biblia

Byblos (Arabic: جبيل‎ Jubayl, locally Jbeil; Greek: Βύβλος; Phoenician: Gbl, probably Gubal) is the largest city in the Mount Lebanon Governorate of Lebanon. It is believed to have been first occupied between 8800 and 7000 BC and continuously inhabited since 5000 BC, making it one of the oldest continuously inhabited cities in the world. It is a UNESCO World Heritage Site.

View More On Wikipedia.org
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Simulizi za kwenye biblia sio historia Kama unavyofikiria ni codes zinazofichua Hali zetu za kiroho

    umewahi kufikiria kwamba simulizi za Adamu na Hawa, nyoka wa Edeni, Kaini na Abeli, Sodoma na Gomora, Ayubu na hata majaribu ya Yesu yanaweza kuwa na maana kubwa zaidi ya namna ambavyo tumekuwa tukiyasoma? Vipi kama baadhi ya simulizi hizo si historia ya watu waliopita tu, bali ni ujumbe...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hadithi za ajabu ndani ya Biblia yetu

    Baruch Spinoza, mwanafalsafa wa karne ya 17 na mmoja wa watu waliothubutu kupinga mitazamo ya kawaida katika fikra za kisasa, alithubutu kumtazama Mungu bila hofu, kuitazama akili na mantiki bila vikwazo, na kuutazama uhuru bila kuomba ruhusa kwa mtu yeyote. Kupitia kipindi cha Beyond Sacred...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Inaumiza sana kuona wa Africa wanatetea dini kuliko rasilimali zao

    Inaumiza sana kuona wa Africa wanatetea dini kuliko rasilimali zao, hata baada ya kuwafukuza wakoloni Africa bado tunawapelekea wakoloni hao hao rasilimali fedha ambazo tunachangishana makanisan sadaka na misikitini (hija fee). Yaani hela zetu zinawafikia wakoloni wakiwa wamekaa, mtaji wao ni...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Quran ilizibadilisha kabisa stori zote za Biblia!

    Hizi ni Baadhi tu ya stori za Biblia zilizobadilishwa kiajabu ajabu na kiholela na Quran 1. Yesu Hakufa msalabani 2. Yesu alizaliwa chini ya mtende anazungumza 3. Ishmael mtoto wa ahadi badala ya Isaka. 4. Farao wa Misri kujenga mnara wa kwenda mbinguni badala ya watu wa mji wa Babel...
  5. instinct desire

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sisi tuliookoka tunayaishi maagizo ya Mungu bila unafiki. Hatuwezi kuadhimisha vifo vilivyotokana na kukiuka maagizo ya Mungu (dhambi)

    Bwana Yesu asifiwe sana, Watu wa MUNGU. Sisi walokole hatuwezi kuadhimisha vifo ambavyo vimetokana na kukiuka agizo la Mungu. Mungu ametaja wazi mambo ambayo yanaweza yakatuondolea uhai wetu na kututenga na USO wa Mungu...kwa uchache ambayo ni Uzinzi Kuiba Mali za watu Kutamani Mali/mke wa mtu...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakatoliki waliamua kumpa Maria umuhimu mkubwa zaidi tofauti na mitume wengine wa Biblia?

    Maria mama wa Yesu na mke wa Joseph ameandikwa katika vitabu vinne tu vya injili story yake ikiunganishwa na ya Yesu Kristo labda na mara moja au mbili tu zaidi katika katika kitabu cha matendo ya mitume. Katika vitabu vingine vyote vya Biblia agano jipya Maria hatajwi kabisa na wala sio...
  7. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Biblia ina makosa? Nachanganyikiwa!

    Siku ya 33 nasoma hii Biblia, lakini kila nikiendelea mbele ndio kwanza nachanganyikiwa na madudu yaliyomo humu! Wakristo wote mnasema hiki kitabu kimeandikwa na watu waliyovuviwa Roho Mtakatifu. Kama ni roho mtakatifu inakuaje ameshindwa kuandika kitabu kikanyooka.? Yani humu ndani kuna makosa...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kama hutaki kuwa Atheist au imani yako iyumbe usiisome Biblia kwa undani

    Kuna msemo kwamba; Nunua Biblia usiisome utakuwa mkatoliki, Nununua Biblia soma tu yale yanayokupendeza utakuwa mlokole Nunua Biblia isome kwa undani na ichambue vizuri utakuwa asiyeamini mungu (Atheists)
  9. mdogo wenu wamwisho

    JamiiForums Tanzania JE, BIBLIA INA MAKOSA AU KUNA MISTARI INAYOKINZANA? HEBU TUJADILI!

