watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wazuri na warembo penzi lao huangukia kwa watu wa shoka?

    Nimejiuliza sana juu ya hili bila kupata majawabu hebu tujuzane hapa!,wazee wa shoka huwamega watoto wakali sana,au kwa sababu hawana kuremba remba na ubishoo mwingi?🧐🧐😃
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tunataka Waziri wa Wanaume. Hizi za kusema Waziri wa jinsia sio kweli. Aliyepo ni waziri wa wanawake na watoto.

    TUNATAKA WAZIRI WA WANAUME. HIZI ZA KUSEMA WAZIRI WA JINSIA SIO KWELI. ALIYEPO WAZIRI WA WANAWAKE NA WATOTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wizard ya Maendeleo ya jamii, jinsia na watoto. Inafanya kazi kwa kiwango fulani. Labda tuite kiwango fulani kizuri katika mambo kadhaa. Ila mimi...
  3. Miguel Felix Gallardo

    JamiiForums Tanzania DHANA POTOFU YENYE MADHARA MAKUBWA: KUENDELEA KUTESEKA KISA WATOTO MWISHOWE MNAUANA.

    NDUGU WATANZANIA HASA WANAUME NAOMBA TUBADILIKE. HATA KAMA TUMEUMBIWA MATESO.KUNA VITU KAMA HESHIMA NA UTI USIPOKUWEPO AU KUUPATA KUTOKA KWA MWANAMKE HALI YA HEWA HUMO NDANI ITAKUWA YA MVUA ZA EL NINO.KUEPUSHA SHARI KAMILI PIGA CHINI MAPEMA.USIPUUZIE RED FLAGS🚩🚩🚩 HUNA UWEZO WALA KIPAWA CHA...
  4. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Ahmed Khalifa: "Linda nchi zenu, utambulisho wenu, mustakabali wa watoto wenu. PIGA MARUFUKU Uislamu wa kisiasa"

    Ahmed Khalifa ni mchambuzi wa kisiasa anaehishimika sana mashariki ya kati.
  5. Equation x

    JamiiForums Tanzania Watengenezee watoto wako ndugu wa kutosha

    Kama mzazi, jitahidi kuwa na watoto wengi ata 50 kama unaweza kufyatua,ili leo na kesho usipokuwepo, watoto wako wawe na ndugu wa kutosha. Hii ya kuzaa kitoto kimoja au wawili, ni kumfanyia ukatili mtoto wako kwa kumnyima kuwa na ndugu wa kutosha. Leo hii wewe, mkeo na ndugu zako mmekata...
  6. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, wanawake wakila ndizi pacha inaweza kuwafanya wazae watoto mapacha?

    Habari JamiiCheck, ni upi uhalisia wa madai haya kuwa iwapo mwanamke atakula ndizi pacha atapata ama atakuwa na uwezekano wa kupata watoto mapacha?
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama mkeo hataki kulea watoto wako ambao hajawazaa. Usimlazimishe ni haki yake. Tafuta Yaya umuajiri alee watoto wako.

    KAMA MKEO HATAKI KULEA WATOTO WAKO AMBAO HAJAWAZAA. USIMLAZIMISHE NI HAKI YAKE. TAFUTA YAYA UMUAJIRI ALEE WATOTO WAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mtu asibebe msalaba wa mwingine au mzigo wa mwingine kama sio hiyari yake mwenyewe. Kama ilivyo kwako mwanaume, sio wajibu wako kumlea mtoto...
  8. King Kong III

    JamiiForums Tanzania SWIMMING POOL NA USALAMA WA WATOTO MAJUMBANI

    Umuofia Kwenu wana JF, Swimming pool si sehemu salama kwa mtoto bila ulinzi. Ndugu wazazi tuache ushamba usio kuwa na kichwa wala miguu ,kuna mambo mengine yaache yawapite hata kama una hela ,unajenga swimming pool nyumbani just for showoff ila hujui ABCs zozote za kumiliki Swimming Pools...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Wazanzibar walikuwa wanafinyanga vichwa vya watoto?

