Kiongozi ni tofauti na meneja au mtawala.

Kiongozi ni tofauti na meneja au mtawala.

Matunzo 02

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2026
Posts
1,620
Reaction score
3,165
Kiongozi huunda njia, malengo mapya, huwa na dira na huwaonesha watu njia ya kuelekea kwenye malengo hayo.

Meneja/mtawala hawa hudhibiti au kuwaelekeza watu kanuni au taratibu zilizokwisha wekwa.

Kila kiongozi lazima ajue kuongoza na kutawala na kutumia mitindo yote ya uongozi ambayo ni:
1.uongozi wa kiimla.
2.uongozi wa kidemokrasia.
3.uongozi wa uhuria.
Kulingana na mazingira.
 
Ah..ah.... ah....tatizo waliopaswa kuwa viongozi siyo viongozi na wengine hutindinganywa sana au hawataki kuongoza ila wale wasio ndiyo wanaopenda kuongoza na ndiyo wanaojiimarisha kimfumo.
 
Ah..ah.... ah....tatizo waliopaswa kuwa viongozi siyo viongozi na wengine hutindinganywa sana au hawataki kuongoza ila wale wasio ndiyo wanaopenda kuongoza na ndiyo wanaojiimarisha kimfumo.
ndo maana tunazalisha viongozi wabovu mataasisi kila leo yanakufa sababu hayana viongozi bora.
 
Back
Top Bottom