Maana siamini km hakuna watu weusi katika NCHI hizo km hawajaolewa au kuoa na wenyeji wa hizi nchi..
Huwa wanaishia wapi?
Pia naamini wapo watu weusi wamezaliwa hizi nchi MIAKA na MIAKA na hawahi kuishi nchi nyingine kuishi zaidi ya hizi, Hawa nao huishia wapi?
Yasije tokea Yale ya...
Salaam,
Nimefuatilia hotuba nyingi za kiongozi mkuu Nchi mara nyingi analalamika sana kuhusu watu walio chini yake lakini hachukui hatua madhubuti yeye ni kulalamika tu sijui shida ni nini?
Najiuliza maswali mengi sana.
1. Yawezekana hana mamlaka kamili au kuna watu wana power kumzidi.
2...
Kiongozi wa wapiganaji wa Chechnya (kundi la waislamu) ambao wanampigania Putin na ambao wanafahamika kwa ukatili uliokithiri, amelia lia kutiliwa sumu nusra afe...
Kuna kipindi aliomba kama vipi Putin abonyeze vitufe vya nyuklia tu maana wamechoka...
Chechnya's battle-hardened leader...
Mimi naanza na Doto James Mghosha. Huyu alikuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha, alilitumikia Taifa lwa uzalendo mkubwa sana. Kwasasa simsikii kabisa sijui yuko wapi?
Simaanishi kiongozi asiige ama asiendeleze aliyoyakuta, na kuyafanya sehemu ya mafanikio ya uongozi wake.
Wala sisemi kiongozi hapaswi kupokea ushauri wa wasaidizi wake. Muhimu ni wewe unapoingia madrakani unaibua mambo gani ambayo unayasimamia kwa nguvu kama njia ya kuonyesha uwezo wako...
Mtaka ni kama ana serikali yake ambayo haiendani na ya CCM na Samia, hivi mtoto unamfukuza shule ili iweje? Kwanza ni mtoto, anahitaji malezi na maangalizi.
Kwa aina ya waalimu tulio nao, hivi unawapa mamlaka yote hayo?
Mtaka ni moja ya members wazuri wa magrupu ya Chadema, na huwa mchangiaji...
Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.
Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni...
Pamoja na kwamba taifa letu limewahi kuwa na viongozi katika ngazi ya Urais ambao wameishatangulia mbele ya haki! Kikatiba kumbukizi linalopelekea siku ya mapumziko ni kwa waasisi wa taifa letu (Nyerere & Karume).
Hata hivyo siku ya tarehe 17 March kila mwaka, ni siku ya majonzi kwa watanzania...
Habari za muda huu Wana JF
Mwaka wa 2 Sasa tokea tuondokewe na kiongozi wetu shujaa mtetezi wa wanyonge JPM endelea kupumzika kwa amani.
Kuna kipindi nilikuwa Kenya kabla ya kifo Cha magufuli wakenya wengi walikuwa wanamsifia magufuli ni kiongozi shujaa Kenya wanatamani wangepata raisi kama...
Ukisikia kiongozi anaitwa Dikteta ujue ameminyia makanjanja wa nchi ulaji.
Makanjanja wa nchi wanataka na wao wapate kula, wafaidi mema ya nchi hivyo humsema kiongozi dikteta kwa sababu amewaminyia ulaji.
Ukisikia makanjanja wanapiga kelele sio kwa niaba ya wananchi, ni kwa niaba yao. Mfano...
Wengine wanafikiri bado tupo kwenye zile zama za ulimbo na ulimbombo, zile zama za kuambiwa Jambo na kukubali bila kujiridhisha. Wanaofanya hivyo wanatambua watanzania ni wavivu sana wa kutafuta ukweli hivyo lolote analosema linabebwa kama lilivyo.
Kitendo Cha Lissu kusema China hakuna...
Katika Kuelekea kilele cha Siku ya wanawake Duniani, Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni Rasmi Siku ya Maadhimisho hayo Yaliyoandaliwa na Bawacha (CHADEMA).
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alisema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa maadhimisho hayo...
Kiongozi wa upinzani wa Belarus Sviatlana Tsikhanouskaya, aliyeko uhamishoni, Jumatatu amepewa kifungo cha miaka 15 jela, licha ya kutokuwepo nchini, baada ya kupatikana na hatia ya jaribio la mapinduzi.
Uamuzi huo yeye ameutaja kuwa adhabu ya kujaribu kukuza demokrasia ya Belarus...
"Ndugu zangu Wananchi wa Ukumbikakoko na Usinga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anawapenda Sana ndio maana aliwaruhusu Mawaziri 8 kuja na kuwatangazia kuishi kwenye maeneo yenu lakini Kiongozi mmoja wa Mkoa anaonekana kuanza kupinga Agizo la timu ya Mawaziri...
Vikosi vya Urusi siku ya Jumanne vimeendelea na safari yao ya wiki moja ya kuuzingira na kuuteka mji wa Bakhmut mashariki mwa Ukraine ambapo kamanda wa vikosi vya ardhi vya Ukraine alielezea hali kuwa "ya wasiwasi mkubwa".
Wanajeshi wa Urusi, wakiwemo wapiganaji kutoka Kundi la Wagner...
Sasa kama Wewe Kiongozi umeshindwa Kuwapatanisha wakati Unawamudu na ndiyo Umewateua kuwa hapo kwa Kukurupuka Kwako pasi na kuwafanyia Vetting au Kutokubali Ushauri wa Wasaidizi wako unataka Sisi Wananchi tuseme nini?
Hebu acheni Kutusanifu Wananchi.
Akiwa katika mahojiano na clouds, Zitto amekiri Watanzania walifurahi ujio wa Rais Magufuli na waliona Mambo yanakwenda, dunia hii Mungu atunusuru na makasuku, leo anaongea hili kesho anaongea Lile.
Kuna watu tunahoji nini kilimshinda Anthony Mtaka mpaka akahamishiwa Njombe huko kwenye mashamba ya mbao na parachichi, kutoka katika Jiji kuu la kisiasa? . Dodoma ni mahala ambapo angeweza kun'gaa lakini ameporomoka.
Anthony Mtaka anashinda kutwa katika makundi ya wasap ya wanachadema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.