ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. ugali dagaa

    JamiiForums Tanzania Mama yetu kwa video hii tunaomba turudishie huyu myu mambo ya ndani

    Sitaongea mengi maana video inajieleza https://youtube.com/shorts/hfQqDQmlbPg?is=Ygc4h9-7jNlpQXhc
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Mwendazake Iliwahi mkana Bashite wakati akiendesha Oparesheni ya kuwasweka ndani "Ambao Hawajalinda mgongo"

    Nawakumbusha tuu. Yaelekea Hawa Wasiolinda mgongo wanaogopwa sana ndio maana husikii Kauli thabiti ya serikali kukemea kama walivyofanya Kwa wale Watoto wa shule waliokuwa wanatikisa makalio. https://www.instagram.com/reel/DfHxU2eMOUA/?vrfl=MTY1eGp3a3l5N2poag== My Take Wanaume wakiacha kuwa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Lema ni Liability au asset ndani ya chama? Wakifukuzwa je...?

    Nimemuuliza mdau wa Siku nyingi ndugu Tindo kwamba, Mbowe na Lema wakifukuzwa ndani ya CHADEMA, hasara Hasi zitakuwa zipi? Jibu: Hakuna hasara yoyote kungoa jino bovu mdomoni. Jibu hili limenipa nguvu ya kupandisha mada hapo juu kuwa, Mbowe na Lema ni asset au liability ndani ya CHADEMA...
  4. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Huwezi kumrekebisha mwenza wako mkiwa ndani ya ndoa.

  5. N

    JamiiForums Tanzania Tufanye nini kama taifa ili vijana wetu wawe na moyo wa kujitolea (kufanya jambo hata kama hatolipwa pesa) ndani ya jamii??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Just imagine gari yako imekwama kwenye mchanga maeneo ya Mbagala Chamazi kisha vijana watatu (3) wanakusaidia kuisukuma mpaka inafanikiwa kutoka. Baada ya hapo, badala ya vijana kusema "kaka tunakutakia safari njema" wao wanasema "kaka tuachie hata ya soda basi" Au...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hadithi za ajabu ndani ya Biblia yetu

    Baruch Spinoza, mwanafalsafa wa karne ya 17 na mmoja wa watu waliothubutu kupinga mitazamo ya kawaida katika fikra za kisasa, alithubutu kumtazama Mungu bila hofu, kuitazama akili na mantiki bila vikwazo, na kuutazama uhuru bila kuomba ruhusa kwa mtu yeyote. Kupitia kipindi cha Beyond Sacred...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyabiashara wa Maua, Mbuyuni- Dar tumepewa siku 3 kuondoka ikielezwa kuwa haitakiwi fremu kuwa kando ya barabara

    Ndugu wanajukwaa, Naomba kutumia jukwaa hili kuwasilisha malalamiko na kuomba msaada wa kufikisha kilio cha wafanyabiashara wanaoendesha shughuli zao katika fremu za biashara za maua zilizopo eneo la Mbuyuni barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Dar es Salaam. Mwaka jana 2025, tulikutana na...
  8. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Walau tungepata Mtaalamu wa Historia humu ndani

    Nimewasoma wachache kama akina Mshana Jr Pascal Mayalla etc. kuna mambo walijaribu kuyaelezea kwa kina nawapongeza. Kuna wakati nawaza kama tungepata mtaalamu wa Historia humu awe anatupatia madini ya ukweli ya mambo mbalimbali ya nchi, africa na dunia. Kwa miaka mingi tumekosa mtu wa namna...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tiketi za SGR 782,000 zanunuliwa lakini hazikutumika ndani ya miezi tisa

    Takribani tiketi 782,000 zilizonunuliwa kwa ajili ya huduma za treni ya Reli ya Kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR) nchini Tanzania hazikutumika kati ya Januari na Septemba 2026, kwa mujibu wa takwimu zilizowasilishwa bungeni. Shirika la Reli Tanzania (TRC) liliuza tiketi milioni 7.64 katika...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kiza Besige Aligoma Kula Chakula hadi kudondoka Mahakamani na kukondeana lakini aliendelea kukaa ndani hadi akaanza kula mwenyewe. Lissu asibembelezwe

    Ndugu zangu Watanzania, Lissu asibembelezwe hata kidogo Yaani tena ikiwezekana asipewe kabisa chakula kama hataki kula ili kupunguza na kuondoa usumbufu wa kutembea kumbembeleza ili ale chakula . Yeye kama hali na hataki kula basi aaachwe akae hivyo hivyo bila kubembelezwa kwa namna yoyote...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"

