Nimemuuliza mdau wa Siku nyingi ndugu Tindo kwamba, Mbowe na Lema wakifukuzwa ndani ya CHADEMA, hasara Hasi zitakuwa zipi?
Jibu: Hakuna hasara yoyote kungoa jino bovu mdomoni.
Jibu hili limenipa nguvu ya kupandisha mada hapo juu kuwa,
Mbowe na Lema ni asset au liability ndani ya CHADEMA? Wafukuzwe..
Naomba majibu yawe mafupi maana yatawasilishwa kunako.
Mtu asilete udalali wakati familia ya Lisu hawajamzika ndugu Yao wakidhani Lisu aweza kunyongwa wakazika wawili ndani ya wiki moja.
Karibu