nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Tanzania MKURUGENZI MKUU wa amani na umoja ya urasimishaji na uhamasishaji kuwa Kennedy Orinyo Nyamanga ni nani anayeweza kumpa nafasi

    Kama Kennedy Orinyo Nyamanga,ni raia anayependekezwa kuwania fursa ya mwanasheria na mwana jamii anayewania kuwa RAIS wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania,na kuwa na amani ya viongozi wa viongozi wa amani na amani ya umoja wa watanzania,nami na amini wa Tanzania wana amini katika amani ya umoja wa...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Lema alienda kuongea na balozi za nje kama nani? Je, CHADEMA ilimtuma?

    Viongozi wakuu wa chama ukimtoa Lissu ni Heche na Mnyika ndio wenye mandate ya kuongea kwa niaba ya chama. Lema ni mjumbe wa Kamati Kuu sio kiongozi mkuu wa chama, labda kama alitumwa na chama. Pili, tutajuaje aliongea nini na hizo balozi, hata kama ni kwa nia njema nani alimtuma kukiwakilisha...
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania AMEPOTEA NA HAONEKANI: Nani asiyejua viongozi wote wa Dola( JWTZ, TISS,POLISI, MAGEREZA, UHAMIAJI)ni Mali ya CCM ?

    .
  4. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Naiona CHADEMA ikisambaratika, nani alaumiwe?

    Dola haziangushwi na maadui kutoka nje, historia inatufundisha kuwa Dola huuawa na vita zake za ndani kwanza hatimaye maadaui wanje humalizia kazi. Ndio maana waswahili husema mjenga nchi ni mwananchi, kadhalika mbomoa nchi ni mwananchi. Chama kikubwa kama CHADEMA kilichopitia misukosuko mingi...
  5. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania CUF imekufa. Je, tutarajie kifo cha CHADEMA? Nani atawasemea wananchi kama ndio hivyo?

    Chama cha wananchi CUF kilikuwa ndio chama cha upinzani chenye nguvu zaidi hapa nchini na ilibaki kidogo tu kichukue nchi lakini yalitokea yakutokea hatimaye chama kikafa na kikapotea kabisa , ule mvuto au ushawishi uliokuwa nao kwa wananchi umepotea mazima , ndipo hapo Chadema kikajipenyeza...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wanaume msiotaka kuoa na wanawake msiotaka kuolewa mkizeeka mtalelewa na nani?

    Wadau wa JamiiForums, Naomba tujadili swali hili kwa uwazi na hoja za msingi. Katika jamii yetu ya sasa, kumekuwa na ongezeko la wanaume wanaosema hawana mpango wa kuoa na wanawake wanaosema hawana mpango wa kuolewa. Kila mmoja ana sababu zake, na bila shaka kila mtu ana haki ya kuamua namna...
  7. B

    JamiiForums Tanzania TAIFA LINAPOANZA KUOGOPA;RAIS ANAJUA NINI ,BARAZARA MAWAZIRI LINASHAULI NINI NA BARAZARA LA USALAMA LA TAIFA LINALINDA NANI?

    Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo maswali huwa muhimu kuliko majibu ya haraka. Kuna wakati wananchi hulazimika kutafakari si kwa sababu hawana imani na nchi yao, bali kwa sababu wanataka kuelewa kinachoendelea ndani ya mfumo wanaoutegemea kuwalinda. Leo, swali kubwa si kuhusu nani...
  8. fexcash

    JamiiForums Tanzania Kizazi kitakachoikomboa Tanganyika

    UKOMBOZI WA TANGANYIKA UTAFANYWA NA NANI? Taifa la Tanganyika linapitia kipindi kigumu kinachohusisha changamoto za ukandamizaji, uporaji wa haki za wananchi na unyonyaji wa rasilimali za taifa. Hoja na maneno mengi yamekuwa yakizungumzwa, lakini bado hakuna hatua madhubuti za kutosha...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nani mwingine amegundua hizi picha za wanafunzi zinasambazwa kimkakati sana?!!!!

    Wasomi (PhD holders) Wana uwezo na nguvu nyingi sana za kimkakati, hilo sio la kupingika. Kwa hasira walizonazo dhidi yake, haishangazi kuona mkakati flani wa kumdhihaki; kama sio yeye basi hata jamii yake. Kila baada ya clip, soma comments utaona kitu......ni mkakati kabambe kabisa. Tunaishi...
  10. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu inahitaji Mabadiliko kweli, lakini Nani wakuleta hayo Mabadiliko?

