DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Stendi ya Dodoma hata kama una tiketi wanataka abiria walipe ushuru wa kuingia ndani ya stendi.
Naenda kupanda kwa ajili ya safari yangu na nina tiketi ya Machine kabisa, then inakuwaje nilipie tena kuingia kwenda kupanda basi?
Tulitaka walau tupandie mjini kwenye office za mabasi ila washakataza, Watu wapandie stendi tu. 🤔🤔, nikilipia tiketi Mtandao hampati kodi?