una

Uña is a municipality located in the province of Cuenca, Castile-La Mancha, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 138 inhabitants.

View More On Wikipedia.org
  1. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Mpango wa urusi kutaka kuhamishia baadhi ya viwanda vyake afrika je una lengo jema?

    Russian factories could soon be heading to Africa. That's the message Vladimir Putin delivered in Moscow on Thursday. Speaking on the second day of the Russia–Africa Summit, Putin said Russian companies are interested in shifting some of their production to African countries. He linked the idea...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Padre Jonathan Mkwizu: Unaweza ukatesa, ukateka, ukaua watu sababu una majeshi - ila, Mungu yupo!

    Katibu wa Askofu wa Jimbo Katoliki Same, Padre Jonathan Mkwizu, amewataka waumini wa Kanisa Katoliki na jamii kwa ujumla kutumia madaraka na nafasi walizonazo kuwasaidia watu wenye uhitaji badala ya kuwatesa, kuwaonea na kusababisha mateso kwa wengine
  3. youngkato

    JamiiForums Tanzania Una biashara lakini jina lake halijasajiliwa? Usisubiri mpaka ukumbane na changamoto!

    Wafanyabiashara wengi wanajitahidi kutafuta wateja na kukuza mitaji yao, lakini wanasahau hatua muhimu ya kuirasimisha biashara yao, ambayo ni kusajili jina la biashara kupitia BRELA. ZIFAHAMU SABABU 5 MUHIMU ZA KUSAJILI JINA LA BIASHARA YAKO. 1. KUJENGA UAMINIFU KWA WATEJA Biashara yenye...
  4. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Ndio maana mchepuko akishajua una visenti anakulazimisha mzae pamoja na ndio maana siku ya msiba wa baba yako watoto wengi hujaa siku ya mirathi

    Hamna pesa ila mnazaana kama panya buku
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mlimao huu una ugonjwa gani? Msaada tafadhali

    Salaam wanajamii forum! Nilipanda mti huu wa mlimao(Tazameni Pichani),lakini tangu nimeupanda haukui sana na upo katika hali hii(Pichani). Wataalam naombeni kujua shida yake ni nini?
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ulokole una faida nyingi sana, ila walokole wengi wanazikosa kwasababu ya mafundisho duni makanisani.

    Ukiondoa wale wanaokula madhabahuni, yaani pastors, bishops, mitume na wengine wenye access na sadaka wengine wengi wanateseka sana katika maisha ya kiuchumi. Wakristo wote tuliomwamini Yesu tutaingia mbinguni bila kujali dhehebu na kama kuna Mkristo hataingia mbinguni basi kuna sababu zingine...
  7. K

    JamiiForums Tanzania JE MKAA UNA THAMANI KULIKO WATU MULEBA?

    * Ni hali ya simanzi na majonzi inaendelea ndani ya wilaya ya Muleba na nje ya Muleba. Haki ya kuishi iko wapi? Vyombo vya ulinzi na usalama kazi yake ni ipi? Tumefikia wapi mpaka kufanya Muleba kuifanya kuwa kama machinjio ya binadamu? Hofu inaendelea kutanda kila mahala baada ya kuona vijana...
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mkia wa samaki Taa(Stingray) una maajabu gani?

  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, una mpango wa kuanzisha biashara ya shisha?

    FAHAMU MTAJI WA KUANZIA NA FURSA ILIYOPO KWENYE BIASHARA HII! Je, umewahi kuona watu wakivuta Shisha kwenye Bar, Club, Beach au Restaurant, ukajiuliza biashara hii inafanyikaje na inahitaji mtaji kiasi gani? Leo nakupa mchanganuo wa vifaa, gharama za kuanzia na makadirio ya mauzo ili uweze...
  10. Gobole Lenye Risasi

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa mtu huru una enjoy Life. Ghafla unaambiwa umeteuliwa kuwa Ayatollah Iran. Unaoneshwa mashimo ya kuishi

    Hii Dunia haipo fair kabisa. Imagine ulikuwa na uwezo wa kutembea popote upendapo. Kwenda beach, porini, shambani n.k ulikuwa unaweza kaa na watoto wako na wakezo mka enjoy Anatokea mbwa mmoja kwa wivu na chuki zake anapendekeza unakuwa Hayatollah. Hapo hapo maisha yanabadilika. Unaanza...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Dodoma hata kama una tiketi unalipishwa ushuru wa kuingia ndani

    Stendi ya Dodoma hata kama una tiketi wanataka abiria walipe ushuru wa kuingia ndani ya stendi. Naenda kupanda kwa ajili ya safari yangu na nina tiketi ya Machine kabisa, then inakuwaje nilipie tena kuingia kwenda kupanda basi? Tulitaka walau tupandie mjini kwenye office za mabasi ila...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kununua Spark Plug sahihi: Usibahatishe ! Fundi na Ai wanaweza kukosea, tumia katalogi hii ya DENSO.

