Nani walioandika na kuthibitisha maudhui ya Quran inayotumika leo?

Nani walioandika na kuthibitisha maudhui ya Quran inayotumika leo?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Waandishi wa Quran walikuwa ni wa kina nani na baada ya uandishi wake kukamilika nani walioithibitisha kwamba maudhui yake ndio Yale yale yaliyotoka kwenye kinywa cha Muhammad bila kupotoshwa au kukosewa kwa bahati mbaya kibinasamh au kwa makusudi na waandishi wenyewe?
 
Iliandikwa Misri na kuchapishwa mwaka 1924,wasomi wa Al Azhar university ndiyo waliohusika baada ya amri ya mfalme Fuad wa Misri. Hakuna Quran ya enzi za Mohamed na wala haijawahi kuwepo.
 
Baada ya kujua Biblia huwa inafanyiwa amendment kama katiba ya nchi ili iendane na wakati unafikiri na Quran iko hivyohivyo dogo?
 
Iliandikwa na maswahaba

Baada ya kufariki mtume Muhammad (saw) maswahaba walikubaliana kuikusanya Quran ili iwe kwenye maandishi

Hii ilisaidia kuihifadhi kwa urahisi na pia waandishi wake walikuwa ni wale wanaojulikana kwa Kuhifadhi vizuri Quran

Maana waliohifadhi ni wengi ila kuna wale ambao wanajulikana kwa ubora wao kwenye dini
Walioihifadhi walihakikisha vipi wanasimulia iandakiwe kama walivyosimuliwa wao na Muhammad?
 
Back
Top Bottom