Lema alienda kuongea na balozi za nje kama nani? Je, CHADEMA ilimtuma?

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Viongozi wakuu wa chama ukimtoa Lissu ni Heche na Mnyika ndio wenye mandate ya kuongea kwa niaba ya chama. Lema ni mjumbe wa Kamati Kuu sio kiongozi mkuu wa chama, labda kama alitumwa na chama.

Pili, tutajuaje aliongea nini na hizo balozi, hata kama ni kwa nia njema nani alimtuma kukiwakilisha chama.

Lema asijipe ukuu kwenye chama, hakuna aliye mkubwa kuliko chama, chama ni utaratibu sio kila mtu kujifanyia anachotaka.

View attachment 3703048

..mbona kaeleza kuwa hao Mabalozi ni washkaji zake? Kwa hiyo bila shaka amezungumza nao kishkaji? Na Mabalozi wanaelewa Protocol za namna ya ku-engage watu kiofisi.
 
umewataja heche na mnyika ,lakini kwenye chama mwenye uwezo wa kujenga hoja na kuongea na mabalozi ni Lisu na Lema wengine sio waongeaji wazuri ,Lema anashawishi kusikilizwa ,heche na mnyika wanafoka
 
Hv kwenye huo mkutano hakukuwa na waandishi wa habari kumuuliza maswali?
Mfano, anamlaumuje mange kuitisha maandamano ambayo yapo kikatiba badala ya kumlaumu aliyetoa amri ya kuua waandamanaji??
Huyu ni dalali wa kisiasa yupo kazini, na kwakuwa huu utawala wa samuya uko desperate kujinasua na tuhuma za mauaji lazima wajinga wajinga kama lema wanase kwenye mtego kwa kupewa mihela!.
 
umewataja heche na mnyika ,lakini kwenye chama mwenye uwezo wa kujenga hoja na kuongea na mabalozi ni Lisu na Lema wengine sio waongeaji wazuri ,Lema anashawishi kusikilizwa ,heche na mnyika wanafoka
umewataja heche na mnyika ,lakini kwenye chama mwenye uwezo wa kujenga hoja na kuongea na mabalozi ni Lisu na Lema wengine sio waongeaji wazuri ,Lema anashawishi kusikilizwa ,heche na mnyika wanafoka
Hilo dalali la kichaga nadhani hulijui vizuri,emu itukane gavo ,harafu uwe karibu nalo na lijue unapokaa,unipe mrejesho
 
umewataja heche na mnyika ,lakini kwenye chama mwenye uwezo wa kujenga hoja na kuongea na mabalozi ni Lisu na Lema wengine sio waongeaji wazuri ,Lema anashawishi kusikilizwa ,heche na mnyika wanafoka
Unamuona Lema anajua kujenga hoja au kuongea sana majukwaani ndio kujenga hoja.
 
Kaka Lema you are the remaining fearless and sane person mwenye kutaka kumuona ndugu yako Lissu anakuwa huru kwanza mengine baadae.

Lema unajua uchungu wa kukaa jela na kukatiwa mawasiliano na familia. Uhuru wa Lissu kwanza, wanaharakati watafute kiki zingine.
 
Unamuona Lema anajua kujenga hoja au kuongea sana majukwaani ndio kujenga hoja.
Lema kazaliwa kufanya siasa anaongea unasikiliza hata kama haumpendi ,anashawishi kusikilizwa .
 
Kulialia haisaidii,CCM imempiga chini Nchimbi juzi tu,nyie mnamuonea aibu Mangi?

Mchinjieni baharini kama analeta ufaza kwenye taasis.
 
..mbona kaeleza kuwa hao Mabalozi ni washkaji zake? Kwa hiyo bila shaka amezungumza nao kishkaji? Na Mabalozi wanaelewa Protocol za namna ya ku-engage watu kiofisi.
Chama kina taratibu zake ukileta mambo ya kishikaji kwenye chama utakiendesha kishikaji shikaji.
 
Back
Top Bottom