Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Hizi ni Baadhi tu ya stori za Biblia zilizobadilishwa kiajabu ajabu na kiholela na Quran
1. Yesu Hakufa msalabani
2. Yesu alizaliwa chini ya mtende anazungumza
3. Ishmael mtoto wa ahadi badala ya Isaka.
4. Farao wa Misri kujenga mnara wa kwenda mbinguni badala ya watu wa mji wa Babel.
5. Story ya Yona kwenye Quran inasema Yona alienda Ninawi akaondoka kwa hasira kabla ya muda ndio akamezwa na Samaki halafu akarudishwa tena na Allah!
6. Mke wa Nuhu na mtoto wake mmoja hawakuingia kwenye safina na waliangamia kwenye gharika.
7. Shetani alikataa kumsujudu binadamu ndio ilikuwa dhambi yake.
8. Sodoma na Gomorah ziligeuzwa juu chini zikanyeeshewa mvua ya mawe na matofali.
Karibu kila story ya Biblia imehaririwa na imegeuzwa juu chini na Quran!