejea kwenye wimbi la ushindi wa ligi kuu baada ya kumfunga...
  7. Digaller

    JamiiForums Tanzania Mwamposa: End of an Era au mwanzo wa michezo michafu?

    Habari, Kwa siku za hivi karibuni tumeshuhudia ile video ya Mtume na Nabii Boniface Mwamposa akitoa ushuhuda na dokezo kuhusu kuingia chumba cha marubani na kumuuliza rubani kwanini ndege haitembei kwa speed. Video ilienda viral kwa sababu y maelezo yake na mazingira yake ukiwa ndani ya ndege...
  8. TANAPA

    JamiiForums Tanzania Serengeti kuwa kitovu cha utalii wa michezo Afrika, uzinduzi wa uwanja wa gofu Fort Ikoma wafungua fursa mpya za kiuchumi

    Na. Edmund Salaho - FORT IKOMA, SERENGETI Serikali ya Tanzania imeeleza dhamira yake ya kuimarisha utalii wa michezo nchini kupitia uzinduzi rasmi wa Uwanja wa Golf wa Hifadhi ya Taifa Serengeti, uliopo Fort Ikoma, Wilaya ya Serengeti, mkoani Mara, ikiwa na lengo la kuongeza ushindani wa...
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania DStv wanakaribia kuzindua package maalum za michezo hivi karibuni

    Mkaburu amekuja kuzinduka jua lishazama ama kumepambazuka!! Baada ya kampuni ya Multichoice inayomiliki DStv kununuliwa na kampuni ya Canal+ sasa wameamua kuja na vifurushi maalum vya michezo, movie na documentaries. Hii ni baada ya unyonyaji wa miaka mingi waliokuwa wanatufanyia. Mkipita huko...
  10. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania waziri wa mambo ya ndani kuingilia wizara ya michezo na michezo kuingilia wizara ya afya na uchumi.

    Kwa sasa tanzania na shindwa kuelewa ni nani haramu ni nani raisi ni waziri. Leo mkurugenzi kawa mkuu wa kituo cha polisi majukumu yake.
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi elon na starlink yake waliishia wapi kuja bongo, maana hawa providers wetu wanacheza michezo na mabando yetu

    Janja janja nyingi kwenye routers zenu Michezo mingi kwenye vifurushi vyenu. Tunawaangalia tu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya michezo kama funny city

    Wakuu Nina wazo lakufungua sehemu ya michezo kama ya funny city.je wataalamu wakutengeneza madude Yale kama ya funny city wanapatikana wap
  13. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi yajipanga kusogeza kliniki za ardhi katika michezo

    Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amesema Wizara yake inajipanga kuanzisha Kliniki ya Ardhi katika mashindano kama ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali (SHIMIWI) ili kuzidi kusogeza huduma za ardhi kwa wananchi...
  14. Duh Aisee

    JamiiForums Tanzania Nchimbi hana Siasa za kufanywa adui na Mfumo: Michezo Tu

    Kama ilivyo kwa binadamu wengine ni vizuri kujuliana hali na kuthamini uhai wa kila mtu kwa hiyo naelewa nikiona watu wanawaza yuko wapi bwana Ima. Ila sisi sote tunajua quality ya mpinzani ambayo CCM hawawezi kucheka naye, Ima hamna kitu, yani kisa kusema “Pambanieni katiba”??? Yuko sehemu...
  15. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Ardhi Sports Club yashiriki ufunguzi wa Michezo ya 40 ya SHIMIWI Kilimanjaro

    Timu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (Sports Club) imeshiriki ufunguzi rasmi wa Michezo ya 40 ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) ulioambatana na maandamano ya wanamichezo wote wanaoshiriki michuano hiyo mkoani Kilimanjaro. Maandamano ya...
  16. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli Nembo mbalimbali za michezo ni Free mason?

    Je, kuna ukweli wowote kwamba nembo za vifaa vya michezo (kama vile Nike, Adidas, Puma, au nyinginezo) ni ishara za Freemason. Je ni (conspiracy theories) na uvumi wa mitandaoni ambao hauna ushahidi wowote wa kihistoria au wa kisheria au kuna ukweli? Ukweli kuhusu nembo hizo umejikita katika...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka ukubalike Arusha, deal na Warangi, Wambulu na Wanyaturu; utamaduni wa jiji una influence yao kubwa sana hadi street life

    Ukifuatilia vizuri culture ya vijana Arusha, kuna makundi fulani yamekuwa na influence kubwa sana. Wale wadudu mnaowaona wengi, wengi wao ni wa huko Babati. Muziki wa Arusha umetawaliwa kwa kiasi kikubwa na Warangi, wanyaturu, wanyiramba, wambulu. Makundi yameanza kuwa kama utamaduni na...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mda mfupi niliokaa jamii forum hum na kwa upeo wangu mdogo nimegundua yafuatayo

    Kama hizi mbinu zote mmefeli CHADEMA ni dude kubwa 1.Divide and rule>kugawa kundi Ili lisipate nguvu ya pamoja 2.Reward and punishment>kutumia zawadi na adhabu kusimamia tabia 3.Framing>Kueleza jambo kwa mtazamo frani Ili wanaokusikiliza waelewe kwa namna hyo 4.Complomise>Kila upande kutoa...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Ibrahim ambokile wa EFM, ni mshabiki au mwana habari wa michezo mwenye mapenzi ya dhati na Yanga?

    Kuna huyu jamaa alikua pale abood fm na ss yuko EFM redio, jamaa akiwa ktk kipindi Chake anaikebehi sana simba na kusema kila kitu ni kibaya, kwani changamoto yake ni nini uyu mchambuzi?
  20. Mwakikusi

    JamiiForums Tanzania MICHEZO NA VICOBA VINAVYOUA NA KUDHALILISHA NDOA ZA WENGI

    Wananchiiiiiiiii......... Hivi mnajua kwa asilimia kubwa za wanawake wanaojishughulisha na michezo ya fedha na upatu wanakuwa ●Hawapendi tendo la ndoa ●Wanakuwa na upuuzaji wa wenzi wao ●Wanakuwa watumwa wa madeni mitaani na kwenye taasisi ●Wengi wanaanza "Umalaya" ili kukidhi marejesho...
Back
Top Bottom