Kiongozi wa waislamia duniani ajulikanaye kama HH The Aga Khan amefariki dunia akiwa na Umri wa miaka 88.
Kwa Tanzania, Aga Khan atakumbukwa sana kwa kujenga miundo mbinu mizuri sana ya kutoa huduma za afya na elimu. Shule za Tambaza (Dar), Mkendo (Musoma), Mzizima (Tanga) ni baadhi ya shule...
Salamu wakuu,
Siku za karibuni kumekuwa na kundi kubwa la watu wanaopiga matarumbeta kunadi viongozi kwa munajili wa Jinsia. Watu hao wanasahau kabisa kwamba ubora wa kiongozi hautokani na Jinsia yake, Dini yake, Uzanzibari wake, Utanganyika wake, Sura yake nk. Bali ubora wa Kiongozi unatokana...
Ndugu zangu Watanzania,
Sote tumeyasikia maneno na kauli za Waziri wa Elimu Mheshimiwa Profesa Adolph Mkenda akilalamika kuwa alizungushwa kupata nafasi ya kuonana na Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Mimi...
Huyu kiongozi wa M23 kwa nini anaongea kiswahili cha Dar es salaam kabisa?
Hiki siyo kiswahili cha Congo. Wacongo kiswahili Chao tunakifahamu vizuri, hiki kiswahili cha huyu jamaa siyo cha wacongoman kabisa.
Bado nahisi tuna shida mahali.
Tanzania 🇹🇿 tuache mambo ya ujirani mwema...
Viongozi wengi wazalendo wa kweli waliopita walisisitiza juu ya Afrika kujitegemea na kuacha kutegemea mataifa ya magharibi. J.K Nyerere, Kwame Nkrumah, Thomas Sankara, John Magufuli na viongozi wengi mashuhuri waliweka msisitizo juu ya Afrika kutumia rasilimali zetu wenyewe kama vile ardhi...
Chama Cha Mapinduzi kimewaomba wananchi wa Zanzibar kumsikiliza, kumtafakari,kumtazama hatimaye kumpuuza Mwenyekiti wa AAFP Said Soud Said aliyedai zanzibar haina maendeleo yoyote kwa miaka mitano iliopita .
Pia CCM kimeiomba Ofisi ya Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Zanzibar...
Hawa ni wale viongozi wasioweza kukaa bila madaraka. Ni target ya CCM kama Msigwa. Hakuchaguliwa kwenye uongozi mpya. Mke wake ni Covid 19. Huyu mwingine anatumiwa na CCM
Salimu mwalimu wanaweza kumnunua lakini kwa dau kubwa sana. Mwalimu pia anaweza kwenda ACT Zanzibar wakampa cheo kule au...
Kuna huyu rais wa Iran ni mtu anaye penda kuvaa suti lakini cha kushangaza huwa havai tai.
Yaani huwa ana vaa kama mshikaji fulani tu ,kiitifaki ikoje hii?
Yaani huku mtaani ni shida sana, nchi yetu imekuwa kama haina kiongozi mkuu wa kukemea yaani.
...wageni (wahindi, wachina n.k) wanazidi kuongezeka mitaani.
wamegeuka mamachinga wanazungusha vyombo (uza) kwenye mitaa kwa kutumia magari (noah)
wanauza bia yaani vilevi wanazunguka kwenye mabaa na...
Watu kama Tundu Lissu wana nafasi yao ndani ya vyama vya siasa. Machachari ya Tundi Lissu yanafaa sana kuibua hamasa kwa wanachi.
Si mmeona CCM wamepotea kwenye anga tangu kinyang'anyiro cha uchaguzi ndani ya CHAMA kilipoanza mwaka jana mwishoni?
Ni kama Paul Makonda, anaweza kukusanya watu...
Amefanya kazi nzuri sana pale BAZECHA na anaendelea kufanya kazi nzuri zaidi pale BAVICHA. Ni matumaini ya kila mwanachadema mzalendo kwamba, the field marshal matonya engr. Benson Kigaila hatakosea BAWACHA na kamati kuu kama kawaida yake, and the mission will be successful completed.
kibaraka...
Leo hii, kama upo ndani ya CCM, na una sifa zote, lakini ukachukua fomu kumchallenge Samia kwenye nafasi ya Urais au Umwenyekiti wa CCM, huo utakuwa ndiyo mwisho wako kisiasa ndani ya CCM.
Leo hii, kama upo ndani ya Serikali, halafu ukaikosoa Serikali au Rais au mwenyekiti wa CCM, huo itakuwa...
Yule Maria Sarungi haijulilkani hata anaishi wapi na ni Gener wa Keybord Worrior.
Humu sasa ndio kuna idadi isio hesabika ya Ma Keybord Worrior ambao front laini kamwe na daima huwezi waona na hutakaa uwaone.
Lisu anavimbishwa kichwa sana na hawa Keybord worrior ambao Ujasiri wao uko kwenye...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA amesema hakuna kanuni ndani ya chama hicho inayosema ukiwa kiongozi unatakiwa uchangie pesa kwa ajili ya mkutano hivyo hata akishindwa kuchangisha milioni 30 kwa ajili ya mkutano huo hatakuwa na kosa.
Amesema kuhusu habari ya mamilioni yaliyochangishwa na wengine ni...
Na Ahmed Abdulla, Zanzibar:
Katika muktadha wa dunia ya sasa, usawa wa kijinsia umekuwa ni suala la muhimu sana, hasa linapokuja suala la nafasi za uongozi kwa wanawake.
Miongoni mwa mbinu zinazotumika kukuza uwezo wa uongozi kwa watoto wa kike ni kupitia klabu za jinsia mashuleni.
Klabu hizi...
Ni mwanzo mzuri japo mimi kwa kweli sijawahi kuwa na imani na kobaz yeyote, hata akiwa jirani yangu, kuna majini huwa wameingizwa kwenye system zao na hutibuka mara moja ghafla bila kutarajiwa. Huyu kiongozi mpya ambaye ni ni mvaa makobaz, anaonekana kuwa na muelekeo mwema, ila siku akianza...
Rais William Ruto ameorodheshwa kama kiongozi wa pili fisadi zaidi duniani kulingana na "Organized Crime and Corruption Reporting Project" (OCCRP). Nafasi ya kwanza imechukuliwa na rais wa 19 wa Syria's Bashar al-Assad kulingana na OCCRP.
"Zaidi ya watu 40,000 walimteua Rais wa Kenya William...
kwa africa kumuondoa incumbent leader sio kitu rahisi hata kidogo.inahitaji kujipanga hasa
Nilitamani kuona Mbowe anatoka madarakani na Lissu ashike chama ila sioni kama Lissu amejipanga vyema.
CHADEMA imepoa inahitaji mropokaji kama Lissu.tatizo hajajipanga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.