Mbowe na Lema ni Liability au asset ndani ya chama? Wakifukuzwa je...?

Mbowe na Lema ni Liability au asset ndani ya chama? Wakifukuzwa je...?

Anachofanya Lema,alichofanya Mbowe,Selasini,na Mrema,hizo ndio tabia halisi za wachaga
 
Anachofanya Lema,alichofanya Mbowe,Selasini,na Mrema,hizo ndio tabia halisi za wachaga
Si kweli, yule Wenje ni mhaluo, Wfngwe ni mkurya na walinunuliwa,

Tamaa ni Kwa yeyote si tabia ya wachaga wote,

Msuya alikuwa mwadilifu sana yule Waziri mkuu mstaafu enzi za mwalimu.

Muhimu ni maadili yasisitizwe kitaifa muhuni utapungua
 
Back
Top Bottom