UVCCM haya yanayoendelea siyo sifa ni ukosefu wa nidhamu ndani ya chama. kiongozi wa UVCCM Taifa jitafakari

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
2,503
Reaction score
1,757
Sijapendezwa na midahalo inayoendelea mitandaoni nadhani sasa inavuka mipaka, kama vijana (UVCCM) yapaswa mjitafakari kuona haya mnayoyafanya yanaafya au lah! Kuweni na heshima kwa viongozi ndani ya chama, hayo ya kujibizana mitandaoni si desturi ya CHAMA CHA MAPINDUZI.

Niwaombe UVCCM wote, acheni tabia ya ku exaggerate mambo, tumieni njia ya heshima na busara kwenye kutatua changamoto zenu acheni kujibu hoja kwa kukurupuka. Pia mwenyekiti wa UVCCM Taifa wewe ndiye mwenye uwezo wa kutuliza haya yanayoendelea kwa wenzako.

My take:
Mpaka sasa sijaona kosa la Mh. Mchengerwa, Mh aliongea kama MLEZI pia kwa kuzingatia observation zake, jukumu la UVCCM ilikuwa ni kuyapokea na kuyafanyia KAZI badala ya kujibizana mitandaoni, ni ukweli usiopingika watu wanatanguliza masilahi zaidi badala ya kazi, ni jukumu la UVCCM Taifa kuwakanya watu wako waachane na hii tabia ya kujibizana mitandaoni na Viongozi wakubwa huu ni ukosefu wa nidhamu.
 
Who are you?
 
Screenshot_20260404-111943~2.png
 
Mtajijua wenyewe na FUTUHI zenu.

#OCT 29 tunatoka ,Kataa WAHUNI ,Justice for Polepole ,Mdude ,Soka.
 
Hebu tueleze rushwa inafanyikaje huko UVCCM kiasi kwamba waanze kuparuana nchi nzima nahitaji kueleweshwa
 
Ukweli unauma sana ujue, sasa UVCCM wameambiwa ukweli
Bado tunasubiri Nchengerwa achokonolewe tena atoboe siri nyingine kwamba ndio wanaowateka watu na kujifanya watu wasiojulikana kumbe wanajulikana mbali na rushwa hawa ndio wanaoongoza kwa kuteka watu, oya sijui watamfanyaje mimi naangalia kwa kutumia darubin yangu huku mbali
 
Back
Top Bottom