Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Maria mama wa Yesu na mke wa Joseph ameandikwa katika vitabu vinne tu vya injili story yake ikiunganishwa na ya Yesu Kristo labda na mara moja au mbili tu zaidi katika katika kitabu cha matendo ya mitume.
Katika vitabu vingine vyote vya Biblia agano jipya Maria hatajwi kabisa na wala sio character muhimu kwenye kanisa na dini ya Ukristo. Mfano mtume kama Paulo na Petro hawataji kabisa habari za Maria mama wa Yesu katika maandiko yao!
Kwa nini hasa Wakatoliki waliamua kumfanya Maria ndiye kinara wa dini baada ya Yesu na lini hasa Wakatoliki waligundua na kuamua kumfanya Maria kuwa moja ya Character wakuu na muhimu zaidi katika kanisa na dini ya Ukristo wakati ambapo mitume wengine walimpuuza?