    Dr am 4 real PhD what happened to our youths, my brother? Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"
  12. M

    JamiiForums Tanzania House4Sale Godown na nyumba 4 za kuishi ndani ya fence zinauzwa Mnada Mpya - Dodoma TZS. 150m

    Godown na nyumba 4 za kuishi ndani ya fence zinauzwa Mnada Mpya - Dodoma TZS. 150m . Eneo: sqm 1300 Umbali: Mita 500 kutoka mnada mpya stendi Nyumba 4....mbili vyumba vitatu master zote, mbili zingine master na sebule Eneo kubwa nje ya fence kujenga hata fremu 7 za biashara Documents ni...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Lissu analindwa na Mungu kakuzwa zaidi ndani ya jela!!

    https://youtu.be/CALO0DrQqa8?si=GjQVirvaBRh9fs9r Hatuna mtu shujaa na mazalendo kama huyu jamaa kwasasa. Tumejaza machawa Tanzania wa waoga tupu
  14. instinct desire

    JamiiForums Tanzania UVCCM haya yanayoendelea siyo sifa ni ukosefu wa nidhamu ndani ya chama. kiongozi wa UVCCM Taifa jitafakari

    Sijapendezwa na midahalo inayoendelea mitandaoni nadhani sasa inavuka mipaka, kama vijana (UVCCM) yapaswa mjitafakari kuona haya mnayoyafanya yanaafya au lah! Kuweni na heshima kwa viongozi ndani ya chama, hayo ya kujibizana mitandaoni si desturi ya CHAMA CHA MAPINDUZI. Niwaombe UVCCM wote...
  15. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Kiongozi CHADEMA auza gunia la mahindi, Ampa John Heche siku 10 kuachia uongozi ndani ya Chama.

    Kiongozi wa Chadema Mkoa wa Sumbawanga anae julikana kwa jina la Michael, ameamua kuuza gunia la mahindi ili aweze kupata nauli na kuungana na viongozi wengine wa Chadema mkoani Mbeya kwa lengo la kumng'oa John Heche Madarakani.
  16. singanojr

    JamiiForums Tanzania Ujasusi ndani ya Shetani rudisha akili zetu Afrika.

    SHETANI, RUDISHA AKILI ZETU AFRIKA Je, muuaji anaweza kuikimbia historia yake, kuushinda ulimwengu wa giza na kuupata tena ubinadamu alioupoteza? Akiwa bado mtoto, Hamza anaachwa katika kituo cha kulelea watoto yatima kwa sababu za usalama wa maisha yake. Hata hivyo, kabla hajapata nafasi ya...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uwezkano ukawa ndani ya ccm na uko kinyume na rushwa seriously na ukatoka salama!?

    Kwa mambo ninayoyafahamu kuhusu chaguzi na mifumo ya siasa za ccm sijui kama kuna namna inawezekana uwe kada wa hicho chama Kisha upinge rushwa kwa dhati kabisa na ubaki salama na usalama wako. Ukweli ni kwamba labda machawa pekee ndo wanaweza wasijue lakini wana ccm wote huwa wanaelewa kwamba...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa muafrika wa kwanza kuweka order ya TESLA ROADSTER nikiwa nimeweka amana ya $50k Leo na ndani ya siku 10 zijazo nitamalizia $200k zilizobaki

    Pesa so Kila kitu lakini ni muhimu kuwa na pesa ndugu zangu Tesla roadster yangu nitalipokelea Hong Kong 2028 kama mkiwa hai mtaliona tanzania
  19. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Mwanza, Nitajieni sehemu za Kutembelea Hapa Mjini, Ndani ya Siku Moja (Asubuhi - Jioni), Usiku Naanza Safari ya Kuondoka.

    Maboss. Nimefika saa 10 jioni. Nimetokea Sengerema, sehemu nilizopita hadi sasa. 1. Daraja la Magufuli/Busisi. 2. Stendi ya Mabasi ya Nyegezi. 3. Nimeona Ujenzi wa SGR sema imepelekea kuziba view ya Ziwa unavoingia Town from Geita Rd. 4. Nimeenda Airport. 5. Nimeenda hadi kule mlimani...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Samia sasa ataozesha kila nyanya hata zile nzuri

    Huyu Mama saa ataozesha kila nyanya hata zile nzuri. Polepole na Nchimbi ni mfano wa hizo nyanya. Kwasasa anafurahia kwamba yupo kapuni lakini hajui kwamba anaenda kutupwa sio yeye tu bali na ndugu zake , machawa wake na hata wale wazuri. Ni miaka mitatu sasa nyanya hii inaendelea kuaribu...
Back
Top Bottom