Madereva waligoma wakidai baadhi ya haki ikiwemo zuio la jaribio la ukataji wa pointi kwenye leseni, mgomo huo ulidumu kwa siku 2 na ya 3 mabasi yalianza kurejea taratibu.
Baada ya mgomo huo, siku kadhaa kupita baadhi ya viongozi wa madereva walifanya mkutano na waandiahi wa habari wakidai...
Salaam jamiiforum.
Wanaume wenzangu chungeni hivi vitu,kuweni navyo makini na kama ukihisi huna uwezo wa kuvimudu usijihusishe navyo.
👉Pombe.
Hii kitu inaweza kugharimu maisha yako na ukaharibu ndoto zako zote.
👉 Mapenzi.
Usiiingie kwenye huu mtego kama huna akili timamu utaharibu future...
viongozi wachache wanaponza wachaga wote kuonekana kila kitu pesa mbele
Cv ya wachaga inaendelea kugalagazwa matopeni kwa haya matukio ya wanasiasa wake wa upinzani kuvigeuza vyama kuwa mitambo ya kupiga deal na kuwa madalali wa siasa.
fedha
harakati
katika
kitu
kuliko
mbele
misingi
msimamo
pesa
sana
siasa
siasa za upinzani
thamani
uaminifu
upinzani
viongozi
wachache
wachaga
wengi
wote
Iran , iran , iran niwaite mara ngapi msikie? Why mnazubaa hivi? Mmeshindwaje kuwathibiti hawa makafir wanaingia na kutoka watakavyo humo kwenu?
Yaani Taifa kubwa kama lenu linashindwaje wadhibiti hawa Mayahudi mpaka wanakuwa wanatamba kiasi hicho? Uchumi wa Iran umeyumba kwa mambo ya kipuuzi...
Hili liwe fundisho,
Ukijeruhiwa Kwa dhulma za hawa vibaka wanaojiita walinda amani, kamwe usiende au usipeleke ndugu yako hospitali hizi wanazodai zao,
Siku Ile mbaya, ndugu zetu wengi walipojeruhiwa, tulipowafikisha hospitali hizo, tuliamini watakuwa salama, cha kusikitisha hata miili Yao...
Hii mada ni pana sana maana inagusa maisha yetu ya kila siku ambayo yanavitu vingi sana ndani yake!.. tunaishi maisha katika dhana ya uchumi, mapenzi, Dini, siasa/uongozi, jamii n.k
Shida ipo hapa "unaishi huku unajifunza na wakati unajifunza vitu vinatokea dhahiri wala sio maigizo!"
Kama...
Nchi masikini, hauna rasilimali lakini mnamwaga mwaga kila kona
Hao watoto wengi wao ni fatherless, wanalelewa na mama pekee , au wana lelewa na ndugu au bibi maana mama anatamba kujitafuta kwenye mabaa ya sinza na tabata, baba yeye aliikataa mimba amekimbilia mkoani huko na tena huko amempa...
SIHITAJI SADAKA YAKO, MIMI SIO NABII, SIKUFUNDISHI UAMINI NINI, ILA NATAKA UJUE UKWELI
Utazaliwa na kuitambua njia moja ya kutaka kupata tendo, ambayo ni kwenye uke.
Itafika hatua ambapo unakuwa mtazamaji wa pornograph, ambapo utaona "pleasure mpya" katika sehemu ya aja kubwa ya mwanamke, ile...
Aisee hii inakera sana utakuta mdada amevaa vizuri na anavutia vizuri tu ila ukimsogelea ukitaka kumuongelesha ile anafungua tu mdomo wake anatoa harufu mbaya ya mdomo tena mbaya mpaka inafikia anaharibu hali ya hewa aisee hii sio mara moja yaani kati ya Maslay quuen 10 ninaoongea nao 8 au 9...
MOVIE ILIYOTAZAMWA NA WATU WENGI ZAIDI KATIKA HISTORIA: NI AVATAR AU TITANIC?
Watu wengi wanadhani Avatar ya James Cameron ndiyo movie namba moja kwa sababu imeingiza karibu Dola Bilioni 3. Lakini, ukiangalia "Idadi ya Watu" (Reach), jibu ni tofauti kabisa.
Hizi hapa ndizo Movie 3 zenye rekodi...
MOD UKITAKA KUBADILI CHOCHOTE SEMA NAMI BWANA NASIKIA ACHA UJUAJI.
MADA
Wakati wa tendo la ndoa, msuguano ukizidi unaweza kusogeza bakteria kutoka kwenye ngozi au eneo la haja kubwa ya ke kuelekea kwenye tundu la mkojo la me na ke simulitaneously, na bakteria hao wanapoingia kwenye njia ya...
Wakati baadhi ya watu wanatumia AI kuuliza maswali ya kawaida, wengine wanajifunza kuitumia kutengeneza huduma ambazo watu na biashara ziko tayari kuzilipia. Tofauti haipo kwenye teknolojia pekee, bali namna unavyoitumia.
Gemini AI inaweza kuwa nyenzo muhimu ya kuongeza ufanisi na kuanzisha...
Hakuna mtu anayetafuta pesa kwa mishe, kazi na biashara, akaitupe bar na kuondoka atakuwa na wazimu, wengi wanatumia pesa za wizi,hongo na dili haramu.
Ukiondoa wale wanaokula madhabahuni, yaani pastors, bishops, mitume na wengine wenye access na sadaka wengine wengi wanateseka sana katika maisha ya kiuchumi.
Wakristo wote tuliomwamini Yesu tutaingia mbinguni bila kujali dhehebu na kama kuna Mkristo hataingia mbinguni basi kuna sababu zingine...
Watanzania tunahitaji mabadiliko, na wengi tunaamini kuwa Katiba mpya ni sehemu muhimu ya mabadiliko hayo
Tunatarajia itasaidia kurekebisha mifumo yenye changamoto kupunguza migogoro na kuweka mipaka na uwajibikaji katika matumizi ya madaraka
Lakini binafsi napokua nafatilia mijadala kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.