Texas Tiger
JF-Expert Member
- Nov 5, 2022
- 730
- 1,848
Hawa watoto wadogo Omba-omba kutoka Tanzania si tu wanasumbua watumia barabara Nairobi lakini pia inatia aibu na kufikirisha. Umasikini + ujinga ni adui mkubwa sana 🙌🏾
Swali langu, hawa wanatokea mkoa gani? Arusha hapana, Moshi hapana, Tanga hapana. Mara, Mwanza na sehemu za karibu ya kanda ya ziwa?
Au wanadanganya si Watanzania?
View: https://vt.tiktok.com/ZSgQtMJrf/