    Habari zenu wana JamiiForums. Nimekuwa nikitafakari kuhusu Biblia na kuna jambo ningependa tulijadili kwa uwazi na kwa heshima. Je, Biblia haina makosa kabisa, au kuna mistari ambayo inaonekana kukinzana na mingine? Ikiwa kuna mistari inayoonekana kutofautiana, je, hiyo ni makosa ya maandishi...
  10. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Kumbe jina HAWA maana yake ni Mama, leo nimesoma Biblia kwa tafakari ya kina sana

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kuna kusoma biblia na Kuna kuielewa biblia, leo biblia nimeielewa kabisa Kumbe HAWA maana yake ni MAMA mwanzo 3:20 Maandiko hayo yanasema adam akamwita mkewe hawa maana ni mama wa wote walio hai Tuendelee kusoma maandiko kila tupatapo...
  11. adriz

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo maandiko ya Biblia yanavyosema kuhusu wanaume kuwa na kufuga 'ndevu'

    Moja kwa moja... Msukumo wa kuandika mada hii nimeupata baada ya kuona mara kwa mara member wa Jf Echolima1 na wengineo baadhi wanaojinasibisha na Imani ya kikirsto kukashifu vibaya ufugaji wa ndevu kisa Waislamu ndio sehemu yao ya dini na ni jambo wanalopenda sana , imefikia hatua ya kutoa...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Happy sabbath: ikifika usiku someni bliblia vijana achaneni na uzinzi someni biblia vijana

    Wakuu kwema, Nimefungua biblia leo nime kutana na ukurasa huu moja kwa moja basi nikaona ndio ukurasa ambao nilipaswa kuusoma kwa leo na nikaona ni share ujumbe wake ulikuwa sio wa kawaida ulikuwa ni mkali sana wenye tumaini na maonyo. vijana someni biblia Danieli 12:2-7 2 Tena, wengi wa hao...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Maandiko ya Biblia yametoka wapi ?

    1. Uumbaji kitabu cha mwanzo, Maandiko ya kitabu cha mwanzo kwa kiasi kikubwa yamefanana ya maandiko "Enuma Elish" ya Babylon ambayo yalitangulia kuwepo kabla ya maandiko ya agano la kale. 2. Gharika na safina ya Nuhu, Maandiko ya kale ya Mesopotamia, Epic of Gilgamesh ( utenzi wa Gilgamesh)...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Biblia haisemi hivi

    https://youtu.be/u_LqRNfxvr8?si=ou1PNpnLeBIfPrLV
  15. M

    JamiiForums Tanzania TAL ni msindi kama ilivyonekana katika mistari mingi ya Biblia

    Sina la kuongea ila naomba msikilize nyimbo hizi kwa kutafakari https://youtu.be/svhRxk6J3Vo?si=K6_cTxNzUEWYrxAi https://youtu.be/SSEv7X-DBh8?si=j25N2QSMlmDdE8wV https://youtu.be/TcmH__P05zI?si=lzoYOXv4KJNTG9r1
  16. T

    JamiiForums Tanzania Makonda asipotoshe umma, kwa mujibu wa biblia kiongozi wa dini hawapaswi kunyamazia maovu bila kujali kayatenda nani!.

    Namuona waziri wa michezo ndugu makonda amekomaa kutoa matamko eti Viongozi wa dini hawapaswi kuikosoa serikali bali kuiombea. Kama wana haki ya kuisifia lazima pia wawe na haki ya kuikemea inapofanya vibaya. Kuwa serikali haina maana kwamba mtapatia kila kitu na kukosolewa na kiongozi wa dini...
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Maneno magumu kutoka kwenye biblia.

    Hapa Mungu alikuwa amechoshwa sana na ujinga wa watu. Zekaria 11:9. ". . . . Atakayekufa na afe! Atakayeangamia na aangamie! Na wale watakaobaki na watafunane wao kwa wao.”
  18. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Biblia ni kitabu kinachoongoza kuwa na migongano mingi na pia ni illogical

    Kila kona ya hiki kitabu ukikisoma vizuri utagundua kuna matatizo mengi mno ya kimantiki sasa sijui inatokea vipi mtu mdadisi, mwenye kufikiria kwa kina anakaa na kukubali tu kila neno lilipo binafsi naona ni kitabu ambacho kina stori tu na hamna kitu cha maana ukiangazia Dunia tuliyonayo Leo...
  19. Setfree

    JamiiForums Tanzania Wajue wasomi hawa wenye IQ kubwa, wanaoamini kuwa Biblia ni kitabu cha kweli

    Hawa ni wasomi/wanasayansi walio hai ambao wamekiri wazi imani yao katika Kristo: Francis S. Collins — PhD in Physical Chemistry; MD in Medicine Huyu aliongoza Human Genome Project. Human Genome Project (HGP) ulikuwa mradi mkubwa wa kimataifa wa kisayansi wa kuchora na kubaini mpangilio wa DNA...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kafara ya binadamu katika Biblia. Yeftha akimtoa binti yake sadaka ya kuteketezwa kwa mungu.

    Katika kitabu cha Waamuzi 11 kuna bwana mmoja alimtolea mungu nadhiri ahadi ya kwamba mungu akimsaidia akashinda vita dhidi ya maadui wake kiumbe chochote cha kitakachokuwa cha kwanza kuja kumpokea akiwa anatoka vitani atakitoa sadaka kwa moto wa kuteketezwa. Binti yake alikuwa wa kwanza...
Back
Top Bottom