    Kuna ukweli kiasi gani Wazanzibar walikuwa wanafinyanga vichwa vya watoto kutengeneza shepu nzuri za kichwa kwa kupunguza vichogo? Mbona huwa naona vichwa vya Wazanzibar wengi vya kawaida tu kama vya Watanganyika!
  10. Marcy

    JamiiForums Tanzania Chanjo wanazochomwa watoto kwa kila nyumba ni kwa ajili ya nin

    Toka mwezi uliopita kumekuwa na zoezi la kuwapatia watoto chanjo, hususan wale wenye umri wa miaka 10 na chini, ambapo wahudumu wamekuwa wakifika kwenye nyumba mbalimbali. Kesho zoezi hilo linaendelea, na hata kwenye baadhi ya makanisa limetolewa taarifa kuhusu utoaji wa chanjo hizo. Hali hii...
  11. Zerock

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kitanganyika wanajiwehusha kuhusu mahari kwa watoto wa kike

    Vijana wa kitanganyika wanajiwehusha kuhusu mahari kwa watoto wa kike. Hii tabia siyo bahati au wanafanya makusud ila ni ya kurithi. Kijana anaekuja na hoja yake kuhusu kupinga kuwatolea wanawake mahari, Ni kwasababu amerithi tabia kutoka kwenye familia /ukoo wake na jamii aliyokulia...
  12. mwenye shamba

    JamiiForums Tanzania Tunaomba serikali ichunguze hili tatizo la watoto kutapika na kuharisha hapa manyoni.

    Mode hide my id Kumekuwepo na changamoto kubwa ya watoto kutapika na kuharisha hapa wilaya ya manyoni,wodi ya watoto kwa sasa hakuna ugonjwa mwingine unaoongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi kama huu wa kutapika na kiharisha Ttunaomba serikali itoe ufafanuzi,isijekuwa ni kipindupindu tayari...
  13. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Dilemma: Mke alikiri mtoto wa mwisho si wa mume na kisha akafariki. Mshaurini mume afanyaje baada ya huu usaliti

    Mke wa ndugu yetu amefariki baada ya kuumwa kansa kwa muda mrefu, kabla hajafariki amefichua siri kwa mumewe kwamba mtoto wao wa mwisho si mwanae bali ni mtoto wa shemeji (rafiki wa mumewe) ambaye alishafariki kwa ajali miaka 5 iliyopita. Kabla ya usaliti, huyo shemeji alikua ni mtu wa karibu...
  14. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Watanzania! Tutapanda mti gani leo, ambao watoto wetu watakula matunda yake kesho?

    Maono ya Waraka wa masaa 120 ya mwezi September 2026 kutoka kitabu cha wenye mamlaka (Waamuzi). Tazama, siku zitakuja ambapo watu wa nchi watakusanyika katika majira ya mashaka, na nyoyo zao zitajawa na maswali kwa sababu hawatajua yaliyo mbele yao. Nao watasema, “Ni nani atakayetutangulia? Ni...
  15. 3

    JamiiForums Tanzania Mwigizaji ‘Nadia’ wa City Maid, Awataka Wazazi Kuwafunza Watoto Kuchagua Wenza Bora

    Mwigizaji mashuhuri wa filamu nchini Rwanda, Sandra Ishimwe, anayejulikana zaidi kama Nadia katika mfululizo maarufu wa "City Maid," ametoa wito mzito kwa wazazi kuchukua jukumu la kuwafunza watoto wao jinsi ya kufanya maamuzi sahihi wanapochagua watu wa kuingia nao kwenye mahusiano ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mzazi umefunga wifi nyumbani na unaruhusu watoto waitumie bila mipaka, unasubiri kuvuna ulichopanda ?

    Hongera kwa kufunga wifi lakini umewahi kuwaza matumizi yake kwa hao watoto wako wanaoitumia ?
  17. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Watoto chini ya miaka 18 sasa ni ruksa kupata NIDA.

    Serikali imeagiza kuondolewa kwa vikwazo vya umri katika utoaji wa kadi za Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) ili kuhakikisha watoto walio chini ya miaka 18 wanaweza pia kusajiliwa rasmi. Agizo hilo lilitolewa na Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba mnamo Septemba 16, 2026, wakati wa kilele...
  18. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Wazazi njooni mchukue watoto wenu!

    Shule ya Sekondari ya Mazinge (Mazinge Secondary School) ipo katika Mkoa wa Shinyanga, Wilaya ya Shinyanga Mjini (Shinyanga MC), kwenye Kata ya Ndembezi. Ni shule ya serikali ya mchanganyiko (wavulana na wasichana) kwa ngazi ya Kidato cha Kwanza hadi cha Nne (O-Level) yenye namba ya usajili...
  19. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Harusi za Dar: Watoto wawili, wameishi miaka 10 alafu nichange 200,000/-?

    Vijana wa Dar es salaam, mara tu baada ya kuingia chuuo kikuu, mwaka wa kwanza , ananza kuishi na mwanamke kama mume na mke, baada ya miaka 2 wanakuwa mke na mume kisheria(presumption of marriage). Wanahitimu na kupeana mimba maana huwa wanafanya mapenzi kila siku bila kutumia kondom. Wanapata...
  20. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Watanzania wahoji watoto wa vigogo kumiliki diplomatic passport baada ya Teresa kushare passport akiwa airport

Back
Top Bottom