    Makampuni ya spark plugs yapo mengi, lakini kwa uchache wa resources nilizoweza kupata, nimefanikiwa kuipata DENSO Spark Plug Catalog PDF na nimeona niishirikishe hapa kwa manufaa ya wengine. Katalogi ya DENSO ina columns mbalimbali zinazokusaidia kutambua spark plug sahihi kulingana na aina ya...
  13. min -me

    JamiiForums Tanzania Uchungu wa pesa una uma🥲

    Nilikuwa na mke wa ndoa tukakubaliana tuachane kipindi sina kitu, ila alivyo ona mimi sio fala akanidanganya tuachane tu ila ndoa tusivunje🤔 Eti kigezo kuwa yeye kaajiriwa nitatumia bima yake ila nifanye maisha yangu😅😅 Aisee niligoma nikamgonga talaka , japo nilizaa nae😊 Akaenda...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Amid wimbi la visasi katika mahusiano una mshauari nini binti au kijana wa kiume ambaye bado mbichi au anataka kuingia mahusiano yaliyo serious?

    welcome.
  15. Etwege

    JamiiForums Tanzania Ulimi wa Humphrey Polepole una upanga?

    Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana maisha ya watu waliokemewa na Humphrey Polepole kujua yanaendeleaje kwa kweli licha ya watu hao kuwa na hela nyingi sana lakini nimegundua maisha yao ni magumu sana kisaikolojia kwani wanaishi kwa hofu sana na wengi wao mambo yanawaendea vibaya. 1. Wicknell...
  16. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Ukizaliwa Mwanaume: Maisha huwa ni 5-0 , lakini una nafasi ya kupindua matokeo

    Katika maisha haya, kama umezaliwa mwanaume, tayari maisha yameanza kukuchezea 1–0. Umezaliwa Afrika? 2–0. Umezaliwa kwenye familia maskini? 3–0. Baba yako hana urithi wala mali ya kukuachia? 4–0. Unakua na unapambana kutafuta kazi lakini hupati? 5–0. Hapo ndipo unaanza kuelewa kwamba...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Umasikini una mahusiano gani na uchafu ?

    Kwa nini masikini wengi ni wachafu sana ? Kwa nini makazi ya masikini huwa machafu sana ? Sehemu wanazokula masikini ni chafu, usafiri unaoutumika na masikini uchafu hutamalaki, vyoo vinavyotumiwa na masikini huwa vichafu sana. Inawezekana kuwa masikini lakini ukawa msafi na kuishi mazingira...
  18. Red black

    JamiiForums Tanzania Usisafiri na familia yako yote kwenye usafiri mmoja, ni hatari sana

    kama unasafari ya kifamilia ni muhimu kutumia aina tofauti za usafiri baba panda ndege nyingine,watoto na wife wapandishe ndege tofauti mkutane kwenye destination msitumie ndege Moja ni hatari incase of accident itakula bloodline yako yote.
  19. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Mali na madaraka isikufanye upoteze , udhulumu haki ya mwingine . Kesho una la kujibu mbele ya Allah .

    Mali na madaraka ni vitu vya kupita, tamaa ya mali na madaraka isikufanye udhulumu , ushiriki au kushadadia haki ya mwingine ya kuishi ikipokwa. Kila mja ni mchunga na mbele za Mwenyezi Mungu ataulizwa alichokichunga.
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balile: Mwandishi unasema una hofu, hofu ya nini? Mtaua uandishi

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amewakosoa baadhi ya waandishi wa habari na wadau kwa kujenga mtazamo wa hofu unaoua taaluma ya uandishi wa habari badala ya kutumia fursa na sheria zilizopo kupata taarifa. Amezungumza hayo katika maadhimisho ya Siku ya...
Back
Top Bottom