Mwakikusi
Senior Member
- Jan 14, 2014
- 124
- 64
Wananchiiiiiiiii.........
Hivi mnajua kwa asilimia kubwa za wanawake wanaojishughulisha na michezo ya fedha na upatu wanakuwa
●Hawapendi tendo la ndoa
●Wanakuwa na upuuzaji wa wenzi wao
●Wanakuwa watumwa wa madeni mitaani na kwenye taasisi
●Wengi wanaanza "Umalaya" ili kukidhi marejesho
●Maendeleo wanayoyapenda ni kuvaa,kula na kujirusha mitandaoni kuaminisha watu kwamba situation is calm🤣🤣
KWA MWANAUME ULIYEOA HAKIKISHA UNAPAMBANA,WAKE ZENU WANAOCHEZA MICHEZO YA FEDHA TUNAWAONA WANAVYOSALITI NDOA ZAO HUKU NJE NI HATARI SANAAAAAA.
Kama umeamua kumruhusu acheze basi usizidi mmoja ambao siku nyingine uwe unamsaidia na ujue terms and conditions za huo mchezo ukiweza huyo kijumbe umjue.
Utapunguza kuibiwa mkeo.
Wakati mwema kwenu.
Seniour nashuka jukwaani🙏
@Mwakikusi🇹🇿