Ama hakika nipo wilaya x nikihustle na harakati mbalimbali za maisha ila juzi juzi wakati napitia mitandao ya kijamii hususanj whattsap nikaona status ya jamaa mmoja ambae niliyesoma nae chuo amepost kwamba amepangiwa kuwa kiongozi kwenye wilaya fulani kabla ya kuona hiyo huyu mwana kilaza wa...
SWALI:
Ningependa kuuliza swali hili swali kwa wanachama wote wa hapa JF.
Je, suala mtu kuwa na dini huwa pia ni kigezo kinachotumika kwa mtu kupewa dhamana ya kuongoza katika hili taifa?
Mfano wa hizo nafasi za uongozi ni Urais, Umakamu wa Rais, Uwaziri, Uspika, Unaibu waziri n.k
Karibuni...
Nimemsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tanga sakata la ajali ya Costa iliyoua watu 17. Kwa kumsikiliza Tu unagundua Hana maarifa. Kama si zao la awamu ya tano basi ana vimelea vya Wakuu wa Mikoa wa awamu ya tano. Walikuwa wakuu wa Mikoa wa kukamata, kufunga ,weka maabusu nk
Hospitali zetu zinajulikana...
Ndugu zangu watanzania,
Huo ndio ukweli na uhalisia, kwa Sasa Rais Samia ndiye kiongozi mwenye ushawishi na kiongozi Bora Barani Afrika, Ndiye kiongozi anayefuatiliwa Sana kutokana na utendaji kazi wake uliotukuka na wenye kugusa maisha ya watanzania na waafrika,Rais Samia Ni mwana wa Afrika...
Sasa hivi sitaki kusikia watu wakimlaumu tena mangungu kua hafai kua kiongozi bali nataka kusikia ikilaumiwa safu nzima ya uongozi wa simba na waliomuweka madarakani mangungu kwani kama mangungu angekua hatoshi na hakidhi vigezo asingerudishwa tena madarakani lakini walomchagua nadhani...
Mo Ibrahim Leadership Prize ni tunzo anayopewa kiongozi msataafu aliyetumikia nafasi ya juu kabisa ya uongozi miongoni mwa nchi za Kiafrika, na katika uongozi wake aliheshimu na kuruhusu demokrasia, akasimamia utawala bora na kuondoka madarakani kwa kuheshimu mihula ya kiuongozi na kukabidhi...
~ Miaka 20 na usheee bila ofisi ya makao makuu yenye hadhi.
~ Miaka 20 na ushee bila kukamata dola.
~ Wabunge wanapatikana kwa mbinde.
Hufai kuwa kiongozi.
Uongozi ni dini na dini ni ibada na dini ni kuungama, kutubu, kuwa msafi, kukataa uwongo na unafiki.
Kwa awamu zote za utawala toka uhuru nchi hii haijapata kiongozi , ni ukweli usiopingika haijatokea.
Hoja yangu, hawa viongozi wamekuwa na watu wao wanaowaamini, they have had people whom they...
Paul Kagame, rais wa Rwanda anayetunishiana misuli na Felix Tshisekedi wa Congo, wakitupiana maneno, ambayo yanaendelea kudhoofisha mahusiano ya majirani hao!
Kwa haya yanayoendelea kubainika kuhusu utawala wa Rwanda ambayo sio mazuri kidiplomasia, lakini mimi yananidhihirishia kwamba nguvu na...
Binafsi the most irritating question ambalo nimevuka nalo ni;
1. KADCO ni ya serikali ama si ya serikali? Hili swali linanisumbua sana japo likajitokeza la nyongeza huku tukiwa tunakatiza mwaka nalo ni, KADCO ikitoa ufafanuzi inaongea kwa niaba ya serikali ama kwa niaba yake?
Mwenye most...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.