Yazan Majdal Abu Sammour, mhamiaji Mpalestina mwenye umri wa miaka 23 ambaye ana uraia wa Ufaransa, alirekodiwa katika Place de la République jijini Paris akiwashutumu polisi wa Ufaransa kwa kutumia mbinu za kudhibiti umati wa watu za "kikoloni" za Israeli dhidi ya vijana kutoka vitongoji.
Abu...
Kiongozi wa muungano wa vyama vya kisiasa vya Waarabu anakataa kukiita Hamas kundi la kigaidi. Hawa ndio watu wanaotaka kushiriki katika serikali ya Israel. Wanapaswa kufukuzwa na kurudishwa Jordan! Yeyote aliyewapigia kura anapaswa kufukuzwa na kupelekwa akaishi Gaza.
Vyama vyote vya waarabu...
Kiongozi huunda njia, malengo mapya, huwa na dira na huwaonesha watu njia ya kuelekea kwenye malengo hayo.
Meneja/mtawala hawa hudhibiti au kuwaelekeza watu kanuni au taratibu zilizokwisha wekwa.
Kila kiongozi lazima ajue kuongoza na kutawala na kutumia mitindo yote ya uongozi ambayo ni...
Mzee wetu Mohamed Said ambaye kila kukicha anazungumzia kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika na kudai kuwa nafasi ya waislamu kwenye uhuru haikuandikwa vyema asisahau kuandika kuhusu kiongozi katili wa kiislamu aliyevunja rekodi ya mauaji ya raia october 29.
Pia asisahau kuandika historia ya...
Suala la uongozi siyo kuvaa suti kali na kuongea maneno makubwa kubwa kama "uchumi unakua kwa kishindo" huku mfukoni mwako panya anazalia. Uongozi ni heshima, ni akili, na zaidi ya yote... ni mtindo wa maisha (lifestyle)
Huwezi kuwa kiongozi aidha Mbunge ama Diwani halafu mtindo wako wa maisha...
Habari ndugu zangu, ni mwaka sasa toka ndugu na jamaa zetu watangulie mbele za haki baada ya matukio ambayo hayakuwa ya kiungwana yaliyotokea baada ya uchaguzi.
Poleni kwa ambao mali zenu ziliharibiwa,Mwenyezi Mungu atawafanyia wepesi mpate mara saba zaidi kama ambavyo ilikuwa kwa mtumishi wake...
Ninampongeza kiongozi mkuu wa CHADEMA Mange Kimambi kwa kumtaja rasmi Godbless Lema kama msaliti wa harakati zao. Hii imetokea baada ya Lema kutamka jukwaani kuwa CHADEMA hakitafanya fujo wala kumwaga damu kitu ambacho ni kinyume kabisa na msimamo wa chama chake.
Mimi siungi mkono vurugu wala...
Ukiondoa Dar es Salaam, mkoa uliofuata kwa Mo29 ulikuwa ni Mbeya, wilaya nne za Mbeya Mjini, Mbeya Vijijini, Uyole na Kyela maandamano yalifanyika kwa kiwango kikubwa. Kwa upande wa mikoa kama Mwanza na Arusha, maandamano yalijikita zaidi katika maeneo ya mijin, kwa mkoa wa Mara maandamano...
chama
hamasa
harakati
hawana
imara
injini
kiongozi
majina
makubwa
mbeya
mfano
siasa
siasa za upinzani
tanzania
upande
upinzani
upinzani tanzania
viongozi
viongozi wa vyama
vyama
vyama imara
wako
wenye
Tukizungumzia kiongozi wa kisiasa anayechukiwa na wananchi, athari zake zinaweza kuwa kubwa sana. Historia inaonyesha kuwa kiongozi anaweza kuwa na mamlaka makubwa kisheria, lakini akapoteza uungwaji mkono wa wananchi.
Athari 7 za kiongozi wa kisiasa kuchukiwa na wananchi
1. Kupoteza uhalali...
Sijapendezwa na midahalo inayoendelea mitandaoni nadhani sasa inavuka mipaka, kama vijana (UVCCM) yapaswa mjitafakari kuona haya mnayoyafanya yanaafya au lah! Kuweni na heshima kwa viongozi ndani ya chama, hayo ya kujibizana mitandaoni si desturi ya CHAMA CHA MAPINDUZI.
Niwaombe UVCCM wote...
Kiongozi wa Chadema Mkoa wa Sumbawanga anae julikana kwa jina la Michael, ameamua kuuza gunia la mahindi ili aweze kupata nauli na kuungana na viongozi wengine wa Chadema mkoani Mbeya kwa lengo la kumng'oa John Heche Madarakani.
Kauli kama hii ingetokea China ... Tundu Lissu angenyongwa hadharani tena kwenye uwanja wa mpira siku hyohyo pamoja na watumishi wote wa hicho chombo kilichopost UPUMBAVU.
Kisa familia zenu zipo kwa mabeberu kwahyo hamna cha kupoteza ndo mnafanya KAZI ya kuhubiri ujinga CHADEMA KOMENI HII...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ni mtu na kiongozi Shujaa, Hodari wa Vita ,Mtu Mzuri ,Anenaye kwa Busara na Ambaye Mungu Yupo Pamoja naye .
Ni kiongozi ambaye amekamilika katika kila idara . Ni...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda amewataka viongozi wa dini kuwajibika katika kuwajenga waumini wenye maadili, akisema viongozi wa serikali wanaojihusisha na rushwa na ulafi wanapotoka katika nyumba za ibada, ni ishara ya kushindwa kwa viongozi wa dini katika malezi ya...
MWANA WA KIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU SAUDI ARABIA AMGEUKIA YESU KRISTO BAADA YA NDOTO YA AJABU: “NILIPOTEZA MENO 13 KWA SABABU YA KUMFUATA YESU!”
Ahmed Joktan, raia wa Saudi Arabia aliyekuwa Muislamu mwenye msimamo mkubwa wa kidini, anasimulia ushuhuda wake wa kumwamini Yesu Kristo licha ya...
viongozi wa chama cha upinzani nchini zambia Brian Mundubile na wengine 16 ambao wanakabiliwa na mashtaka ya uhaini wamefungua dai la kikatiba kuomba mahakama iwaachilie kwa dhamana
katika maombi yao wanadai kuwa kuendelea kwao kuzuiliwa bila kesi kunakiuka haki zao za kikatiba.
waombaji ni...
Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz anampa onyo kali kiongozi wa Hamas:
Tuliwaangamiza viongozi wa Hamas huko Gaza, na sasa ni zamu ya Al-Hayya kumwangamiza!!
Hamas ikijibu vitisho vya Waziri wa Ulinzi Israel Katz vya kumwangamiza Khalil al-Hayya, mkuu wa ofisi yake ya kisiasa:
Vitisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.