Lema alienda kuongea na balozi za nje kama nani? Je, CHADEMA ilimtuma?

Siasa huzijui mkuu?

CHADEMA haina polisi haina jeshi haina usalama wa taifa haina power unataka ifanye vipi siasa?

Aproach ya Lema ipo sawa hawana njia nyingine ukihamasisha maandamano unapewa kesi ya uhaini.

Ulitaka Lema afanye nini mkuu?
 
Viongozi wakuu wa chama ukimtoa Lissu ni Heche na Mnyika ndio wenye mandate ya kuongea kwa niaba ya chama. Lema ni mjumbe wa Kamati Kuu sio kiongozi mkuu wa chama, labda kama alitumwa na chama.

Pili, tutajuaje aliongea nini na hizo balozi, hata kama ni kwa nia njema nani alimtuma kukiwakilisha chama.

Lema asijipe ukuu kwenye chama, hakuna aliye mkubwa kuliko chama, chama ni utaratibu sio kila mtu kujifanyia anachotaka.

View attachment 3703048
Lema si msaliti kwa Chadema, haiwezekani kabisa.
Mimi sijawahi kuwa fan kwa Lema, lakini jamaa anajitoa.

Ingawa huwa nawasikiliza Maria Sarungi na Mange etc etc lakini hawa watu wana ego, (umimi), wakiona unatoa mawazo tofauti na wao hawapendi, ni watu wa kupenda kusikilizwa. Hili la Lema ni uzushi mkubwa sana.
 
Chama kina taratibu zake ukileta mambo ya kishikaji kwenye chama utakiendesha kishikaji shikaji.

..huwezi kumzuia mwanachama kuwa na marafiki.

..Mabalozi wakitaka kukutana na Chadema kama chama wana taratibu zao.

..Nchi za wenzetu wako vizuri sana ktk kuzingatia taratibu na itifaki usidhani kwamba jambo lau la kiserikali litafanyika bila kufuata taratibu walizowekewa.
 
Duh! Kwaiyo kama ni chama cha siasa? Upige goti kwa mamlaka hata ukionewa?
 
Viongozi wakuu wa chama ukimtoa Lissu ni Heche na Mnyika ndio wenye mandate ya kuongea kwa niaba ya chama. Lema ni mjumbe wa Kamati Kuu sio kiongozi mkuu wa chama, labda kama alitumwa na chama.

Pili, tutajuaje aliongea nini na hizo balozi, hata kama ni kwa nia njema nani alimtuma kukiwakilisha chama.

Lema asijipe ukuu kwenye chama, hakuna aliye mkubwa kuliko chama, chama ni utaratibu sio kila mtu kujifanyia anachotaka.

View attachment 3703048
The gentleman is shrewd politician than any national leader or party member within Chadema circle.

And,
I think technically,
Godbless Lema knows more political issues within chadema family than any other national leader or party members,
and nobody can do anything about that today, and forever towards the gentleman freedom of speech :NoGodNo:
 
Ume-google wapi hii naona kila sehemu unaipost.
 
I'm sorry for confusion gentleman,
you know politics is a science.

none political scientist are always confused by heavy weight political comment like that one,
I'm sorry if I hurted you in anyway gentleman 🐒
 
..mbona kaeleza kuwa hao Mabalozi ni washkaji zake? Kwa hiyo bila shaka amezungumza nao kishkaji? Na Mabalozi wanaelewa Protocol za namna ya ku-engage watu kiofisi.
"Washkaji wake" anawapelekea maswala ya CHAMA, tena bila ya kuwahusisha viongozi wenzake?

Maana ya yeye kuleta swala hilo katika maelezo yake hasa ni nini?
 
..Ni jambo la kawaida washkaji kuzungumza mambo mbalimbali ikiwemo siasa za ndani na kimataifa, michezo, etc. Ndio mambo wanaume huongelea wanapokaa pamoja.
 
Ofisini?
Naamini unajuwa vyema zaidi ya hivyo.

Kumtetea Lema katika hatua hii aliyofikia ni kujipa mzigo mzito sana na kufanya watu wajiulize maswali juu yake.
 
..kuna mtu anafanya kazi ya kuwachonganisha viongozi wa Chadema. Kwa maelezo aliyoyatoa sijaona kosa alilolifanya Godbless Lema.
 
Viongozi wakuu wa chama ukimtoa Lissu ni Heche na Mnyika ndio wenye mandate ya kuongea kwa niaba ya chama. Lema ni mjumbe wa Kamati Kuu sio kiongozi mkuu wa chama, labda kama alitumwa na chama.

Pili, tutajuaje aliongea nini na hizo balozi, hata kama ni kwa nia njema nani alimtuma kukiwakilisha chama.

Lema asijipe ukuu kwenye chama, hakuna aliye mkubwa kuliko chama, chama ni utaratibu sio kila mtu kujifanyia anachotaka.

View attachment 3703048
Kwani wewe unahoji kama nani?
 
..kuna mtu anafanya kazi ya kuwachonganisha viongozi wa Chadema. Kwa maelezo aliyoyatoa sijaona kosa alilolifanya Godbless Lema.
Hata anapowalaumu viongozi wa chama chake kuongozwa na wanaharakati hadharani huoni kosa lolote?

Unaposema "kuchonganisha" hebu tafakari maana yake ya kumhusisha Sugu katika taarifa zake. Huku ndiko kuunganisha chama?

Mkuu 'Joka' vipi tena?

Lema kachokonoa viongozi wenzake asikie wanasema nini. Walkampuuza, jambo ambalo limezidi kumvuruga zaidi akili na kufikia hapa alipo sasa hivi!
 
..i give him the benefit of doubt.

..nadhani mapito wanayopitia ni magumu.

..viongozi wanatakiwa kupewa moyo.

..pia viongozi wanatakiwa wawe na message moja na sio kila mtu ana message yake kwa wananchi.
 
Mkuu 'JokaKuu', tuache masihara. Hii ni vita kali inayoikabili CHADEMA, pengine hata kushinda ile aliyowapelekea Jiwe wakati ule.
Sasa hivi wamebuni kupitia njia ya "wanaharakati" kui'discredit', CHADEMA, na hasa hasa viongozi walioachiwa majukumu baada ya Lissu kuwekwa gerezani.

Lugha anayozungumza Lema ni lugha ile ile aliyotumia Hamza Johari wakati anaapishwa, kuhusu kazi aliyopewa aishughulikie.

Walichelewa kuipa kipaumbele wakitegemea Lissu atalegeza kamba huko aliko kwa kushawishiwa afanye wanayotaka, kama maridhiano. Hilo likawa haliwezekani.
Sasa wapo desperate kabisa kuwavuruga viongozi wa chama kupitia kwa wakala kama huyu Lema, wakitumaini kuwepo na mfarakanyo ndani ya chama. Lakini hii ni CHADEMA tofauti kabisa na ile nyingine.
Lema hana ufuasi wowote ndani ya hiki chama, ndiyo maana unaona anapayuka tu mwenyewe baada ya kupuuzwa.

Ndani ya chama hakuna anayehangaika naye.
 
Back
Top Bottom