Mhubiri mtata nchini Nigeria, Yahaya Ibrahim Masussuka, mwenye miaka 47, amepigwa risasi na kuuawa na watu wenye silaha waliomvamia nje ya nyumba yake katika Jimbo la Katsina, kaskazini mwa Nigeria.
Tukio hilo pia liligharimu maisha ya msaidizi wake.
Masussuka alijulikana sana kwa msimamo na...
Inaumiza sana kuona wa Africa wanatetea dini kuliko rasilimali zao, hata baada ya kuwafukuza wakoloni Africa bado tunawapelekea wakoloni hao hao rasilimali fedha ambazo tunachangishana makanisan sadaka na misikitini (hija fee).
Yaani hela zetu zinawafikia wakoloni wakiwa wamekaa, mtaji wao ni...
Hizi ni Baadhi tu ya stori za Biblia zilizobadilishwa kiajabu ajabu na kiholela na Quran
1. Yesu Hakufa msalabani
2. Yesu alizaliwa chini ya mtende anazungumza
3. Ishmael mtoto wa ahadi badala ya Isaka.
4. Farao wa Misri kujenga mnara wa kwenda mbinguni badala ya watu wa mji wa Babel...
Surah Al-Baqarah (2:67–73) au kwa kibantu sura ya Ng'ombe ayat 2:67-73.
Katika hii story ya Quran kulizuka mzozo katika kisa cha mauaji ambapo watu walibishina kuhusu mauaji ya mtu fulani. Musa akaambiwa achinje ng'ombe kisha alipomchinja akaambiwa achukue kipande kimoja cha nyama (sijui...
A) Wayahudu
Wakati mtume Muhammad anaanza kupokea ufunuo kutoka Kwa Allah kipindi hicho Saudi Arabia kulikuwa na Wayahudu wengi sana
Wale waarabu ambao wanampinga mtume Muhammad ikabidi waende Kwa wayahudu kupata ushauri kuwa wafanye nini Ili kujua kuwa Muhammad ni mtume kweli au ni muongo...
Msanii wa muziki na burudani nchini, Gift Stanford maarufu kama Gigy Money, ameamsha hisia za wengi mtandaoni baada ya kujirekodi akisoma Sura ya Quran na kuomba dua maalum asubuhi ya leo ya Ijumaa,.
Kupitia video iliyosambazwa katika mitandao ya kijamii, msanii huyo alionekana akianza kwa...
MBINU 7 MAKINI ZA KULEA MTOTO MAZINGIRA YA MJINI
Malezi ya mtoto katika mazingira ya mjini yamekuwa changamoto kubwa kwa wazazi wengi. Mtoto wa Mjini anakua katika dunia yenye mchanganyiko wa tamaduni, mitazamo, teknolojia, mitandao ya kijamii na makundi mbalimbali ya watu.Hii Tofauti na zamani...
Uturuki ni Taifa la Kiislam chini ya Edogan, ila wasichojua watu wengi ni kuwa majority ya Waturuki ni Waislamu wa Sufii. Baada ya Utawala wa Kiislamu wa Iran kushika hatamu huko iran na kujiimarisha Kijeshi, Wahafidhina hao wa Kiislamu wakajiona wao ndiyo wamekuwa Wasimamizi wa Kuinua Dola ya...
Kuna jambo linanichanganya Waislamu wanaposema Injili/Biblia na Taurati vimeharibiwa au kupotoshwa,
Ikiwa Qurani inasema mambo mengine waulizwe wayahudi au watu wa Kitabu wakati Taurati na Injili zinapingana nayo, basi Quran inajipinga na hivyo ni ya uongo. Ikiwa Taurati na Injili zimeharibiwa...
Mambo ya Imani magumu sana
"Una uhuru wa kumuingilia mkeo kwa staili yoyote, kaifum hiyo ni tafsiri ya kwanza na ni lugha ya kiarabu fasaha sio masuala ya ushia. Tafsiri ya pili aina mahala popote kama ni nyumbani, kama ni barabarani, kama ni sokoni. Tafsiri ya tatu ni harituma sehemu wake zenu...
Huwa nashangaa sana Watanzania wengi wanaokuja na rejea za Biblia au Quran katika kujenga hoja kwa mijadala ya kijamii/ umma inayobishaniwa au kujadiliwa.
Nafikiri hii ni mojawapo ya ishara ya akili ndogo na ujinga mwingi katika taifa.
Nimetengeneza app ya Kurani ya Kiswahili inaitwa Dini Pro
Unaweza kufanya yafuatayo kwenye app yangu
Kurani Tukufu (Soma na Usikilize):
Soma Surah zote kwa urahisi na usikilize sauti popote ulipo.
Mwelekeo Sahihi wa Qibla:
Pata mwelekeo wa Qibla kwa haraka na usahihi mkubwa haijalishi uko...
Kulingana na imani za kidini, hasa kwa kurejelea Biblia Takatifu na Qur'ani Tukufu, jibu la msingi ni kwamba shetani anaweza kutumia uganga na uchawi kusababisha magonjwa au madhara, lakini hawezi kufanya hivyo kwa mamlaka yake mwenyewe—lazima kuwe na ruhusa au makadirio ya Mungu.
Katika vitabu...
Mm nasema hamna kama kuna mwenye aya au ushahidi wowote aje nao nimpe 300,000 usiku huu
Muhammad (60) kwa Aisha ilikua sahihi
Na Joseph (63) kwa bikira Maria ni sawa
Hiyo 18 ni mbwembwe za waja, kama unaushaid iweke mbele weka lipa namba
Uchambuzi wa maandiko matakatifu ya Biblia na Quran unaonyesha kuwa neno Israel lina mizizi ya kina na ya wazi katika vitabu vyote viwili, huku neno Palestina likikosekana kama jina la nchi au taifa ndani ya maandiko hayo ya asili.
Katika Biblia, neno Israel linatokea zaidi ya mara 2,500. Jina...
Leo nimekutana na mwanazuoni mmoja mbobevu kwenye masuala ya dini amenihakikishia kuwa hakuna hata mtu mmoja mitaani mwenye Biblia au Quran halisi.
Mwanazuoni huyo kaniambia mitaani kuna nakala tu za vitabu hivyo wala si vitabu halisi. Kaniambia ni uchochezi wa kidini tu kuzitakatifusha hizo...
Waandishi wa Quran walikuwa ni wa kina nani na baada ya uandishi wake kukamilika nani walioithibitisha kwamba maudhui yake ndio Yale yale yaliyotoka kwenye kinywa cha Muhammad bila kupotoshwa au kukosewa kwa bahati mbaya kibinasamh au kwa makusudi na waandishi wenyewe?
Bila shaka hii aya sio ngeni.
Quran 46 : 29 - 33
"Na wakati tulipo waleta kundi la majini kuja kwako kusikiliza Qur'ani. Basi walipo ihudhuria walisema: Sikilizeni! Na ilipo kwisha somwa, walirudi kwa kaumu yao kwenda kuwaonya."
"Enyi kaumu yetu! Sisi tumesikia Kitabu kilicho teremshwa baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.