Maisha bila watoto wazuri, hayaendi kabisa.
Hapa najihisi kichwa ni kizito sana, nikienda kibaruani nafokea fokea tu wafanyakazi.
Nimekuwa ni mtu wa hasira hasira, ukinisemesha kidogo tu, na kukoromea.
Nadhani suluhisho ni kupata mtoto mzuri, wa kuanzia miaka 30 na kuendelea, ili...