World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.
Kuna tofauti gani kati ya Wazanzibari wengi kujiunga na kufanya kazi katika TISS (Idara ya Usalama wa Taifa) na Watanzania kutoka Bara kushika nafasi za juu za uongozi katika JWTZ (Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania) na Jeshi la Polisi?
Jaman naombeni ushauri nataka kufungua duka la hardware dar ila sio kariakoo je nifungue sehemu gani ntaweza kupata mzunguko mzuri.au kama Kuna wilaya yoyote tofauti na dar hata mikoani huko ipo vizuri nishaurini nipo tayari kwenda kokote kule ila kuwe na mzunguko mzuri tu
Kwa mliokuja Inbox kutaka maoni yangu kuhusu press conference ya Lema tafadhali someni huu uzi kwa makini. Nitaandika kwa ufupi sana. Kwa ufupi ni kuwa Lema kakivua nguo chama chake na uongozi uliopo sasa. Haya ni mambo kadhaa niliyoona;
1. CHADEMA inahubiri kutaka haki ila inatenda tofauti...
Mbona mko kimya sana leo na hamuonekani kushangilia?
Au muda wa kushangilia bado?
Au pengine bado mungu wenu hajawapandisha mihemko na kuwapa ujasiri na furaha ya kushangilia kifo cha mwanasheria nguli na mdau wa siasa mashuhuri kilichotokea leo nchini?
In fact,
ni kitu nonsense sana...
allah
chadema
chama
funzo
humu
kaka
kifo
lissu
maoni
mashuhuri
mtu
nchini
tofauti
vifo
vifo vya wanasiasa
wafuasi
wako
wanasiasa
wao
wapi
watu mashuhuri
Kiongozi huunda njia, malengo mapya, huwa na dira na huwaonesha watu njia ya kuelekea kwenye malengo hayo.
Meneja/mtawala hawa hudhibiti au kuwaelekeza watu kanuni au taratibu zilizokwisha wekwa.
Kila kiongozi lazima ajue kuongoza na kutawala na kutumia mitindo yote ya uongozi ambayo ni...
Sijuani hata na mmoja wao, hata kwa sura tu sijawahi kuwaona live. Nipo upande wao kwa sababu mara zote mimi nipo upande wa kundi linaloonewa. Huu msimamo wangu popote pale.
Naumizwa sana na anayopitia Mh. Tundu Lissu gerezani. Nimekuwa nikimuombea sana. Naumizwa sana na hawa wengine...
Maria mama wa Yesu na mke wa Joseph ameandikwa katika vitabu vinne tu vya injili story yake ikiunganishwa na ya Yesu Kristo labda na mara moja au mbili tu zaidi katika katika kitabu cha matendo ya mitume.
Katika vitabu vingine vyote vya Biblia agano jipya Maria hatajwi kabisa na wala sio...
Habari wana jamvi wa JF...
Leo tumeanza maadhimisho ya jubilei ya miaka 100 (1926 - 2026) ya Shule ya Sekondari ya Tosamaganga. Maadhimisho haya yameanza leo tarehe 08/10/2026 na kilele chake ni keshokutwa tarehe 10/10/2026. Aidha mgeni rasmi katika sherehe hizo ni Mh. Prof. Palamagamba Kabudi...
Kwa nini Wamachame, Wakibosho, Wamarangu, Warombo, Wasiha na Wa Old Moshi wote wanaitwa wachaga wakati lugha zao ni tofauti ?
Mbona kama utapeli ulianza mapema?!
Akina Chacha and Co.Ltd nyinyi ni kapuku tu. Hamna tofauti na watumwa huko Marekani ambapo House Negro walijiona bora kuliko Field Negro. Wote nyie CCM ni watumwa wa cartel ya CCM. Mnatupiwa makombo wakati wao wanajenga Dubai.
Msikilize Heche
Hakuna Mtanzania asiyeona kwamba sasa nchi yetu Tanzania imeingizwa kwa ndani sana na utawala wa kikatili na kifisadi uliojikita kwenye kujifanya mabwana kati ya raia ambao wanapaswa kuwa watwana. Polisi wametusaliti na kuwa wauaji na watekaji wetu, wakijiunga na TISS katika udhalimu huu...
1. Mungu Jehovah anasema usiue
2. Usifanye zinaa
3. Watumishi wake Malaika
4. Penda watu wote
5. Usiseme Uongo
1. mungu shetani allah anasema ua wasio wa shetani
2. Oa badilisha utakavyo na ukija ahera utapata wanawake 72 udinye utakavyo. Oa mtoto ,oa mzee.
3. Watumishi wake Majini
4. Wachukie...
Watanzania wengi hata wa serikalini hawajui tofauti kati ya taifa na serikali. Haya ni mambo ambayo yanatuletea mfumo wa sasa ambao hata watanzania hawaulewi vizuri
Kasoro mikoa michache kama Kilimanjaro, mikoa mingi yenye makao makuu kwenye wilaya zenye majina tofauti zipo nyuma sana
1. Musoma - ipo nyuma sana, mji huu ukitoa watumishi wa umma na majengo ya serikali upo nyuma sana
2. Bukoba - Mji upo nyuma sana kwenye mzunguko wa pesa, wengi wameukimbia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.