    Nawasalimia wanabodi. Inatia hasira, Inakera, Yaani hakuna watu nawachukia kama Wanaharakati uchwara wa hii nchi,hakuna watu nawachukia kama hawa. Mwanzo nilikuwa nawaona ni watu wa maana,lakini kwasasa nimewapuuza mpaka basi ni wajinga na ni hatari Kwa usalama wa nchi. Wengi wapo abroad...
  11. mdogo wenu wamwisho

    JamiiForums Tanzania NANI ATAMFUNGIA PAKA KENGELE? 🔔

    Kuna wakati katika uongozi ambapo kiongozi wa juu anakuwa wa kuogopwa kiasi kwamba hata wale wanaoyaona makosa yanayofanyika wanachagua kunyamaza. Si kwa sababu hawayaoni, bali kwa sababu wana hofu ya kupoteza nafasi zao, vyeo vyao na ugali wao. Matokeo yake, kila mtu anajua kinachoendelea...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kupostiana status huu ushamba nani aliuleta? Nini objective yake?

    Mambo ya kupostiana nayachukulia kama kuchapisha taarifa binafsi na kwenda kuzibandika kwenye miti ya mtaani kwenu. Yaani ili kuonyesha mkeo unampenda sana basi unaandika tangazo I love you my wife, unaenda kubandika kwenye kuta zote za kijiji na mbao za matangazo. Huu ndio uhalisia wake. Sasa...
  13. Texas Tiger

    JamiiForums Tanzania Video: Hawa Watoto Omba-Omba, kutoka Tz nani anawapeleka Nairobi?

    Hawa watoto wadogo Omba-omba kutoka Tanzania si tu wanasumbua watumia barabara Nairobi lakini pia inatia aibu na kufikirisha. Umasikini + ujinga ni adui mkubwa sana 🙌🏾 Swali langu, hawa wanatokea mkoa gani? Arusha hapana, Moshi hapana, Tanga hapana. Mara, Mwanza na sehemu za karibu ya kanda ya...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kataa ndoa: Ni nani aliyewaroga?

    Najua ni utoto unakusumbua tu ukikua utaelewa namaanisha nini hapa. Endelea kujisevia malaya wageuze uwezavyo kwa style zote upendazo. Kumbuka utazeeka macho yako hayataona nuru tena na mikono itakuwa imechoka na hapo utahitaji msaada hutaupata. 1.Utaugua na utakosa hata mtu wa kukugeuza...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nani mkubwa kati ya binadamu na malaika?

    Nani mkubwa na wa hadhi ya juu kati ya binadamu na Malaika ? Nani ana maisha mazuri zaidi kati ya binadamu na malaika?
  16. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Nani alikuambia Waarabu hata nao hawapendi kibao kata

  17. R

    JamiiForums Tanzania Nani atakuwa mshindi wa SAKHAROV AWARD

    sakharov prize 2026 The European Parliament has named the three finalists for the 2026 Sakharov Prize for Freedom of Thought: [1] 2026 Finalists (Alphabetical Order) The International Criminal Court and its officials (nominated by the Socialists and Democrats - S&D) [1, 2] Tundu Lissu...
  18. hydroxo

    JamiiForums Tanzania FT: PSG 4-2 FC Barcelona | UEFA CL | Parc des Princes | Barcelona amepasuka vibaya sana

    Usiku wa saa 4 ya leo kwa mara nyingine tena kutakuwa na mechi ya kibabe barani ulaya kwenye Ligi ya Mabingwa (UEFA Champions League) ikiwakutanisha miamba hii miwili ya soka pale Parc des Princes (Ufaransa). Kwa upande mmoja ni bingwa wa ligi ya ufaransa na ligi ya mabingwa ulaya Paris...
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania HISTORIA: Jinsi Jina la "TANZANIA" lilivyobuniwa

    Jambo tunataka kujadili hapa ni kwa nini wanakataa kwa jina la Tanzania aliyelibuni ni Mohammed Iqbal Da... akiwa kijana mdogo wa miaka 18 akisoma shule ya sekondari hili ndio jambo ambalo sisi tujiulize kwa nini..." Jinsi Jina Lilivyotengenezwa: "Anasema nilichukua karatasi kwanza nikaandika...
  20. Son of Israel from Africa

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa Vs UVCCM: Nani atashinda kwenye dabi? Maana ni ya motooo🙈🫡

    Hey member Mko sawa! Etiii nawauliza nawauliza kwenye dabi ya Bwana Mchengerwa naa UV CCM Na nani anaenda kushindaa hii dabi🫡🫡🫡 Toa maoni bila kuwa mfitinii Mchengerwa kasema UVCCM wananuka Rushwaaa!! Nimeona wanamjibu huku na huku jee nani anaenda kushindaa💪💪🔋✅️
Back
Top Bottom