Ni wazi ana hamaki na mawenge ya kiwango cha juu mno. Anaweweseka sana na amekosa utulivu, hana uhakika wa amani na kwakweli kujiamini kwake, mdomo na makelele kuna pungua kadiri siku zinavyokwenda.
Nadhani sasa amefikia ukomo wa kufunguka yaliyokua yakimzonga moyoni mwake baada ya kuyahifadhi...
Kujitolea kwa hali na mali kwa wengine ni kujiwekea hazina ya hali na mali mioyoni mwa wanufaika wa majitoleo yako baadae. Mathalani kwenye uchaguzi wa chadema, tunashuhudia faida za kujitolea na hasara za uchoyo na mazoea ya kupokea au kuchangiwa tu,
Kujitegemea na kujitosheleza ni jambo...
Tatizo liko wapia haswa na lilianzia wapi pale chadema?
au nani amemuona mwingine ni tatizo pale chadema kwenye harakati za mageuzi?
na kwa mtazamo wako kama mdau wa siasa,
kwa viongozi wa aina hii wasioweza kuwaunganisha wananchama wa chama chao kimoja, tena kidogo tu cha siasa, badala yake...
KWELI KUNA WANACHADEMA HAMNAZO. UTAWEZAJE KUPIGANIA HAKI BILA KUWA NA KIONGOZI MWANAHARAKATI?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kwa kweli Wanachadema wamenishangaza Sana. Uchaguzi huu umeniongezea uelewa kuhusu CHADEMA inawatu wa aina gani.
Hivi mtu anawezaje kupambania HAKI, ukombozi pasipo...
Jamani napata shida sana,kusikia Mbowe anasema yeye ndio amekijenga CHAMA, eti kwa fedha, mawazo,nk, nijuacho mm kiongozi mzuri na mwenye hekima hawezi kusema yeye ndio umekikuza CHAMA na kukijenga
CHAMA ni tasisi, ambayo inajengwa na watu mbalilmbali ndani ya nchi na nje, watu wanatoa michango...
Kibaya zaidi ndio vijana anaowaamini mwenyekiti, hivi Mbowe huyu Ntobi huoni kama anakuharibia hata hizo sifa chache ulizobakiza?
Sasa hivi chama kina watu walioamua kufanya “upinzani” bargaining chip
Tukapigania chama kwa juhudi kubwa . Tukapigwa , tukaumizwa , wenzetu wakafungwa wengine...
Amesema kuwa amechoka kupigana kwasababu zisizo na mbele wala nyuma, ameomba kuungwa mkono na Israel, Ulaya na Marekani.
Huu ni ushindi mkubwa na ukombozi kwa makobazi.
Chanzo: Adhuhuri Live (UTV).
Kwa heka heka za uchaguzi wa chadema iliyogawanyika ngazi ya taifa zinazoendelea, wasomi vijana na wadau wa siasa nchini, wanapata fursa na nafasi muhimu sana ya kujifunza, kuelewa na kufahamu umuhimu wa kua na subra na kutathmini mambo kwa kina na umakini mkubwa kabla ya kufanya maamuzi na...
Enyi watu wabaya mjulikanao kama 'watu wasiojulikana,' nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama, Freeman Mbowe.
Ndivyo mlivyofanya wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe. Ndivyo mlivyofanya tena wakati mliponishambulia tarehe 7 Sept '17. Na ndivyo...
dhidi
kiongozikiongozi mkubwa
lissu
mbowe
mipango
mkubwa
mmoja
mtu
mtu mmoja
nchini
tundu
tundu lissu
wanataka
wasiojulikana
watekaji
watu wasiojulikana
yangu
Kama wewe ni kiongozi katika chama cha siasa au taasisi yoyote kubwa na chini yako kuna wafanyakazi wengi kufikifi kuwa bila wewe kampuni au chama kitakufa basi wewe ndio utakuwa tatizo katika hiyo taasisi.
Kiongozi mzuri ni yule anayeandaa watu kuwa viongozi anajua kuna kufa, kuugua...
Bila kupiga chenga naingia kwenye mada na leo nazungumzia kujitambua kwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA.
Mara kadhaa nimekuwa hapa JF nikiuponda upinzani khasa CHADEMA kwamba wapo kuisindikiza CCM kwenye siasa tangia mwaka 1992 upinzani ulipozaliwa rasmi kwa maana ya vyama vingi vya siasa...
Mimi sio mwanachama wa Chadema na sifurahii siasa zao za kutukana tukana viongozi hivyo hasa vijana wao wanavyofanya harakati za kijinga mitandaoni jambo linalosababisha wawaudhi viongozi wa serikali na ndio maana wanakamatwa kamatwa hivyo lakini najaribu kulinganisha sifa za uongozi kati ya...
Kwanza hongera Sana Mh Mbowe
Pia hongera Kwa uongozi wako wa miaka 20 Kama mwenyekiti wa chadema na miaka 15 Kama Mbunge.
Swala la wewe kuwa mwenyekiti wa hicho chama hautaweza na ukilazimisha itakuletea madhara hasi.
Yapi madhara hasi yatatokea
Utakosa nguvu
Utakosa Sauti ya kusikika...
Uongozi, hufafanuliwa kama uwezo wa mtu binafsi, kikundi, au shirika wa kushawishi njia mbadala na si kufuata tu njia aliyoikuta hata kama njia hiyo inaelekea kuzimu.
Hatua ya Mbowe naye kutangaza kutetea nafasi yake, mimi naipongeza kwani itakiwezesha Chadema kuitafsiri falsafa yake ya...
Bongo madhaifu yetu tunataka kuyaficha au kutupia vyama vya upinzani na viongozi wao kwamba ndio sababu ya upinzani kulegalega. Hii sio kweli hata siku 1.
Ukiiangalia Kenya utagundua mafanikio yao hayajatokana na upinzani bali spirti binafisi ya Wakenya. Wakenya wana personer spirt ya...
Mimi namwona Tundu Lisu, mtu imara sana, mwanasheria mzuri, mzalendo wa kweli kwa Taifa lake na mtu mwenye misimamo thabiti asiyeyumbishwa.
Baada ya kumsikia Jana akitangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA taifa nilijifunza kitu kipya kuwa, pamoja na uzuri na uwezo mkubwa sana...
MALALAMIKO YEYOTE DHIDI YA KIONGOZI YEYOTE YAFANYIWE UCHUNGUZI KISHA YAWEKWE WAZI
Nilisikika huko ndotoni nikiwa nakoroma kama simba nikaanza:
Nakumbuka Aprili 2019, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati huo akiwa Makamu wa Rais, akiwa katika kongamano la kumuenzi hayati Abeid Amani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.