Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Ukiondoa wale wanaokula madhabahuni, yaani pastors, bishops, mitume na wengine wenye access na sadaka wengine wengi wanateseka sana katika maisha ya kiuchumi.
Wakristo wote tuliomwamini Yesu tutaingia mbinguni bila kujali dhehebu na kama kuna Mkristo hataingia mbinguni basi kuna sababu zingine tu na si kwasababu hajaokoka.
Ingawa walokole wengi wanadhani wakristo wa madhehebu mengine jehanamu inawasubiri. Big NO .
Ulokole ni advanced stage ya mwamini.
Ni stage ambayo mwamini anaamua kutembea katika roho.
Ni stage ambayo Mkristo anapaswa awe anasikia sauti ya Mungu, macho yake ya rohoni yanaona, yaani kunakuwa na 24/7 spiritual alertness.
Ulokole si kujihesabia haki.
Ulokole ni stage ambayo unatakiwa uwaone makaika na ufanye nao communication.
Ulokole si kuimba kwa kubana pua au kujaza nyimbo za dini kwenye flash.
It's about communication with God.
Bahati mbaya walokole wengi au wakristo wengi hawanufaiki na ukristo wao.
Wapo wakristo au walokole waliofanikiwa katika hili na lile ila ukweli ni kwamba wamefanikiwa kwa njia za kawaida ambao hata wasioamini wanazioitia na kufanikiwa kwazo.
Nikiwa kidato cha 6 wakati tunasoma ile last touch ili tufanye mtihani wa Geography nikiwa busy jamaa mmoja aliniambia "mtumishi acha kuwa busy kusoma hili na lile njoo hapa kuna paper lote la geography tusolve au upitie wewe mwenyewe" Nikamwambia siwezi kufanya hiyo dhambi.
Wakati napitia hapa na pale makaika wa Mungu akaja na kunionyesha paper lote .
Nilifanya vizuri sana paper la geography form six.
Walokole hatukupaswa kuteseka kabisa maana makaika wako kwa ajili yetu 24 hrs. Makanisani tunafundishwa habari za mapepo na wachawi vitu ambavyo havina maana kwetu.
Yes tunapaswa tuvijue lakini first tungejua kwanza makaika na kazi zao. Kwasababu makaika ni watumishi wetu while mapepo si kwa ajili yetu.